Habari wadau wa JF.
Hali ya taharuki imetanda huko Kinshasa baada ya wafuasi wa Rais kabila kuthibiti kwa kulizunguka kanisa kuu katoliki ili kuzuia ibada ya Leo ktk kipindi hiki cha kwaresma...
Rais Vladimir Putin wa Russia amewapongeza na kuwashukuru wanajeshi wa nchi yake walioko nchini Syria.
Kwa mujibu wa televisheni ya Roosiya al Youm, akizungumza katika sherehe ya siku ya...
NIGERIA: Serikali imethibitisha kuwa Wasichana 110 wametoweka mara baada ya Wapiganaji wa Boko Haram kushambulia Shule moja Kaskazini mwa nchi hiyo
Utekwaji wa Wasichana hao umezua maswali kuhusu...
Mahakama nchini Iraq imewahukumu kifo wanawake 15 raia wa Uturuki, baada ya kupatwa na hatia ya kujiunga na kundi la Islamic State.
Baadhi ya ripoti zinasema kuwa wanawake 15 walipewa hukumu ya...
Serikali ya Rwanda kupitia Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Mawasiliano nchini humo (RURA), imekifungia kituo cha redio ya kidini cha Amazing Grace 105.1 FM kurusha matangazo kwa kipindi cha...
Tanzania
Population: 44 million
Number of people in slums: 6.2 million
Percentage of urban population in slums: 66%
Partner organisation: Centre for Community Initiatives (CCI)
Tanzania...
Kamanda mkuu wa Jeshi la Iran Mohammed Aly Jafari amesema kuwa makombora yote ya Iran yana uwezo wa kulenga popote pale ndani ya Israel.
Ameyasema hayo wakati walipokuwa katika mazoezi maalum ya...
Brigedia Jenerali Amir Ali Hajizadeh, Kamanda wa Jeshi la Anga za Karibu na Mbali la Walinzi wa Mapinduzi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, SEPAH, amesema kuwa uwezo wa kijeshi wa hivi sasa wa Iran...
Korea Kaskazini ina nia ya kufanya mazungumzo na Marekani, kwa mujibu wa Korea Kusini, tangazo hilo limekuja baada ya Jenerali Kim Yong-Chol kukutana na rais wa Korea Kusini Moon Jae-in, kabla ya...
Greek Orthodox Patriarch Theophilos III (center), Custos Francesco Patton (ledt) and Armenian Patriarch Nourhan Manougian.Mab-CTS
Jerusalem's Church of Holy Sepulchre Closes in Protest Amid Row...
Wakimbizi watano kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC wameuawa na wengine wengi, wakiwemo afisa wa polisi kujeruhiwa, wakati vikosi vya usalama vilipokuwa vinajaribu kuzima maandamano ya...
AFRIKA KUSINI: Rais wa tano wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa amesema kamwe hataruhusu biashara na utajiri wake kuwa sehemu ya nafasi ya uongozi wake.
Akizungumza na wakurugenzi wa kampuni...
Watu wasioelewa wanashangilia kilichotoka AK, yaani kuondolewa kwa J.Zuma kwa akili yao wanafikiri kwamba ni demokrasia, wao kila kitu ambacho kinafanana na cha Muzungu basi ndiyo kiko sahihi, lkn...
Wataalamu wa mambo wanasema wivu ni kitovu cha kuimarisha penzi kwa watu walio kwenye ndoa lakini endapo ukizidi unakuwa ni kero na sumu kwa wanandoa, na hilo limethibitishwa kwenye familia ya...
ZIMBABWE: Rais wa Zimbabwe aliyeondolewa madarakani na Jeshi, Robert Mugabe, amelalamikia Serikali ya nchi hiyo kumnyanyasa mkewe, Grace
"Mke wangu mpenzi Grace, amekuwa analialia kila siku, hawa...
Serikali ya Singapore imetangaza kuwalipa watu wazima nchini humo bonasi ya kati ya Dola 100 hadi 300 kutegemea na kipato chao baada ya bajeti ya nchi hiyo kuwa na ziada ya fedha kiasi cha Dola...
Mjumbe maalum Umoja wa Mataifa (UN) kwa ajili ya amani Syria, Staffan de Mistura, alisisitiza haja ya dharura ya kusitisha mapigano alipotoa maoni yake kabla ya mkutano wa Baraza la Usalama...
Lijue kundi la kiharifu la PCC la nchini Brazil
Premier Commando de le Capitale (PCC), Rio De Jeneiro
Tarehe 2, mwezi wa 10 mwaka 1992, ndani ya gereza kubwa linalo hifadhi wahalifu sugu katika...
Baada ya kuirusha roketi ya Falcon 9 toka California jana, SpaceX walitumia neti kubwa kujaribu kuidaka pua au 'nose cone' ya roketi pale itakapo dondokea bahari ya Pacific. Kwa mara ya kwanza...