NIGERIA: Serikali yathibitisha kutekwa kwa Wasichana 110

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
NIGERIA: Serikali imethibitisha kuwa Wasichana 110 wametoweka mara baada ya Wapiganaji wa Boko Haram kushambulia Shule moja Kaskazini mwa nchi hiyo

Utekwaji wa Wasichana hao umezua maswali kuhusu kauli ya Jeshi la Ulinzi la Nchi hiyo kuwa lilifanikiwa kuwadhoofisha Wanamgambo hao wa Boko Haram

Tukio hili limewakumbusha raia wa Nigeria kuhusu tukio la kutekwa kwa Wasichana 200 wa Chibok mwaka 2014
nigeria-703x422.jpg

NIGERIA - The Nigerian government on Sunday confirmed that 110 girls were missing after a Boko Haram school attack in the northeast, following days of silence on the children's fate.

"The Federal Government has confirmed that 110 students of the Government Science and Technical College in Dapchi, Yobe State, are so far unaccounted for, after insurgents believed to be from a faction of Boko Haram invaded their school on Monday", the information ministry said in a statement.

The statement came after authorities were unable to account for 110 of the school's 906 students, the ministry said.

The kidnapping has raised questions about the military's repeated claims that the Islamist militants are on the verge of defeat, after nearly nine years of bitter fighting.

It has also revived memories of the 2014 mass abduction of more than 200 schoolgirls from Chibok that shook the world.

On Monday night, terrified pupils fled the boarding school night when heavily armed fighters in military fatigues and turbans stormed the town, shouting "Allahu Akbar" ("God is greatest").

The authorities initially denied that any student had been kidnapped.

On Friday, President Muhammadu Buhari apologised to the girls' families, saying: "This is a national disaster. We are sorry that this could have happened."

Targeting education

Former military ruler Buhari was elected in 2015 on a promise to defeat Boko Haram, after the jihadists grew in strength under his predecessor, Goodluck Jonathan.

Jonathan was lambasted for his tardy response to the Chibok abduction, which saw 276 girls from the town in Borno state taken in the dead of night.

In his first expanded comments on Dapchi, Buhari said: "This is a national disaster. We are sorry that this could have happened."

A teacher at the school, Amsani Alilawan, said there were soldiers in Dapchi until last month but they were then redeployed.

"One month back, they carry (take away) all soldiers, they transferred them to another side, they leave us without security," he said.

Enraged relatives of the missing girls this week tried to surround the convoy of the state mayor of Yobe, only to be pushed back by the security forces.

The kidnapping is the worst jihadist assault to have hit Nigeria since Buhari came to power.

Schools, particularly those with a secular curriculum, have been targeted by Boko Haram, whose name roughly translates from Hausa as "Western education is forbidden".

Boko Haram's quest to establish a hardline Islamic state in northeast Nigeria has left at least 20,000 dead and made more than 2.6 million others homeless since 2009.

The jihadists have increasingly turned to kidnapping for ransom as a way to finance their operations and win back key commanders in prisoner swaps with the Nigerian government.

AFP
 
Maza faka africa

Hapa kuhusu hicho kikundi cha bokoharam kuna mkono wa mtu

Sasa ngoja hao wanafunz wakapigwe miti na makamanda wa bokoharam

Maza faka africa
 
Hawa magaidi wa kiislamu ni wa ajabu sana. Last time waliwateka sijui wangapi wale; wamewaharibia bikra zao, kuwafanya mateka wa ngono, na hata kuwazalisha sasa wamekuwa watu wazima wanaona hawafai wanarudi kuchukukua tena vitoto vibichi kwenda kuvibikiri! Why kila mara ni wasichana na sio wavulana? Ngono! Ngono! Ngono! Sijui ni uislamu gani wanauamini hawa wapuuzi!
 
Maza faka africa

Hapa kuhusu hicho kikundi cha bokoharam kuna mkono wa mtu

Sasa ngoja hao wanafunz wakapigwe miti na makamanda wa bokoharam

Maza faka africa
Na ndicho kikubwa Mkuu; nimejiuliza why wasichana kila mara na sio wavulana? Hawa washenzi wana ajenda zao za ngono tena ngono na vitoto vibichi visivyojua hili wala lile. Eti waislamu; my foot!
 
Ndio iko designed hivyo,
hapo hakuna dawa,
hivi vita vya ugaidi viko designed kulast forever,
yaani haitakiwi kuwa na mwisho kamwe,ndo maana huwezi ukaona gaidi kama abubakar shekau anakamatwa au yule baghdad wa iraq ,sababu wako protected,wanapata inteligence za kuwawezesha kukwepa mikono ya sheria
 
Yaani wanaume wa Nigeria wamewashindwa kabisa hao wabakaji, wanawachukulia watoto wao kirahisi tu?
 
Yaani hao 110 baada ya mwaka 1 wanazaa viboko haramu kama 110 vingine ikijumuisha na vile 200 vikaka bokoharam kikosi kinakamilika
 
Hawa magaidi wa kiislamu ni wa ajabu sana. Last time waliwateka sijui wangapi wale; wamewaharibia bikra zao, kuwafanya mateka wa ngono, na hata kuwazalisha sasa wamekuwa watu wazima wanaona hawafai wanarudi kuchukukua tena vitoto vibichi kwenda kuvibikiri! Why kila mara ni wasichana na sio wavulana? Ngono! Ngono! Ngono! Sijui ni uislamu gani wanauamini hawa wapuuzi!
Wavulana pia wanatekwa mkuu tena wanatekwa wengi kuliko wasichana. Wanaenda kufanyishwa mazoezi na kuwa wapiganaji ila media zinatangaza zaida habari za kutekwa kwa wasichana.
 
Ugaidi ni usanii tuu ,bali watu wanaotafuta kuungwa mkono kwa kutumia itikadi za kidini,ili wapate sapoti kutoka kwa watu wa imani hiyo,ili mambo yao na maslai yao yaendelee kulindwa.Ila ukiangalia kabisa kwa makini, hamna huusiano kati ya ugaidi na uislam,hao boko haram unaweza kuta wanapewa misaada na wamarekani,haiwezekani kabisa watu tokea mwaka 2014 mpaka sasa bado wanasumbua,je silaha wanapata wapi?,ela za kuwapa wapiganaji wao wanapata wapi ?,chakula wanapata wapi ? madawa ya kuwatibu wapiganaji wao wanapata wapi ? magari wanapata wapi ? na mafunzo na mbinu za kivita wanafundishwa na nani ? na ukiona wanasumbua jua kuna watu wanawapa jeuri na hasa hawa WAMAREKANI (Taifa pekee linalosababisha dunia isiwe na amani kisa kulinda maslai yake ,bila kuangalia maslai na usalama wa wenzake na kuporomoka kwa marekani ni mwanzo wa amani duniani)
 
Back
Top Bottom