President Trump has sanctioned Rwanda for banning used clothes from the US. This follows a petition by the US used clothing industry who were afraid of losing jobs and market. This penalty comes...
Chombo cha anga za juu cha China kwa jina Tiangong-1 ambacho kimekuwa kikitumiwa kama maabara kinatarajiwa kuanguka duniani mwishoni mwa wiki.
Kina urefu wa mita 10 na uzani wa zaidi ya tani 8 na...
Published: Workers watch as an excavator clears the debris at the site after a four-story hotel collapsed in a crowded part of the central Indian city of Indore late on Saturday. [Photo by...
Kuanzia miaka ya 1991 hadi kufika 2007,
Urusi walikuwa na mahusiano maziri na Marekani ambavyo haikuwahi kutokea kwenye historia.
Raisi George Bush alikuwa anatembelea sana Moscow na Raisi Putin...
Vyombo vya usalama vya Palestina vimesema kwamba sio chini ya watu 15 waliuwawa Ijumaa na majeshi ya Israeli na zaidi ya watu 750 walitupiwa risasi za moto.
Wapalestina walizika maiti za watu wao...
Jeshi la Syria lapata mabomu ya Israel katika mapango ya magaidi Ghouta
Wanajeshi wa Syria wamepata idadi kubwa ya silaha za utawala haramu wa Israel zilizoachwa na magaidi wakufurishaji waliokuwa...
Serikali ya Urusi kupitia Wizara yake ya Ulinzi, kwa mara ya 2 imefanya jaribio la Kombora jipya la masafa marefu linalodaiwa kuwa na uwezo wa kukatiza kutoka Bara moja kwenda lingine
Rais wa...
ZAMBIA: Nevers Mumba, Makamu wa Rais mstaafu amehukumiwa kifungo cha miezi mitatu jela kwa kosa la kuvamia kituo cha runinga mwaka 2016.
Alivamia kituo cha ZNBC kupinga stori iliyorushwa ambayo...
Duniani kuna mambo!
Kasisi mmoja wa nchi jirani hapo Msumbiji amejikuta akiwekwa rumande kwa kumkosea heshima marehemu.
Ni baada ya kudai anaweza kutenda miujiza na kumfufua kwa kuwa ametumwa na...
Urusi imeawafukuza Wanadiplomasia 60 wa Marekani na kufunga Ubalozi wa nchi hiyo uliopo St. Petersburg kufuatia Marekani kufukuza wanadiplomasia 60 wa Urusi nchini kwao kufuatia sakata la Jasusi...
Wananchi wa Guinea wamefanya maandamano katika mji mkuu wa nchi hiyo, Conakry wakipinga vitendo wanavyofanyiwa na polisi dhidi ya wafuasi wa kambi ya upinzani na kutoa wito wa kuchukuliwa hatua...
Waziri wa Mambo ya nje wa Urusi Sergey Lavrov ameonya kwamba uwekwaji wa mitambo mipya ya kuzuia makombora nchini Japan tokea Marekani inaathiri moja kwa moja usalama wa Urusi pamoja na maslahi...
Kuna dalili kubwa kwa bara la Afrika kuondoka kwenye mfumo wa kidemokrasia na kurudi mfumo wa chama kimoja .
Kiongozi wa chama cha upinzani Senegal Khalifa Sali amefungwa jela miaka 5 kwa kesi...
Maputo — Among the people arrested in connection with the islamist attacks in the northern Mozambican district of Mocimboa da Praia are 32 Tanzanian citizens, and all of them will be put on trial...
Aman iwe nanyi wapendwa
Habar kutoka mashariki ya kati
Jeshi la israel limewauwa raia kumi wa palestina ambao walikuwa wakiandama kupinga utawala huo wa kiyahud kukalia maeneo yao kwa nguvu na...
Waasi wa ki huthi toka Yemen jana wameshambulia mji wa Riyadh kwa makombora 7 moja limeweza kupenya ngome ya Saudi...na kudhaniwa kusababisha madhara makubwa kwa raia....kama ni kweli itakuwa ni...
Sikuwahi kufikiri kwamba kagame anaweza kuwa na akili za hovyo kiasi hiki,kumkamata Rwigayana na mama yake kisha kuwapa kesi na kuagiza mahakama kuuza kiwanda kwa bei ya hasara kwa mnada ni jambo...
Vladmir Putin anapotuma ujumbe kwa Mataifa yote kuuelewa!.
"They did not listen to us then!.. Listen now"...
Angalia na jibu la mmoja wa commentator wa Washington Post [emoji116][emoji116]...
Waasi wamemuua mwanajeshi mmoja katika shambulizi dhidi ya makazi ya Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo mashariki mwa nchi hiyo ambako mizozo kadhaa imezuka katika kipindi cha...