Mwanamke mmoja nchini Afrika Kusini amezua taharuki baada ya kupatikana akiwa hai katika jokofu la kwenye chumba cha kuhifadhia maiti.
Mwanamke huyo alifikishwa katika chumba hicho baada ya...
On January 28, Egypt's President Abdel Fattah el-Sisi was elected to head the African Union's (AU) 31st session that is due to start in January 2019. This was a massive diplomatic coup for a...
Mwanamume mmoja katika jimbo ya Texas, Marekani nusura afe baada ya kuumwa na kichwa cha nyoka ambaye alikuwa amemkata na kumuua.
Jennifer Sutcliffe ameambia kituo cha runinga cha KIII-TV kwamba...
My meeting today with so many students leaves me even more optimistic and hopeful about our future.
In the new Zimbabwe, in which dialogue is key, the youth will always be part of the decision...
Hivi karibuni wiki iliyopita kwa mara nyingine tena Kim Jung Un alitembelea china na kuonana na rais wa china kwa mazungumzo.
Kim Jong Un alimuomba rais wa china afanye kazi ya kusaidia kuondoa...
Jambazi sugu Redoine Faid (46) ametoroka gerezani, awamu hii ametumia helikopta akisaidiwa na watu watatu wenye silaha waliomchukua ktk chumba cha wageni.
Faid alifungwa miaka 25 kwa jaribio la...
Anasema alitokewa na Yesu, akampa tiketi kibao kugawia watu wenye dhambi ili siku ikifika waingilie kwenye mageti ya mbinguni.
Bei ya tiketi moja ni USD 500 zaidi ya Millioni moja ya Kitanzania...
Tehran Imeapa kuizuia Marekani katika juhudi zake za Kuizuia Iran isisafirishe Mafuta marabaada kuruhusu Makampuni Binafsi Kusafirisha Mafuta kama Malighafi. Eshaq Jahangiri ambaye ni Makamu raisi...
Shirika la Kimataifa la Uhamiaji - IOM, limesema zaidi ya wakimbizi na wahamiaji 1,400 wamekufa mwaka huu wakijaribu kuvuka Bahari ya Mediterania kutokea nchi za Afrika na Mashariki ya Kati...
Mamoudou Gassama.
RAIA wa Mali, Mamoudou Gassama, aliyepanda hadi ghorofa ya nne ya jengo moja kwa kupitia nje na kumwokoa mtoto aliyekuwa ananing’inia pia kwa nje nchini Ufaransa, ametunukiwa...
UMOJA wa nchi za Ulaya pamoja na Canada ambayo ni mwenyeji wa mkutano wa kilele wa nchi saba tajiri duniani, umemwonya Rais wa Marekani, Donald Trump, kuwa hawaogopi chochote licha ya hofu ya...
Hapo ni kwenye mkutano wa G7 Mwanaume amewekwa mtu katika ili akubaliane na wenzake katika mambo mbalimbali duniani lakini jamaa amezidi kuweka roho ngumu tu.
Naona Mama wa Kijerumani amepewa...
KUALA LUMPUR (Reuters) - Malaysian anti-corruption agents arrested former Prime Minister Najib Razak on Tuesday following a probe into how money went missing from a state fund he founded almost a...
Mfalme Mswati wa Swaziland ametumia mswada bungeni kuhusu kutungwa kwa sheria mpya kwa raia kutoka nje ya nchi hiyo kulipa kodi watakapofunga ndoa na wanawake nchini Swaziland kwa kutozwa kiasi...
Watu 11 wa familia moja wamepatikana wakiwa wamekufa kwenye nyumba iliyo katika mji mkuu wa India Delhi, 10 kati yao wakiwa wananing'inia kutoka kwa dari la nyumba hiyo, kwa mujibu wa polisi...
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un.
Hofu kubwa ya kuuawa imemkumba kiongozi wa Korea Kaskazini na tangu kuwasili nchini Singapore kwa mkutano wake na Donald Trump, idara ya usalama ya Korea...
Kuna watu wanajua kuzitafuta fursa za kibiashara duniani ....safi sana....Simba SC wameshindwa kutumia nafasi huko Nairobi ya kwenda London ili nao kujitangaza kwa kuruhusu wachezaji muhimu...
Hamjambo wadau,
Vyombo mbalimbali vya habari duniani vimeripoti leo kuwa D. TRUMP na KIM JONG UN wameshafika Singapore kwa ajili ya mkutano wao wiki hii.
Hatahivyo maandalizi yameendelea vyema...