‘Dead’ woman comes back to life in morgue fridge

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,723
Mwanamke mmoja nchini Afrika Kusini amezua taharuki baada ya kupatikana akiwa hai katika jokofu la kwenye chumba cha kuhifadhia maiti.

Mwanamke huyo alifikishwa katika chumba hicho baada ya madaktari kusema alikuwa amefariki dunia kufuatia ajali ya barabarani.

Katika uchunguzi wao madaktari walisema hakuonyesha dalili zozote za kuwa hai na hivyo kutamka kuwa alikuwa amepoteza maisha.

150924-death.jpg

​
A woman pronounced dead in a road accident near Johannesburg was discovered to be alive by a mortuary worker who pulled her body out of a fridge.

The unnamed female passenger was one of three people pronounced dead by paramedics who had been called to reports of an overturned vehicle on a road outside Carletonville, west of Johannesburg. After being examined she was taken to a nearby mortuary.

A mortuary employee told The Sowetan what happened next. As his colleagues started filling in paperwork for the deceased, one opened the refrigerated unit where cadavers are stored to check the bodies.

“When he pulled out the woman’s body, he saw that she was breathing,” the source said.

“You never expect to open a fridge and find someone there alive,” the employee added. “Can you image if we had begun the autopsy and killed her?”

The woman, who had suffered serious head injuries, was rushed to Leratong Hospital in nearby Krugersdorp, where she remains.

Ambulance company Distress Alert operations manager Gerrit Bradnick said that the presence of another private ambulance crew at the scene added to the chaos and that there was “no evidence” of negligence.

“Equipment used to determine life showed no form of life on the woman,” he said, adding: “A number of things can influence the detection of life, including cold, alcohol, drugs and injuries.”

“This did not happen because our paramedics are not properly trained.”

Bradnick said the reason for the mis-declaration was “a mystery”.

“Thinking about her injuries, how long she lay waiting for the mortuary officials, the trip back to the morgue, then how she would have been undressed, weighed and then put in the fridge… we are just thankful she is alive,” he told Times Live.

The Gauteng district health department is to investigate the incident.

Source: Dead woman found very much alive in morgue fridge
 
Haya mambo yanatokea sana. Hasa kwa uzembe wa madr. Hii iliwahi kutokea miaka ya nyuma sana kule kijijini kwetu. Tena jamaa alikaa mortuary kwa siku mbili. Ila sio kwenye fridge.

Ilikuwa kimbembe. Akalazimishwa kuzikwa. Sababu yeye alizinduka wakati watu walipofika makaburini. Muda wote wa ibada mpaka kuaga alikuwa kimya. Alipofikishwa makaburini tu akazinduka.

Kukawa na ubishani. Wengine wakitaka aachwe wengine wakitaka azikwe. Wazee wakasema utakuwa uchuro, wakamzika.
 
Ni kwa rehema na neema tu walahi
 
duuuh
 
Du mkuu kweli au chai?
 
Hao ndugu walikuwa na roho mbaya sana,badala wafurahie kuwa mtu hajafa,wao wanamzika,au walikuwa wamechungulia mali zake,kwamba akirudi hawapati kitu????
 
duhh!! kwani alipozinduka alikuwa na hali gani? ina mana alizikwa hai?
Ilikuwa hivi. Pale kijijini kuna kanisa na hospitali. Yule mgonjwa alilazwa pale hospitali. Akafa kama wagonjwa wengine wanavyokufa. Maiti ikachukuliwa na kuwekwa mortuary kama kawaida. Watu wakalia msiba. Siku iliyofuata ilikuwa ndio siku ya kuzika. Pale kanisani kulikuwa na jeneza ambalo lilitumika kwa ajili ya kubebea tu ila maiti alikuwa akizikwa kwa sanda tu.

Basi maiti ikachukuliwa ikaoshwa kama kawaida na kuwekwa kwenye jeneza na kupelekwa kanisani kwa ajili ya misa au ibada ya mazishi. Misa ilifanyika pale kanisani. Baada ya ibada watu wakaanza safari kuelekea makaburini, makaburi ambayo yalikuwa eneo la kanisa. Wakati woto huo jamaa kimya

Kufika kaburini maiti ikatolewa na kushushwa kaburini. Kurushwa chepe la kwanza la udongo akapiga kelele., na kujaribu kufurukuta kumbuka alikuwa kafungwa kwa sanda. Kutupa la pili kelele zikaongezeka. Watu wengine wakakimbia wengine wakabaki. Shughuli ya kufukia ikasimama. Padri kwa kushirikiana na baadhi ya qazee kakabubaliana na familia ya marehemu na kufikia kuwa wamzike tu kwa sababu tayari kashafanyiwa ibada kama maiti. Wazee wao kasema kuwa ni uchuro na mbaya kwenye ukoo.

Kazi ya kufukia ikaendelea. Mpaka leo watu hawajajua kama jamaa alikuwa kafa au alifufuka.
 
Aisee!! Kweli dunia ina mambo

btw we mwenyewe ulikuwepo wakati wa tukio au ulihadithiwa mana nataman kuuliza maswal zaid yan mkuu
 
Nilihadithiwa ila hiyo familia iliyokumbwa na hilo tukio naijua. Na hilo tukia lilovuma sana hata ndugu zao wa sasa wanasema wangekuwepo wasingekubali.
 
Ilikuwa hivi. Pale kijijini kuna kanisa na hospitali. Yule mgonjwa alilazwa pale hospitali. Akafa kama wagonjwa wengine wanavyokufa. Maiti ikachukuliwa na kuwekwa mortuary kama kawaida. Watu wakalia msiba. Siku iliyofuata ilikuwa ndio siku ya kuzika. Pale kanisani kulikuwa na jeneza ambalo lilitumika kwa ajili ya kubebea tu ila maiti alikuwa akizikwa kwa sanda tu.

Basi maiti ikachukuliwa ikaoshwa kama kawaida na kuwekwa kwenye jeneza na kupelekwa kanisani kwa ajili ya misa au ibada ya mazishi. Misa ilifanyika pale kanisani. Baada ya ibada watu wakaanza safari kuelekea makaburini, makaburi ambayo yalikuwa eneo la kanisa. Wakati woto huo jamaa kimya

Kufika kaburini maiti ikatolewa na kushushwa kaburini. Kurushwa chepe la kwanza la udongo akapiga kelele., na kujaribu kufurukuta kumbuka alikuwa kafungwa kwa sanda. Kutupa la pili kelele zikaongezeka. Watu wengine wakakimbia wengine wakabaki. Shughuli ya kufukia ikasimama. Padri kwa kushirikiana na baadhi ya qazee kakabubaliana na familia ya marehemu na kufikia kuwa wamzike tu kwa sababu tayari kashafanyiwa ibada kama maiti. Wazee wao kasema kuwa ni uchuro na mbaya kwenye ukoo.

Kazi ya kufukia ikaendelea. Mpaka leo watu hawajajua kama jamaa alikuwa kafa au alifufuka.
Duuu! Walifanya kosa kubwa sana. Wangefungua sanda wamuone usoni na wamuulize kulikoni kabla ya kumzika. Walifanya ukatili kama kweli alikuwa hajafa.
 
Ilikuwa hivi. Pale kijijini kuna kanisa na hospitali. Yule mgonjwa alilazwa pale hospitali. Akafa kama wagonjwa wengine wanavyokufa. Maiti ikachukuliwa na kuwekwa mortuary kama kawaida. Watu wakalia msiba. Siku iliyofuata ilikuwa ndio siku ya kuzika. Pale kanisani kulikuwa na jeneza ambalo lilitumika kwa ajili ya kubebea tu ila maiti alikuwa akizikwa kwa sanda tu.

Basi maiti ikachukuliwa ikaoshwa kama kawaida na kuwekwa kwenye jeneza na kupelekwa kanisani kwa ajili ya misa au ibada ya mazishi. Misa ilifanyika pale kanisani. Baada ya ibada watu wakaanza safari kuelekea makaburini, makaburi ambayo yalikuwa eneo la kanisa. Wakati woto huo jamaa kimya

Kufika kaburini maiti ikatolewa na kushushwa kaburini. Kurushwa chepe la kwanza la udongo akapiga kelele., na kujaribu kufurukuta kumbuka alikuwa kafungwa kwa sanda. Kutupa la pili kelele zikaongezeka. Watu wengine wakakimbia wengine wakabaki. Shughuli ya kufukia ikasimama. Padri kwa kushirikiana na baadhi ya qazee kakabubaliana na familia ya marehemu na kufikia kuwa wamzike tu kwa sababu tayari kashafanyiwa ibada kama maiti. Wazee wao kasema kuwa ni uchuro na mbaya kwenye ukoo.

Kazi ya kufukia ikaendelea. Mpaka leo watu hawajajua kama jamaa alikuwa kafa au alifufuka.
Mkuu usinifanye niichukie dini!!! Yaani ukishafanyiwa ibada ya maiti na wakati si maiti basi inakulazimu kuwa maiti? Dini ipi hiyo niepukane nayo ndugu? Na hao wazee wa mila nao walikuwa wamelewa mbege tu! Hivi uchuro ni mtu kufa?au mtu kuwa hai? Yaani ukidhani kuwa mtu amekufa ni sawa ila ukimkuta yuko hai basi inageuka uchuro? Nani mchuro sasaa kama si hao wanaomzika mtu akiwa hai? Kweli dini na mila zetu nyingi ni za kish--n-zy
 
Ilikuwa hivi. Pale kijijini kuna kanisa na hospitali. Yule mgonjwa alilazwa pale hospitali. Akafa kama wagonjwa wengine wanavyokufa. Maiti ikachukuliwa na kuwekwa mortuary kama kawaida. Watu wakalia msiba. Siku iliyofuata ilikuwa ndio siku ya kuzika. Pale kanisani kulikuwa na jeneza ambalo lilitumika kwa ajili ya kubebea tu ila maiti alikuwa akizikwa kwa sanda tu.

Basi maiti ikachukuliwa ikaoshwa kama kawaida na kuwekwa kwenye jeneza na kupelekwa kanisani kwa ajili ya misa au ibada ya mazishi. Misa ilifanyika pale kanisani. Baada ya ibada watu wakaanza safari kuelekea makaburini, makaburi ambayo yalikuwa eneo la kanisa. Wakati woto huo jamaa kimya

Kufika kaburini maiti ikatolewa na kushushwa kaburini. Kurushwa chepe la kwanza la udongo akapiga kelele., na kujaribu kufurukuta kumbuka alikuwa kafungwa kwa sanda. Kutupa la pili kelele zikaongezeka. Watu wengine wakakimbia wengine wakabaki. Shughuli ya kufukia ikasimama. Padri kwa kushirikiana na baadhi ya qazee kakabubaliana na familia ya marehemu na kufikia kuwa wamzike tu kwa sababu tayari kashafanyiwa ibada kama maiti. Wazee wao kasema kuwa ni uchuro na mbaya kwenye ukoo.

Kazi ya kufukia ikaendelea. Mpaka leo watu hawajajua kama jamaa alikuwa kafa au alifufuka.
Hao wazee pamoja na hao viongozi wa dini wote ni wauaji, wamemzika mtu angali hai. Inasikitisha sana.
 
Nilihadithiwa ila hiyo familia iliyokumbwa na hilo tukio naijua. Na hilo tukia lilovuma sana hata ndugu zao wa sasa wanasema wangekuwepo wasingekubali.
Kiukwel mi nimeshangaa hao viongoz wa dini na wazee kusema jamaa afukiwe asee wakat unaeza kuta ndo alizinduka muda ule
 
Ilikuwa hivi. Pale kijijini kuna kanisa na hospitali. Yule mgonjwa alilazwa pale hospitali. Akafa kama wagonjwa wengine wanavyokufa. Maiti ikachukuliwa na kuwekwa mortuary kama kawaida. Watu wakalia msiba. Siku iliyofuata ilikuwa ndio siku ya kuzika. Pale kanisani kulikuwa na jeneza ambalo lilitumika kwa ajili ya kubebea tu ila maiti alikuwa akizikwa kwa sanda tu.

Basi maiti ikachukuliwa ikaoshwa kama kawaida na kuwekwa kwenye jeneza na kupelekwa kanisani kwa ajili ya misa au ibada ya mazishi. Misa ilifanyika pale kanisani. Baada ya ibada watu wakaanza safari kuelekea makaburini, makaburi ambayo yalikuwa eneo la kanisa. Wakati woto huo jamaa kimya

Kufika kaburini maiti ikatolewa na kushushwa kaburini. Kurushwa chepe la kwanza la udongo akapiga kelele., na kujaribu kufurukuta kumbuka alikuwa kafungwa kwa sanda. Kutupa la pili kelele zikaongezeka. Watu wengine wakakimbia wengine wakabaki. Shughuli ya kufukia ikasimama. Padri kwa kushirikiana na baadhi ya qazee kakabubaliana na familia ya marehemu na kufikia kuwa wamzike tu kwa sababu tayari kashafanyiwa ibada kama maiti. Wazee wao kasema kuwa ni uchuro na mbaya kwenye ukoo.

Kazi ya kufukia ikaendelea. Mpaka leo watu hawajajua kama jamaa alikuwa kafa au alifufuka.
Walitakiwa wafungwe maisha kwa kuua
 
Back
Top Bottom