"Today in Brussels, President Donald J. Trump made it perfectly clear: the U.S. taxpayer is not, and no longer going to be, Europe's ATM machine." —Sean Hannity Hannity on NATO: Germany Could...
Leo juma tano, afisa wa US ametupilia mbali madai ya Trump kuwa NK imeshatuma mabaki ya wanajeshi wa US waliouawa ktk vita vya Korea. Afisa huyo kasema itachukua miaka kadhaa kutambua mifupa ya...
Trump kashushuliwa na mwalimu mstaafu wa lugha ya 'malikia wa Uingereza', Mwalimu huyo kamweleza Trump ana kiingereza kibovu kama cha TUJITEGEMEE (tunasemwa sana eti sisi waswahili hatuji...
Syria yajibu mashambulizi mapya ya Israel huko Guneitra
Shirika la habari la serikali ya Syria SANA limesema, Jeshi la anga la Syria limejibu mashambulizi mapya yaliyofanywa na Israel dhidi ya...
Kinachoonekana kwa sasa mambo mengi hayaendi kwa hawa watu wanaojifanya wao ndo maaskari wa hii dunia kuwa wakisema geuka kulia basi tunageuka, pinda kushoto nasi tunapinda, songa mbele hatua...
Gavana wa mji wa Veracruz nchini Mexico Miguel Angel amewataka Polisi katika mji wake kuanza kutumia manati kukabiliana na wahalifu badala ya kutumia bunduki
Imeelezwa kuwa Gavana Miguel...
Miaka karibia 20 akiwa madarakani, Vladmir Putin huwa hana ziara za kiserikali barani Afrika tofauti na mataifa mengine makubwa ya dunia kama China na Marekani. Je ni huwa kinamfanya Putin...
Baada ya kupokea ndege mpya aina ya Air bus mwezi wa tisa mwaka huu,shirika la ndege la Rwanda limepokea ndege nyingine mpya aina ya Boeng 738-800 kizazi kipya yenye kubeba abiria 154...
UINGEREZA: Waziri wa Mambo ya Nje, Boris Johnson ametangaza kujiuzulu wakati nchi hiyo ikiwa kwenye mgogoro uliozuka katika utekelezaji wa mpango wa kujiondoa kutoka katika uanachama wa Jumuiya ya...
Mnamo tarehe 23 June Vijana 12 wachezaji wa mpira wa miguu pamoja Mwalimu wao walipotelea kwenye mapango maarufu Tham Luang yaliyopo kwenye mkoa wa Chiang Raihuko nchini Thailand.
Waokoaji...
Wasichana 16 kutoka mikoa ya Burundi waliokuwa wamefika kwenye fainali ya mashindano ya kumteua msichana mrembo Burundi (Miss Burundi) wamejiondoa katika shindalo hilo.
Hatua hiyo sasa inaonekana...
Hatimae Ile timu ya Vijana 12 na Kocha wao walionasa kwenye handaki kwa siku 12 wameanza kuokolewa leo ambapo vijana Wanne wameshaokolewa hadi sasa.
Hali ya hewa ni Mbaya na pango linaendelea...
Mtoto wa umri wa miaka miwili nchini Marekani amefariki baada ya kujipiga risasi kichwani kwa bunduki ambayo imekuwa ikihifadhiwa na wazazi wake nyumbani kwao.
Polisi wa Houston, Texas wanasema...
Rais Alassane Ouattara avunja Serikali kufuatia mgogoro ulioibuka kati ya vyama viwili vilivyoungana kuunda Serikali
Waziri Mkuu, Amadou Gon Coulibaly ateuliwa tena ili aunde Serikali mpya...
*LIVINGSTONE HOTEL*
Kwa Mahitaji yako ya Hotel Nzuri yenye hadhi ya Kimataifa ndani ya *Bagamoyo*
Karibu *Livingstone Hotel* Ukutane huduma bora za Kihotel kutoka kwa staffs wetu wenye *Weledi*...
Huenda limetolewa kutoka Kombe la Dunia, lakini taifa la Sweden limetuacha na mambo ya kushangaza. Umewahi kuyasikia haya kuhusu Sweden?
1. Kila mmoja anaruhusiwa kukwea jukwaa harusini.
Atakaye...
Hawa wenzetu sometimes sijui vipi wanakua aggressive kupitiliza, bado nafuatilia mkasa uliowakumba vijana 13 waliokwama pangoni kwa zaidi ya wiki mbili
Je walifuata kitu gani Mule? Mungu awape...
Mgombea Useneta California John Fitzgerald: Kadhia ya Holocaust ni ya kubuni tu
John Fitzgerald, mmoja wa wagombe wa kiti cha jimbo la California katika Baraza la Wawakilishi la Seneti nchini...
Marekani Imesema malengo yake ni kuwa na Nchi Nyingi ambazo zitaweza kushusha Usafirishaji wa Mafuta ya Iran.
Lakini Mamlaka hizo za Washington zinapanga Shinikizo katika Serikali ya Tehran...