International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

LTC/USD Medium-term Trend: Bullish Resistance Levels: $91, $93, $95 Support Levels: $85, $83, $81 Yesterday, July 25th, the price of Litecoin was range bound between the levels $90 and $80. As...
0 Reactions
2 Replies
840 Views
Hotuba ya Mike Pompeo dhidi ya Iran yazomewa Matamshi mabaya dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yaliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Mike Pompeo, yamekabiliwa na ukosolewaji...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
White House yalegeza kamba kuhusu matamshi ya vitisho ya Trump dhidi ya Iran Msemaji wa Ikulu ya Marekani (White House) amelegeza kkamba kuhusiana na matamshi ya vitisho ya Rais Donald Trump dhidi...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May amesema serikali yake itapinga vikali hukumu ya kuonyongwa magaidi wakufurishaji wa kundi la ISIS au Daesh ambao ni raia wa nchi hiyo. Akizungumza na waandishi...
5 Reactions
32 Replies
3K Views
Qassemi katika kujibu Tweet ya Trump: Taifa la Iran litatoa jibu kwa uchokozi Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amejibu ujumbe wa kichochezi wa Twitter wa Rais Donald Trump wa Marekani na...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
"Mapambano makali yanaendelea Kusini Magharibi mwa Rwanda kati ya vikosi vya waasi na vile vya majeshi ya Serikali katili na dhalimu ya Rais Meja Jenerali Paul Kagame, raia wengi wa Rwanda...
16 Reactions
449 Replies
65K Views
Ni jambo la kushangaza sana toka mwaka 2011 naona mabomu na vyombo vya moto (Kuteketeza) vikielekezwa katika taifa la Syria na kufanya uharibifu mkubwa ikiwamo kuacha magofu kwa maeneo mbalimbali...
1 Reactions
30 Replies
2K Views
Moto mkubwa uliozuka na kuunguza msitu nchini Ugiriki umeua watu 50, huku mamlaka nchini humo zikisema kuwa zinahitaji msaada wa kimataifa ili kukabiliana na moto huo. Mamia ya wafanyakazi wa...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Hatimaye rais wa Urusi, bwana Putin afungua daraja linaloziunganisha Crimea na Urusi bara lenye urefu wa km 19 na ambalo ni refu zaidi barani ulaya kwa kutumia kamaz truck kuvuka kwenye daraja...
1 Reactions
63 Replies
8K Views
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iko tayari kukabiliana na chokochoko zozote za maadui Meja Jenerali Muhammad Baqeri Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya Iran ameashiria uadui wa Marekani dhidi ya Mapinduzi...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Taarifa kutoka Zimbabwe zinaonyesha kwamba chama kikongwe cha ZANU - PF na mgombea wake Mnangwaga , aliyeingia madarakani kwa mapinduzi ya kijeshi wana hali mbaya mno , mgombea huyo kikongwe...
10 Reactions
46 Replies
4K Views
Kuna uwekezano Marekani ikaishambulia kijeshi Venezuela. Balozi wa Russia nchini Venezuela ameonyesha masikitiko yake kutokana na uwezekano wa Marekani kuchukua hatua ya kijeshi dhidi ya nchi hiyo...
3 Reactions
63 Replies
7K Views
Nimekuwa nikimfuatilia huyu kiongozi tangu aondoke ANC na amekuwa na ushawishi mzuri kama kiongozi muadirifu. Je huyu aweza kufikia uongozi uliotikuka kwasifa za mzee Madiba? Ni mtu asiye ogopa...
1 Reactions
57 Replies
4K Views
Daktari wa ubadilishaji viungo anayefahamika kwa jina la Dokta Bumbum ametoroka baada ya kusababisha kifo cha mwanamke mmoja aliyemchoma sindano kwa ajili ya kukuza makalio. Wapelelezi wanasema...
4 Reactions
20 Replies
4K Views
Katika kupinga sheria inayowazuia watu wa Jinsia moja Kuasili mtoto, Wenye kujihusisha na mahusiano ya Jinsia moja huko Israel wamefanya maandamano makubwa sana wakiishutumu serikali ya Netanyahu...
1 Reactions
54 Replies
6K Views
We all know how good yoga is for you, but what about yoga at the seaside? At Yacht and Yoga we know it's even better! Research shows that being by the sea has many benefits: our stress levels...
0 Reactions
0 Replies
751 Views
Kwa maelekezo ni week sasa tokea Putin Afungue daraja Ile kwa mbwembwe, lakin vyombo vya habari vimereport suala ilo mara kadhaa, na kuacha gafla kulishupalia, kutokana na kwamba wakilushupalia...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Africa’s richest man thinks Donald Trump is onto something with higher tariffs Lynsey Chutel July 20, 2018 Quartz africa "Well that’s what I’m saying." (Reuters/Akintunde Akinleye) Johannesburg...
3 Reactions
33 Replies
7K Views
Takribani watu 20 wamefariki dunia na wengine wengi kujeruhiwa kufuatia treni mbili kugongana mjini Alexandria. -------- Two trains collided in Egypt's coastal city of Alexandria on Friday...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Waziri wa zamani wa Nishati, Samuel Undenge amehukumiwa kifungo cha miaka minne jela baada ya kupatikana na hatia katika makosa ya rushwa Waziri huyo aliyefanya kazi kipindi ya Rais Mugabe...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…