ZIMBABWE: Mugabe-era Minister jailed for corruption

ZIMBABWE: Mugabe-era Minister jailed for corruption

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,566
Reaction score
4,013
Waziri wa zamani wa Nishati, Samuel Undenge amehukumiwa kifungo cha miaka minne jela baada ya kupatikana na hatia katika makosa ya rushwa

Waziri huyo aliyefanya kazi kipindi ya Rais Mugabe amekuwa kiongozi wa kwanza kuhukumiwa tangu Rais Mugabe aondolewe madarakani

Undenge anatuhumiwa kusaini mikataba na kuzilipa Kampuni ambazo hakuwahi kufanya kazi kiasi cha dola za Kimarekani 12,650

Aidha, Wakili wa Undenge amesema atakata rufaa juu ya hukumu hiyo kwa kuwa imekuwa ya kushtua mno

Wakati huo huo, Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje, Walter Mzembi anakabiliwa na mashitaka ya kutumia vibaya ofisi ya Umma huku Waziri wa zamaani wa Fedha, Ignatius Chombo akishitakiwa kwa makosa ya rushwa. Mawaziri wote hao wamekana mashitaka yao

IMG_20180723_082435_801.jpg
=======

A former minister who served under Zimbabwe’s ex-president Robert Mugabe was found guilty of corruption and sentenced to four years in jail on Friday, his lawyer said, the first conviction of a Mugabe-era official since he stepped down.

Mugabe resigned in November after 37 years in power following a military coup. His former deputy Emmerson Mnangagwa took power, vowing to root out corruption in a bid to attract investors to an economy crippled by a decade of hyperinflation and a sharp shortage of foreign currency.

Samuel Undenge, an energy minister in Mugabe’s cabinet, was accused of issuing a $12,650 contract without due tender to a company that did no work.

His lawyer Alex Muchadehama told Reuters that he would appeal the court’s decision, saying the sentence was “shocking”.

He will however only serve two and half years of the four year sentence after the court said 18 months would be conditionally suspended.

Former foreign minister Walter Mzembi faces charges of “criminal abuse of office”, and former finance minister Ignatius Chombo has been charged tried to defraud the central bank over a decade ago. They both deny wrongdoing.
 
I believe baadhi ya mawaziri wa baadhi ya Nchi zetu hizi wanatake notes. Yaliyowakuta Bazil Mramba na Yona kuna siku yanaweza kuwatokea baadhi ya mawaziri wa ssa wa Jiwe, wanaotekeleza maagizo bila kutumia bongo zao sawasawa
 
Mkuu, hauna ya kiswahili chake...?
Maana hapa sina muwani.
 
Mkuu, hauna ya kiswahili chake...?
Maana hapa sina muwani.
Uzi mzima unamaanisha hivi.

Ukiwa mwanaume usiseme jela hutaenda hujui siku wala saa shahidi ni aliyewahi kua waziri wa Nishati wa Zimbabwe
 
Uzi mzima unamaanisha hivi.

Ukiwa mwanaume usiseme jela hutaenda hujui siku wala saa shahidi ni aliyewahi kua waziri wa Nishati wa Zimbabwe
Mkuu....
Asante kwa tafasiri mujarab kabisa, naomba niamini kwamba haujailisha matango pori... tehteehhh
 
Back
Top Bottom