Wenye kujihusisha na mapenzi ya Jinsia Moja wafanya maandamano Makubwa Israel

Gamba la Nyoka

JF-Expert Member
May 1, 2007
7,022
9,285
Katika kupinga sheria inayowazuia watu wa Jinsia moja Kuasili mtoto, Wenye kujihusisha na mahusiano ya Jinsia moja huko Israel wamefanya maandamano makubwa sana wakiishutumu serikali ya Netanyahu kuwadanganya. Mashoga hao wanamlaumu Netanyahu kusaini Muswada wa kuwakataza kuasili watoto wakati Ni siku chache nyuma aliwahakikishia kuwa yuko nao.
Maandamano haya yanakuja siku chache baada ya Israel kupitisha sheria ya "Utaifa" inayotamka bayana kuwa Israel ni Taifa la Kiyahudi, sheria iliyolaaniwa vikali na raia wengine wa Israel wenye asili ya kiarabu ambao ni asilimia 20 ya wananchi wote wa Israel.
Maandamano haya ya Wenye kujihusisha na mapenzi ya Jinsia moja yamefanyika katika miji mikubwa ikiwemo Jerusalem, Haifa, Be’er Sheva and Tel Aviv

Habari zaidi unaweza kuisoma hapa:LGBT community stages nationwide protest against Surrogacy Law
 
Na mademu nao wameandamana, ina maana hao mademu wanaunga mkono mashoga au usagaji...!??
Dunia ina mambo hatari..
 
Ndo tujue kufir.wa kuna utamu wake mwanaume unabeba bango ili utetee haki ya watu kudumbukiza mikuki kwenye tope!!!!

Siyo kazi ndogo
 
Back
Top Bottom