Umoja wa Mataifa umeonya kuwa watu milioni 12 nchini Yemen wanakabiliwa na kitisho cha uhaba mkubwa wa chakula iwapo hali ya usalama na kiuchumi katika taifa hilo linalokumbwa na vita haitaboreka...
Marekani imesimamisha matumizi ya ndege vita zake kuruka dunia nzima aina ya F-35 kutoka na na ndege mojawapo iliyoanguka kugundulika kuwa ndege hizo zina matatizo ya kiufundi.
Israel nayo...
Mwanamfalme Harry na mkewe Meghan wanatarajia kupata mtoto mwezi wa April mwakani, imetangazwa leo na Kasri ya Kensington.
Taarifa hiyo imeeleza furaha waliyo nayo Meghan na Harry pamoja na...
Baada ya wiki mbili za utata wa kifo cha mwandishi wa habari huko Uturuki kwenye ubalozi wa Saudi Arabia. Mwanamfalme wa Saudi Arabia Mohamed Bin Salman ametoa offer ya kuinunua klabu ya...
Baraza jipya la Mawaziri laweka rekodi mpya kwa kuwa na asilimia 50 ya Wanawake. Hii inajumuisha kuteuliwa kwa mara ya kwanza kwa Waziri wa Ulinzi Mwanamke.
Hii ni baada ya Bunge kumuidhinisha...
President says government needs foreign funds but doesn’t know the location of missing debt money
By
Matt Wirz
Oct. 16, 2018 7:00 a.m. ET
Banks that arranged billions of dollars of loans to...
Vazi la Niqab kupigwa marufuku Ujerumani
Bunge nchini Ujerumani limepiga kura ya kuunga mkono wafanyikazi wa serikali kutovaa vazi la kiislamu linaloficha uso la Niqab wakati wanapokuwa kazini...
Wakazi wa kisiwa cha Anjouan nchini Comoro wamesema kumekuwa na milio ya risasi katika mitaa ya mji mkuu wa nchi hiyo Mutsamudu, baada ya vikosi vya ulinzi kuvunja vizuizi vya barabarani, ambapo...
Huko Kenya, waandishi wa habari wamefunua vitendo vya kibaguzi na udharilishaji unaofanywa na wafanyakazi wa Kichina wanaosimamia reli ya Nairobi-Mombasa. Taarifa iliyotolewa imetaja mambo...
Huyu ni mtoto wa kambo wa Chief of Defence wa Sudani ya Kusini. Pamoja na kula bata hivi, lakini inadaiwa jamaa anasaidia sana jamii.
Young Tycoon has spent more than 15 million dollars in one...
Serikali ya Australia inafikiria kuhamishia Ofisi za Ubalozi wake kutoka Tel Aviv kwenda Jerusalem
Hii ni kw amujibu wa Waziri Mkuu wa taifa hilo la Mashariki ya mbali, Scott Morrison. Akiwa...
Bloomberg News
SOUTH AFRICAN AIRWAYS imeiomba mmiliki wake, serikali ya Afrika Kusini, iwasaidie fedha taslimu za kuiokoa ( cash bailout ) kuiepusha kufunga biashara.
SA Airways imeelemewa na...
Tukiachilia mbali historia ya mataifa ya afrika kiuchumi na kisiasa, Leo nakuja jukwaani na kisanga kipya ambacho kinataka kufahamu zaidi juu ya MCHANGO WA WB AFRICA, Naomba niishie kuhoji hivyo...
Baba wa Mwanasoka wa Kimataifa, Vincent Kompany, Pierre Kompany achaguliwa kuwa Meya wa Manispaa ya Mji wa Ganshoren uliopo ndani ya Mji Mkuu Brussels.
Pierre Kompany anakuwa Mtu mweusi wa kwanza...
Jumanne ya wiki iliyopita Mwandishi wa habari maarufu, Jamal Khashoggi alionekana akiingia ndani ya ubalozi wa Saudi Arabia uliopo Instanbul nchini Uturuki
Baada ya hapo mwanahabari huyo...
Kimbunga kilichopewa jina la Michael kinatarajiwa kulimbuka jimbo la Florida nchini Marekani jioni ya leo huku mamlaka zinazohusika na masuala ya hali ya hewa zikionya kuwa kimbunga hicho...
Sasa imefahamika rasmi Jamal Khasoghi mwandishi wa habari maarufu aliyepotelea kwenye ubalozi wa Saudi Arabia huko Uturuki aliuwawa baada ya kuteswa na wauuaji kutoka Saudi Arabia. Mauuaji hayo...