International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Waasi wa Houthi wametangaza kwamba watasitisha mashambulizi ya makombora na ndege zisizo na rubani dhidi ya muungano wa majeshi yanayoongozwa na Saudi Arabia pamoja na washirika wake nchini Yemen...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Viongozi wa dunia washiriki Kongamano la Barabara ya Hariri, China; Marekani yatengwa Apr 27, 2019 07:38 UTC Zaidi ya viongozi 40 na wajumbe elfu tano kutoka nchi mbalimbali duniani wanakongamana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika mpango huo uliovuja: Mpango unahusisha kuchochea ugomvi wa wenyewe kwa wenyewe ndani ya Lebanon halafu Israel ivamie eti kwenda kuzuia mauaji ya raia. Mpango huo unalenga kwa Marekani...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Earlier Today: The Supreme Court in Rwanda has rejected a challenge to a law which says it is a crime to insult the president. The law, which was introduced last year, means that anyone insulting...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Afrika Habari ya leo huko Congo wananchi wanne wauwawa na magari mawili kuchomwa na waasi. Wananchi uganda kaskazini enzi za konyi walikuwa wanakatwa mikono, wanauwawa na kufanyiwa kila unyama...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Intel minister: Iran identified 290 CIA spies, made arrests Home / Iran / Defence Iranian Intelligence Minister Mahmoud Alavi speaks before weekly Friday prayers sermons in the Iranian capital...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Sudan's ruling military council and the opposition alliance have reached an agreement in principle to form a new body to run the country until the next election. The agreement was reached during...
0 Reactions
0 Replies
631 Views
Kikundi cha waasi wa fdl siku ya Leo wamekamatwa nchini Tanzania huko maeneo ya ngara mkoani kagera. Waasi hao wamekamatwa na maafisa wa usalama. Source BBC Swahili
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Shambulio la anga la majeshi ya ushirika yakiongozwa na Saudia huko Yemen limeua waasi wa Kihouthi si chini ya 38 ikiwa ni pamoja na makamanda wawili. Shambulio hilo lililenga mkutano wa juu wa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
1: The Nour al-Din al-Zenki Movement Hili ni Kundi dogo la "waasi" wanao jihusisha na vita ya "wenyewe kwa wenyewe" huko Syria . Lilianzishwa mwaka 2014 na kupokea silaha nzito za kulipulia...
6 Reactions
11 Replies
2K Views
Muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia umesema waasi 50 wa Houthi wamesafirishwa kuelekea Oman kwa ajili ya matibabu huku Martin Griffiths akiwasili mjini Sanaa kwa mazungumzo na waasi...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Iran yatoa onyo kwa Saudia na Bahrain zisimfuate kibubusa Trump Apr 25, 2019 14:10 UTC Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa onyo kwa tawala za kiimla za Saudi...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Iran designs, builds three new missiles for attack copters Apr 26, 2019 05:13 UTC Experts at Iran’s Defense Ministry and the Army Aviation have designed and produced three new missiles to be...
1 Reactions
1 Replies
820 Views
Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron ameteua tume itakayofanya uchunguzi ili kubainisha Ufaransa kuhusika katika Mauaji ya Kimbari yaliyotokea nchini Rwanda kati ya mwaka 1990 na 1994. Wachunguzi hao...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Askofu Epiphanius aliuawa na watawa wake ndani ya jengo hili la kanisa Watawa wawili wa kiume wa Kanisa la Khufti (Coptic) wamehukumiwa kifo nchini Misri kwa mauaji ya askofu mwaka 2018, maafisa...
3 Reactions
16 Replies
3K Views
Rais Donald Trump wa Marekani ametangaza kuwa Marekani itajitoa kwenye makubaliano ya kimataifa kuhusu biashara ya silaha ATT uliosainiwa na serikali ya Obama. Rais Trump ametoa taarifa hiyo...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Kamati ya Mahusiano ya Kimataifa ya Bunge la Uingereza imetoa taarifa inayoonya juu ya uwezekano wa kutokea vita vya silaha za nyuklia kati ya nchi zenye silaha hizo. Kamati hiyo imeeleza kwamba...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Zarif: Iran ina Shahada ya Uzamivu (PhD) ya kukabiliana na vikwazo Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Mohammad Javad Zarif amesema Jamhuri ya Kiislamu haitasimamisha uuzaji wa mafuta yake nje ya...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Pamoja na kifo hicho kimesababisha uharibifu mkubwa Kaskazini mwa Msumbiji ambapo kimeharibu nyumba, kimeangusha miti na kusababisha kukatika kwa nishati ya umeme Mwanamke mmoja katika Mji wa...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Colombo, SRI LANKA. Rais was Sri Lanka, Maithripala Sirisena, amewafuta kazi Waziri wa Ulinzi na Mkuu wa Jeshi la Polisi la nchi hiyo kufuatia miripuko ya kigaidi ya siku ya Jumapili iliyopita...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…