Ndugu zangu,
Ikiwa kiasi kikubwa cha kura kimeshahesabiwa nchini Africa Kusini ANC imeshinda kwa kishindo licha ya mbwwmbwe na matusi dhidi ya ANC kutoka vyama vya EFF na DA kipindi cha kampeni...
Waendesha mashitaka wanafungua tena kesi ya ubakaji dhidi ya muasisi wa tovuti ya uvujishaji wa nyaraka za siri Wikileaks, Julian Assange baada ya kuondolewa kwenye ubalozi wa Ecuador mjini...
Rais Donald Trump wa Marekani, ameagiza kuongezwa kwa ushuru kwa karibu bidhaa zote za China zilizosalia na zinazokadiriwa kuwa na thamani ya dola bilioni 300.
Trump ametoa uamuzi huo hapo jana...
Department of Defense Boeiing 737 plane skids off
Department of Defense Boeing 737 plane skids off Florida runway into the water; 21 taken to hospital
Department of Defense Boeing 737 plane skids...
Kumekuwepo mvutano mkubwa kwenye bunge la Japan hasa baada ya Korea kufanya majaribio ya Nyuklia ambayo yameleta hofu kubwa kwa Japan. Ambapo bunge limeitaka serekali ya wazir mkuu Sinzo Abe...
Huyu Rabbi anaeleza kuwa Makabila hayo huenda ni
1.Pashtuns ambao wanaishi huko Afghanistan
2.Watu wa Kabila la Lemba huko South Africa
3. Watu wa Kabila la Igbo huko Nigeria
4. Miongoni mwa...
Kwanza nianzie kwa kusema sikukubali utawala wa Obama nchini USA, Hata kipindi anagombea mara ya kwanza mwaka 2008 kuna waafrica wasiojitambua walidhani akiwa rais basi mambo mengi ya Africa...
Tunayo haja ya kuikumbuka hii siku ambayo kwa marekani ni sikukuu ya kitaifa, ni siku ambayo ilitangazwa rasmi mwisho wa biashara ya utumwa marekani ambayo ni June 19, 1865. Ndio Gen Gordon...
Rais Mstaafu Goodluck Jonathan na aliyekuwa Waziri wa Mafuta, Diezani Alison-Madueke watuhumiwa kupokea rushwa kutoka makampuni ya mafuta ya Shell na Eni
> Rushwa hiyo iliyasaidia makampuni hayo...
Eneo la South China Sea ni eneo muhimu sana ki biashara, asilimia 70-80 ya meli zote kutoka au kwena nchi za Asia na Japan hupitia hapa zikiwa zimeshehena malighafi na bidhaa mbalimbali.
Eneo...
The African National Congress retained control of South Africa's parliament but its share of the vote fell, a rebuke from voters fed up with corruption scandals and racial inequalities that remain...
Marekani imetuma manuari yake kubwa ya kivita USS Abraham Lincoln Carrier Strike Group kuelekea ghuba la Hormuz ilikuionya Iran isithubutu kushambulia wanajeshi wake walioko ghuba.
Bwana John...
Rais wa zamani wa Zimbabwe Robert Mugabe anapiga mnada mali zake kadhaa ikiwemo matrekta makubwa na ya kisasa matano na zana nyengine za kilimo.
Tangazo lililotolewa na kampuni ya kunadisha mali...
LAGOS, NIGERIA: Takribani Watoto 900 waliokuwa wamejiunga na Kundi la Boko Haram wameachiliwa na kurejea uraiani
Idadi hiyo inawahusisha Wasichana 106 waliosajiliwa wakitokea eneo la Maiduguri...
Hamad al-Hadari — one of Hamas terror chiefs eliminated in IDF strike minutes ago — with the senior political leader of Hamas, Ismail Haniyeh.
Hamas official Hamed Al Khudry was targeted (and...
Wairan waandamana nchi nzima kuunga mkono hatua za nchi yao kuhusu mapatano ya JCPOA
Mei 10, 2019 13:30 UTC
Wananchi wa Iran ya Kiislamu leo Ijumaa wameandamana nchi nzima kuunga mkono hatua...
AFRIKA KUSINI TAIFA LENYE HISTORIA AFRIKA, HIVI NDIVYO UCHAGUZI WAKE UNAVYO FANYIKA.
Na. Comred Mbwana Allyamtu.
Tuesday -7/5/2019.
Marangu, Kilimanjaro-Tanzania.
Kwa mujibu wa katiba ya Afrika...
Mvutano umeendelea kuongezeka kwenye rasi ya Korea. Korea Kaskazini imefanya uzinduzi wa makombora mapya mawili ya masafa mafupi Alhamisi hii, Mei 9, alasiri.
Hatua hii inakuja siku tano tu baada...
Wizara ya mambo ya nje ya Iran imesema Jamhuri hiyo ya Kiislamu imeamua kusimamisha utekelezaji wa baadhi ya ahadi ilizotoa katika mkataba wa nyuklia wa mwaka 2015 iliyotia saini na mataifa yenye...