International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Korea kusini imeamua kusitisha makubaliano ya kubadilishana taarifa za kijasusi na Japan ambayo yalianzishwa ili kubadilishana taarifa juu ya shughuli za nyuklia na makombora za Korea kaskazini...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wazalendo huko India wachachamaa; sasa wahamasishana kununua ardhi kwa wingi huko Kashmir na kuwaoa wanawake wa ki-Kashmir kwa wingi sana! Serikali ya Modi imefanya jambo jema kukataa vinchi ndani...
0 Reactions
0 Replies
573 Views
Naona Maduro kaamua kujisalimisha
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kufuatia mgogoro kati ya Uingereza na Urusi uliotokana na jaribio la kuuwawa kwa kachero wa Kisuri, Sergei Skripal na binti yake Yulia, ambapo Uingereza iliituhumu Urusi kuhusika na jaribio hilo...
17 Reactions
164 Replies
26K Views
To what extent do bankers possess power over governments? Is the world controlled by the often elected officials who are said to control it, or do businessmen, especially bankers, rule the world...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Hatimaye Rais Yoweri Museveni wa Uganda na Paul Kagame wa Rwanda wamesaini makubaliano ya amani na kumaliza tofauti zao. Idhaa ya Kiswahili ya DW iliripoti kuwa makubaliano hayo yalitiwa saini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mahakama nchini Afrika Kusini imetupilia mbali matokeo ya uchunguzi uliowasafisha maafisa wa serikali kwa tuhuma za rushwa kuhusu manunuzi ya zana za kijeshi zilizogharimu mabilioni ya fedha...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Australia. Mahakama Kuu nchini Australia imetupa rufaa ya kupinga hukumu ya miaka sita kwa Kardinali wa Kanisa Katoliki, George Pell. Kardinali Pell alihukumiwa kifungo cha miaka sita jela baada...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
China imeionya Marekani kwamba haiogopi vita vya kibiashara, na kutishia kuziongezea bidhaa za Marekani ushuru unaofikia dola bilioni 3, katika kulipiza kisasi hatua za Rais Donald Trump dhidi ya...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Pasipo na shaka miaka ya mwanzoni ya 1990s ulikuwa dhahiri kabisa afrika kusini utapata Uhuru wake, mwingereza alichofanya ni kuachia kilo na Nuru ya Jamii ya waafrika aliefungwa jela miaka 25...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mahakama ya kijeshi nchini Cameroon imemuhukumu kifungo cha maisha jela, kiongozi wa vuguvugu la eneo linalozungumza kingereza, Julius Sisiku Ayuk Tabe, hukumu ambayo wadadisi wa mambo wanasema...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wana jamii! Poleni na mambo ya uchaguzi uliomalizika ktk taifa kubwa duniani, na hongereni kwa wale mlio pata matokeo mliyo yatarajia. Katika mada ya leo ningepada kujikita ktk uongozi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
WAZIRI MKUU MPYA WA UINGEREZA ANATOKANA NA DAMU YA KIISLAMU Enyi Waislamu kuweni makini na ndoa zenu na malezi yenu Kiongozi wa Chama cha Muhafidhiina (Conservative) cha Uingereza bwana Borris...
6 Reactions
57 Replies
6K Views
Idara ya ujasusi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (ANR) imetaka ukaguzi ufanyike kwenye wizara mbalimbali nchini humo. ANR imetaka ukaguzi huo ufanyike tangu mwezi Januari, mwezi ambao...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Israel: no country for black people OPINION / 24 JANUARY 2018, 07:56AM / AZAD ESSA Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu's ultimatum for African refugees to leave Israel has been described as...
3 Reactions
93 Replies
11K Views
Mambo ni moto
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Chinese and North Korean servicemen on parade. © Reuters / Wang Zhao / Danish Siddiqui China and North Korea will boost military cooperation and work together to assure security in the Asia...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Viongozi wa kijeshi nchini Sudani na muungano wa makundi ya upinzani wameunda rasmi baraza huru litakaloiongoza nchi hiyo kurudi kwenye utawala wa kiraia. Baraza hilo litaiongoza Sudani katika...
0 Reactions
0 Replies
969 Views
Maandamano makubwa yamefanyika jijini Kinshasa mbele ya Ofisi ya rais wa nchi hiyo, Felix Etienne Tshisekedi kumshinikiza atimize ahadi yake ya kampeni ya kuimairisha usalama mashariki mwa Jamhuri...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…