Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,730
- 47,006
Hii ndio kitu Russia alikuwa anaiogopa kuliko vyote. Mama mkanye Mwanao.Russia akitest mitambo utasikia kelele za panya pangoni.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo ni full kuogopana tuu.Hakuna aliye salama hapo hata nukta,sio USA,sio RussiaHii ndio kitu Russia alikuwa anaiogopa kuliko vyote. Mama mkanye Mwanao.
Tunazipeleka stationed Japan, South Korea,Poland, Australia na Italy.Shughuli imeanza...
Subiri kwanza meli yetu ifike ndo habari zingine zifate
2tazipeleka Cuba Na Venezuela [emoji4] Lazma Tuheshimiane 2 MbnaTunazipeleka stationed Japan, South Korea,Poland, Australia na Italy.
😂😂😂😂😂😂😂🙏🙏🙏👍2tazipeleka Cuba Na Venezuela [emoji4] Lazma Tuheshimiane 2 Mbna
Sio mbya mkuu maana hakna m2 mkubwa kuliko mwengine yaani wa2 lazma waheshmiane sio kama anavyotaka USTatizo haya mashindano hayatabaki kwa Urusi na Marekani pekee bali washiriki wapya Kama Iran,N.korea,India,China, Pakistan watajitosa mchezoni.