Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,730
- 47,006
Naona Maduro kaamua kujisalimisha
Kumbe Guadio alikamatwa ?Maduro keshaona Urusi na China hawataweza msaidia njia pekee ni kumfata aliyemuwekea kisu.
Atakubali kumuachia Guadio kwa sharti asishitakiwe.
CIA sio wa mchezo mchezo
Aachiwe nchi
BBC World NewsHii habari umeinakili kutoka mtandao upi!?