Korea Kaskazini imesema hii leo kwamba haina mpango wa kuendelea na mazungumzo kuhusu nyuklia, hadi pale Marekani itakapochukua hatua za kumaliza mvutano.
Korea Kaskazini inaarifu hayo siku moja...
Ni ukweli usiopingika China lazima atampita marekani Kwa kuwa na uchumi Mkubwa, hata kama si Leo lakin hapo baadae lazima atampita tu ni suala LA mda.
Sera ya kikomunisti hairuhusu au haiamin...
Mtoto wa Rais Mstaafu wa Afrika Kusini, Jacob Zuma, Duduzane Zume amekataa tuhuma kuwa alitaka kumpa rushwa ya zaidi ya Tsh. Bilioni 92 aliyekuwa Naibu Waziri wa Fedha
Duduzane Zuma (35) akiwa...
Image caption Gavana wa Puerto Rico Ricardo Rossello (katikati) na mkewe Beatriz Rossello (kulia)
Himaya ya Marekani ya Puerto Rico imepiga kura ya kuomba bunge la Congress kuifanya kuwa jimbo la...
Vikosi vya Kikurdi vinavyoungwa mkono na Marekani, vimesema kuwa vikosi vya kijeshi vya Marekani vimeanza kuondoka hii leo kutoka maeneo ya Kaskazini Mashariki mwa Syria kabla ya Uturuki kuingia...
Ile zahama iliyowakuta Huawei sasa imehamia kwa makampuni kadhaa ya kiteknolojia ya China ikiwemo kampuni kubwa ya camera za ulinzi ya Hkvision.
Marekani inaendeleza mbinyo wa kuyatupia kwenye...
Mwisho wa mwezi wa 9 na mwanzo wa mwenzi wa 10 kuna kikao kinaendelea pale new york USA
Yes ni mataifa yanatoa riport zao mbali mbali shukrani nyingi sana kwa serikali yetu ya tanzania kwa riport...
Wapenzi raia wa kigeni ambao hawajaoana sasa wanaweza kulala chumba kimoja cha hoteli nchini Saudi Arabia.
Hayo ni sehemu ya mabadiliko ya masharti ya kupata viza yaliyotangazwa hivi karibuni na...
Watanzania wengi wanaamini kabisa kwamba Mugabe aliingia msituni akisaidiwa na sisi pia kumuondoa Mkoloni Uingereza, hilo ni kweli lkn kwa kiasi fulani, nitajaribu kuelezea.
Mugabe & Co...
Iran kuzindua satalaiti tatu mpya za Zafar, Pars 1 na Nahid 1
Oct 05, 2019 08:03 UTC
Mkuu wa Shirika la Anga za Mbali la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Iran itakamilisha utengenezaji wa...
Rais wa zamani wa Benin: Saudia inawasaidia kifedha magaidi wa Boko Haram
Oct 05, 2019 15:05 UTC
Rais wa zamani wa Benin amefichua kuwa, utawala wa Aal Saud wa Saudi Arabia unawasaidia kifedha...
Watu wenye silaha wametekeleza mauaji ya watu 11 usiku wa kuamkia leo kaskazini mwa Rwanda.
Tukio la mauaji hayo lilitokea mida ya saa tatu usiku katika tarafa za Kinigi na Musanze wilayani...
Shambulizi la silaha nchini Marekani: Watu 4 wameuawa na 5 kujeruhiwa kufuatia shambulizi la kutumia silaha lililofanyika katika baa moja jimboni Kansas nchini Marekani.
Kwa mujibu wa habari...
[https://static]
North Korea is accusing the US of spreading the Ebola virus, claiming it has been “bent on the development of bio-weapons” in order to achieve world supremacy.
The secretive...
Nancy Pelosi mtoto wake alifutiwa Kesi ya utapeli Ukraine kampuni ya gas baada ya mama ake kuitishia Ukraine 2015 .Trump anafichua siri za watoto wa mafisadi sasa washington .Na trump Ameomba...
DALLAS (AP) — A witness in the murder trial of a white Dallas police officer who fatally shot her black neighbor has been killed in a shooting, the Dallas Morning News reported, citing...
Nawasalimu nyote ktk jukwaa hili,twende kwenye mada.
Kuna mchakato unaendelea nchini Burundi kumtafuta mlithi wa rais Nkurunziza baada ya kutanabaisha kua hatogombea tena katika uchaguzi ujao...
Nchi za magharibi na mashirika yao ya fedha hawawezi kuacha kukopesha nchi za Afrika kwa masharti magumu ili mradi misaada wanayowapatia haileti tija kwa raia wake.
Habari kamili ipo hapa...