China atawapa nafasi freemason kutawala dunia kirahisi sana

Artifact Collector

JF-Expert Member
Mar 7, 2019
6,539
10,007
Ni ukweli usiopingika China lazima atampita marekani Kwa kuwa na uchumi Mkubwa, hata kama si Leo lakin hapo baadae lazima atampita tu ni suala LA mda.

Sera ya kikomunisti hairuhusu au haiamin kwenye dini yeyote ile, ndo maana kwenye jumbo LA Xian kumekuwa na mapambano kati ya serekali ya China na waaislamu

Hata wanapata wakati mgumu sana China, matokeo yake China ndo nchi watu wake wengi hawaamini dini yeyote ile.

Na kama tujuavyo mwanadamu ameumbwa kuamini miungu au Mungu, kunapokua na hiyo nafas lazima kuna mungu atakuja kuiiziba naye ni Freemason.

Itakuwa rahis kuungwa mkono China Kwa sababu hawana upinzani wowote, na Kwa sababu mda huo China atakua superpower itakua rahis Kwa Freemason kutawala dunia direct na sio indirect kama sahivi
 
We utakua mgonjwa wa akili. Kwako dini ni uislam na ukiristo tu, ukiamini kinyume na hapo basi hauna dini? Ulishawahi kusikia au unajua chochote kuhusu Budhism na nafasi iliyonayo kwa watu wa Asia ya mbali?
 
We utakua mgonjwa wa akili. Kwako dini ni uislam na ukiristo tu, ukiamini kinyume na hapo basi hauna dini? Ulishawahi kusikia au unajua chochote kuhusu Budhism na nafasi iliyonayo kwa watu wa Asia ya mbali?
Kuna sehemu nimesema din ni uislam na ukristo, nimetolea mfano wa din mbili sababu Nina Uhuru huo Kwa sababu huwez nipangia, na ndo din zinazopigwa vita na serekali ya china
 
Back
Top Bottom