Nancy Pelosi son Paul junior alipwa one million dollar a month na Ukraine security company

Natalia

JF-Expert Member
Jul 3, 2011
4,066
2,000
Nancy Pelosi mtoto wake alifutiwa Kesi ya utapeli Ukraine kampuni ya gas baada ya mama ake kuitishia Ukraine 2015 .Trump anafichua siri za watoto wa mafisadi sasa washington .Na trump Ameomba Ukraine ifungue case hiyo
 
Natalia

JF-Expert Member
Jul 3, 2011
4,066
2,000
Paul jr
 
Attachments

  • E5E9EA62-C7EF-4F9D-8680-249D793180FF.png
    File size
    126 KB
    Views
    20

Chief

JF-Expert Member
Jun 5, 2006
2,629
2,000
Nancy Pelosi mtoto wake alifutiwa Kesi ya utapeli Ukraine kampuni ya gas baada ya mama ake kuitishia Ukraine 2015 .Trump anafichua siri za watoto wa mafisadi sasa washington .Na trump Ameomba Ukraine ifungue case hiyo
Kwa nini Trump anaomba Ukraine ifungue kesi hiyo? Na kama ilifutwa na mahakama ya Ukraine, Trump wa marekani ana mamlaka gani kuomba kesi ifunguliwe? Kwa faida ya nani?
 
TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
18,885
2,000
1. Kwa nini Trump anaomba Ukraine ifungue kesi hiyo? 2. Na kama ilifutwa na mahakama ya Ukraine, Trump wa marekani ana mamlaka gani kuomba kesi ifunguliwe? 3. Kwa faida ya nani?
1. Ili haki itendeke.

2.US ni 'exceptional rouge state', ndiyo maana inafanya kinyume nyume inavyotaka. Rejea timbwili la JACPOA(mkataba wa nchi tano na Iran kuhusi matumizi ya Nyuklia Iran; US ilijitoa hata baada ya kubembelezwa na washirika wake katika 'uhalifu' isifanye hivyo. Ni kwa msingi huo, Trump wa marekani anapata mamlaka makubwa ya kuomba kesi ifunguliwe

3.Kwa faida ya haki za binadamu wa Ukraine. Hii ni sawa na kama faida za haki za binadamu tuubiriwazo sisi wa nchi za uchumi unaokua.
---
Unaweza kuleta swali lingine.majibu yatapatikana.
 
1) Kama haki itendeke, kwa nini asikate rufaa kwenye mahakama iliyomweka huru mtuhumiwa?

2) Kama Trump ana mamlaka hayo, kwa nini asitoe amri tu badala ya kuomba?

3) Siamini Trump anaweza kuomba hilo ili haki itendeke bali naelekea kuamini kuwa anafanya hivyo kwa sababu Nancy Pelosi kaamuru process ya impeachment against Trump ianze. Kwa hiyo ni njia ya kurudisha mashambulio kwa Nancy hivyo ni kwa faida yake wala si kwa sababu ya haki itendeke. Ni kama vile alivyoomba Ukraine wamchunguze Biden kuhusiana na uchaguzi wa 2016. Ni kama vile anavyoomba China wamchunguze Biden na mtoto wake kama strategy yake ya kuweza kushinda uchaguzi wa 2020.

Hakuna proof yeyote ambayo waweza kuonyesha kuwa Trump alichukuwa hatua hiyo kwa faida ya haki ya binadamu, ila kuna proof kibao ambazo zinaonyesha kuwa Trump anafanya hivyo kwa maslahi yake ya kisiasa. Hilo jibu ulilitoa kichwani tu kwa kuwa lina make sense. Na sidhani ya kuwa hii impeachment process itamwacha salama.
 
Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
7,090

Mkuu kosa la trump ni lipi?
 
TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
18,885
2,000
Na sidhani ya kuwa hii impeachment process itamwacha salama.
Nadhani maswali yako kwenye post #11 ya uzi huu umeyauliza kwa mtindo wa 'rhetoric'. Hivyo nadhani si vema kuyajibu. Nijikite kwenye nukuu ya " impeachment process" kumuacha salama ama la Trump!!

Kwa kifupi hii process itamwacha salama na sababu ni hizi:

1. Trump ni 'very smart':
=> Trump anaweza kuset ajenda si kwenye vikao vyao, si kwenye media na si kwenye sehemu yoyote, na anajua namna ya kukabiliana na wapinzani wake kwa staili tatanishi ya 'unpredictability'. mfano, issue yake (Trump) na Kim wa Korea Kaskazin. Trump ana convincing power kwa watu wake na wale wasio wake (Unakumbuka alivyozoa majimbo ya Demo yaliyokuwa hayagusiki uchaguzi uliopita)

2. Demo wanajenga hoja katika msingi mbovu wa 'hila':
=> Rejea toka Trump aingie madarakani kaundiwa mazengwe kibao ya hila na watu wa Demo. (a) Walianza na Russiagate collusion (bila aibu Demo wanasema wamechaguliawa rais kwa matakwa Russia) tena akateuliwa na Muller na akalishikia kidedea miaka miwili; eti ni 'impeachable issue' kwa Trump, wapiii !!!.(b) Tena Demo walivyowapuuzi katika uchunguzi ule wa Muller wakachomeka na vipengele vya sijui Trump anakwepa kodi na hii ni impeachable issue, wapiii !!! (c) Hawakuishia hapo wakachomeka na mambo binafsi ya Ukware wa Trump kwa hila ...na tukio hili lilikuwa katika mtindo wa #Me too. Lika'trend' hasa, wakasema hakukuchi Trump lazima wae impeached...! Hila zao zote hizi hawa Demo zimepigwa mweleka chali...kifo cha mendee!!!. Hili la Ukraine litakwisha Trump atapeta.

3. Kwa sasa Marekani wanamuhitaji Trump kuliko wakati wowote toka kuwepo nchi hiyo(rejea pia hoja #1 ya post hii).
=> Wakiwa wameisha changanyikiwa, kutokana na kuzubaa na kuzubaishwa na 'unipolar power' almaarufu 'New World Order' (siku hizi siisikii ikitamkwa), kisa kujiwekea 'uungu nchi' na kufanya wanalotaka duniani; Wamarekani wamejikuta wale waliokuwa wanawadharau kumbe wameishajiweka sawa na sasa wanaweza" kukunjana nao mashati" bila woga.
Hawa si wengine bali ni China, Russia na 'mtata mwenyewe' mashariki ya kati Iran bila kusahau wa babe wa Latin Amerika wakiongozwa na Cuba. Hii inawapa wasiwasi kabisa wamarekani...!!! Kibaya zaidi nchi hizi hazifunguki kirahisi...kiasi US hawajui hawa jamaa 'what are they capable of'!!! Mkuu hivi kweli ulitegemea drone ya US ishushwe na Iran na Iran isiguswe !? Hivi ulitegemea US na 'wahalifu' wenzake washindwe kumtimua Al-Asaad wa Syria na mbwembwe zote hizowalizozitoa hapo kabla?? Vipi kuhusu Maduro wa Venezuela?? US wamepaniki...na kwa sasa mdogo mdogo EU anaanza kuwadharau US, mfano Ujerumani imesema Bomba la gesi kutoka Russia lazima lijengwe mbali na US kujaribu kuwashurutisha waachane nalo.

Kwa maelezo haya ya namba 3 kwa mbali yanawafanya Wamarekani waendelee kumuweka Trump madaraka...kitendo cha kumtoa kita'expose' weakness kibao za US (ikiwemo mgawanyiko wa kivyama, kikabila, kiuchumi, na kijamii) katika jamii hiyo; na hapo wale wapinzani wake kiukweli kweli ndipo watakapomshughulikia kiuchumi US bila huruma.
---
Uelewa wangu juu ya 'kumuimpeach Trump' na athari zake kwa taifa lake kwa sasa naweza kuuchora katika picha hiyo. Unaweza kukoleza rangi kwenye picha hiyo ama ukabadilisha baadhi ya sehemu za picha hii; lengo WanaJF wapate uondo. :) :) :)

Karibu.
 
Tusubiri tuone.
 
Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
7,090
2,000
1) Kama haki itendeke, kwa nini asikate rufaa kwenye mahakama iliyomweka huru mtuhumiwa?

2) Kama Trump ana mamlaka hayo, kwa nini asitoe amri tu badala ya kuomba?

3) Siamini Trump anaweza kuomba hilo ili haki itendeke bali naelekea kuamini kuwa anafanya hivyo kwa sababu Nancy Pelosi kaamuru process ya impeachment against Trump ianze. Kwa hiyo ni njia ya kurudisha mashambulio kwa Nancy hivyo ni kwa faida yake wala si kwa sababu ya haki itendeke. Ni kama vile alivyoomba Ukraine wamchunguze Biden kuhusiana na uchaguzi wa 2016. Ni kama vile anavyoomba China wamchunguze Biden na mtoto wake kama strategy yake ya kuweza kushinda uchaguzi wa 2020.

Hakuna proof yeyote ambayo waweza kuonyesha kuwa Trump alichukuwa hatua hiyo kwa faida ya haki ya binadamu, ila kuna proof kibao ambazo zinaonyesha kuwa Trump anafanya hivyo kwa maslahi yake ya kisiasa. Hilo jibu ulilitoa kichwani tu kwa kuwa lina make sense. Na sidhani ya kuwa hii impeachment process itamwacha salama.

1. Kukata rufaa sio lazima, kwa hiyo kama ni hiari hamna haja ya kumlaumu kwa hilo.
2. Hata kama angekuwanayo mamlaka kama sheria haimlazimishi kutoa amri ni hiari take kwa hiyo yeye kaamua kutoamrisha, hapaswi kulaumiwa kwa hilo.
3. Hili la tatu umesema 'huamini' kwa hiyo hilo ni swala la imani sio halisi, endelea kuamini unavyoona inakufaa Kama Mimi ninavyoamini uchawi haupo.
 
1. Common sense ni kuwa kama umedhulumiwa na mahakama, unakata rufaa, au siyo? Mie simlaumu Trump kuwa ameomba badala ya kukata rufaa, ila uwezekano wa kupata anachoomba unakuwa mgumu zaidi

2. Pili, vile vile simlaumu kwa kuomba badala ya kutoa amri, ila message niliyokuwa nataka kuitoa ni kuwa HANA mamlaka ya kutoa amri ndio maana anaomba.

3. Upo sawa kwa hilo kwa sababu wote hatupo kwenye kichwa cha Trump
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom