Burundi baada ya rais Nkurunziza

Burundi baada ya rais Nkurunziza

LOVE U JF

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2015
Posts
2,157
Reaction score
1,681
Nawasalimu nyote ktk jukwaa hili,twende kwenye mada.
Kuna mchakato unaendelea nchini Burundi kumtafuta mlithi wa rais Nkurunziza baada ya kutanabaisha kua hatogombea tena katika uchaguzi ujao.
Hapa nacho taka tujadili nanyi wadau

1. je Burundi kama mwanachama ktk jumuiya ya EAC na nchi iliyofungiwa misaada na wafadhili wake atapo ingia kiongozi mpya ataweza iondoa nchi ktk vikwazo vya kiuchumi na kusonga mbele kimaendeleo au itabaki kama Zimbabwe vikwazo hadi leo japo uongozi uliopo ni mpya?

2. Kwa marais wengine ndani ya jumuiya kama kagame na mu 7 wanajifunza nini kutoka kwa nchi nyingine kama Tz na Knya ambao hubadiri marais wao kila baada ya term 2 au 1 .

Nini maoni yenu wadau kwa marais wa jumuiya wanaotaka wafie madarakani wakati hata Kabila kakubali kumwachia Titsekedi japo kwa mbinde .

Mwisho niwakalibishe tujadili kuhusu mstakabali wa EAC yetu
 
1.Wewe kwa akili zako unaona kabisa Nkurunziza ataachia Madaraka?Ila ni vzr akiachia madaraka maana hio nchi imetoka kua Shithole mpk imeenda kua Super-shithole country.

2.Uanachama wa Burundi kwa EAC ni wakubebwa tu,nchi iliyolipia only 5% ya membership fee yake hapo kuna Member?Sijui Rais wa nchi hio hasikii aibu kuiita nchi yake ni EAC Member?

3.Nchi yenye budget ya $800mil kwa Mwaka tena na bado ktk utekelezaji hio $800mil haitapatikana Sasa huyo anaongoza nchi au kata?Kwanini aendelee kuongoza?

4.Nchi yenye ku-attract FDI(Foreign direct investment) ya $200,000(yaan dollar laki mbili tu) ambayo ni hela ya kununulia gari 1 tu eti ndio FDI ya Nchi, kwanini aendelee kukaa madarakani?

5.Nchi ambayo kwny kila mambo mabaya iko kwny top 10 mfano. Unemployment,Ukosefu wa amani&utulivu,Umasikini,Rushwa,Poor Good Governance,Viongozi wa Upinzani kuuwawa.Rais wa nchi hio anahaki gani ya kuendelea kung'ang'ania Madaraka?

KOTAPIN HUINGIA KWA NYUNDO NA HUTOLEWA KWA NYUNDO.
 
1.Wewe kwa akili zako unaona kabisa Nkurunziza ataachia Madaraka?
Nitajibu swali hili lililo elekezwa kwangu
Ni kweli naamini % 101 kuwa Nkurunziza lazima atatoka madarakani mnamo mwakani.
 
1.Wewe kwa akili zako unaona kabisa Nkurunziza ataachia Madaraka?Ila ni vzr akiachia madaraka maana hio nchi imetoka kua Shithole mpk imeenda kua Super-shithole country.

2.Uanachama wa Burundi kwa EAC ni wakubebwa tu,nchi iliyolipia only 5% ya membership fee yake hapo kuna Member?Sijui Rais wa nchi hio hasikii aibu kuiita nchi yake ni EAC Member?

3.Nchi yenye budget ya $800mil kwa Mwaka tena na bado ktk utekelezaji hio $800mil haitapatikana Sasa huyo anaongoza nchi au kata?Kwanini aendelee kuongoza?

4.Nchi yenye ku-attract FDI(Foreign direct investment) ya $200,000(yaan dollar laki mbili tu) ambayo ni hela ya kununulia gari 1 tu eti ndio FDI ya Nchi, kwanini aendelee kukaa madarakani?

5.Nchi ambayo kwny kila mambo mabaya iko kwny top 10 mfano. Unemployment,Ukosefu wa amani&utulivu,Umasikini,Rushwa,Poor Good Governance,Viongozi wa Upinzani kuuwawa.Rais wa nchi hio anahaki gani ya kuendelea kung'ang'ania Madaraka?

KOTAPIN HUINGIA KWA NYUNDO NA HUTOLEWA KWA NYUNDO.
Utajiri wangu ni US$ 500,000/=nikiongea vizuri na Nkurunziza anaweza akanipa uraia na uwaziri mkuu juu.
Nalog off
 
Nawasalimu nyote ktk jukwaa hili,twende kwenye mada.
Kuna mchakato unaendelea nchini Burundi kumtafuta mlithi wa rais Nkurunziza baada ya kutanabaisha kua hatogombea tena katika uchaguzi ujao.
Hapa nacho taka tujadili nanyi wadau

1. je Burundi kama mwanachama ktk jumuiya ya EAC na nchi iliyofungiwa misaada na wafadhili wake atapo ingia kiongozi mpya ataweza iondoa nchi ktk vikwazo vya kiuchumi na kusonga mbele kimaendeleo au itabaki kama Zimbabwe vikwazo hadi leo japo uongozi uliopo ni mpya?

2. Kwa marais wengine ndani ya jumuiya kama kagame na mu 7 wanajifunza nini kutoka kwa nchi nyingine kama Tz na Knya ambao hubadiri marais wao kila baada ya term 2 au 1 .

Nini maoni yenu wadau kwa marais wa jumuiya wanaotaka wafie madarakani wakati hata Kabila kakubali kumwachia Titsekedi japo kwa mbinde .

Mwisho niwakalibishe tujadili kuhusu mstakabali wa EAC yetu
Hao watu Kagame na Mseven hawawezi kujifunza kitu kutoka kwa Nkurunziza. Hii ni kwa sababu ya tofauti ya mahusiano tofauti ya hao marais na nchi za magharibi wafadhili. Wakati Kagame na Mseven wakiwa viranja na vibaraka wa nchi za magharibi, Nkurunziza ni adui na nchi za magharibi. Ndio maana Kagame na Mseven wanafanya watakavyo kwa sababu ni vibaraka, na mawakala wa magharibi, Nkurunziza hana urafiki na nchi za magharibi ndo maana kila ubaya ni wake.
 
Sasa nini maoni na ushauri kwa warundi?

Back
Top Bottom