Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, ameonesha nia ya kuunga mkono jitihada za kukuza uchumi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), akisisitiza kuwa ushirikiano wa kikanda ni nguzo muhimu ya...
Hivi karibuni, Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed, Rais wa Djibouti Ismail Omar Guelleh, na Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud walihudhuria hafla ya uzinduzi wa mradi wa umeme wa upepo wa...
Watu Wengi Wahofiwa Kukwama Baada ya Jumba la Biashara Kuporomoka Kufuatia Tetemeko la Ardhi Nchini Japani, Maafisa Wasema
Waokoaji walikuwa katika mbio dhidi ya wakati kuwatafuta watu na kuzima...
Mayor wa New York aliamua kuwadanganya waislamu wenzake kuwa eti endapo Mwamba Benjamin Netanyahu atatembelea New York atamkamata kitu ambacho ni uongo wa mchana kweupe!!wajinga tu wa kiislamu...
Serikali ya Marekani hivi karibuni imetangaza mpango mpya wa ushuru dhidi ya bidhaa zinazoagizwa kutoka nchi za nje. Kulingana na mpango huo, viwango vya ushuru vinaanzia asilimia 10 hadi 12.5, na...
#1.3bn PFIPC Scandal Deepens as Accountat-General Allerges DG Intercepted State House Letter to Cover Up Forgery
Fresh revelations have emerged in the ongoing investigation into the controversial...
Mjadala umeibuka nchini Cameroon baada ya Rais wa nchi hiyo, Paul Biya kutoonekana kwenye majukwaa mbalimbali na shughuli za kiserikali, huku taarifa rasmi iliyotolewa hivi karibuni ikielezwa yupo...
Mindege inapaa popote Iran na kugeuza geuza tu, marubani wanapiga popote wanapotaka, mwendo wa kubonyeza tu, nashangaa Iran hawakujifunza na vita vya awali.
Israel striking Tehran directly with...
Siku chache niliweka Uzi wenye kuhoji kama hivi ambavyo al Jazeera wamehoji. Wairan wa tandale walikuja na maneno mengi, haya Al Jazeera nao wamekuja na huo mshangao.
Kwenye hii taarifa ya al...
Iran wakipigwa na marekani basi haraka haraka wanakimbilia kurusha mafataki Yao huko Bahrain na Kuwait(kwa wanyonge) kwa kisingizio kuwa Kuna Kambi za marekani
Israel Wana Kambi ya Marekani...
Wanasiasa mnaotengeneza speech kwa AI kuweni makini kuna mwenzenu yamemkuta huku
Bill Oliver, mwanasiasa wa Kanada ameingia kwenye vichwa vya habari baada ya kutumia Akili Mnemba (AI) kumsaidia...
Haya ndio makadirio ya gharama ya vita vinavyoendelea dhidi ya Irani.
Unaweza kuona ni namna gani duniani tunavyotifautiana na hivyo tusipende kukopi na kupaste yaliyopo nje na kutaka yatumike...
Wanajiandaa kutuma wanajeshi plus special force zao zote kwenda Iran kubeba vifaa vya nyuklia plus rasilimali zote zinazohusika na urutubishaji !!!Wataweza??
Pentagon eyeing megaraid to steal...
Serikali ya Chad imetangaza mpango wa kujiondoa katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), ikidai kuwa chombo hicho cha kusimamia sheria kimekuwa kikionesha ubaguzi dhidi ya mataifa ya Afrika...
More than 115,000 Zimbabweans have returned home from South Africa as the government scales up its repatriation and reintegration programme, Cabinet has announced.
Speaking during Tuesday's...
Hatimaye komandoo Benjamin netanyau yuko hewani muda huu ndani ya ndege maalumu ya kisasa anaenda kuonana na TRUMP ikulu ya white house. Wadau kaeni mkao wa kula kwani yajayo ya afurahishwa! ...
The Zimbabwe Council of Churches (ZCC) has urged the government to hold a national referendum on the recently enacted Constitution Amendment No. 3 (CAA3), arguing that major constitutional changes...
Iran imesema endapo itashambuliwa na silaha za Nyuklia watajibu Kwa Ukubwa sana na hawataangalia fatwa inayowakataza kutumia silaha za maangamizi ya binadamu Kwa kushambulia vinu vya Nyuklia vya...
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, amesema vikosi vya nchi yake vimeshambulia meli za Urusi katika Bahari ya Kaspia zilizokuwa zikisafirisha vifaa vya kijeshi vinavyohusishwa na Iran.
Kupitia...
Tukio hilo lilitokea majira ya saa 3:30 asubuhi jijini Paris. Wanawake hao wenye umri wa miaka 19, 24 na 36 walijeruhiwa kwa kuchomwa visu, huku mmoja wao akiwa mjamzito.
Mshukiwa, mwanaume...