Uchaguzi wa Israel unatarajiwa kufanyika Machi 2 mwakani, ikiwa ni wa tatu katika kipindi cha mwaka mmoja. Muswada wa kulivunja bunge, ambao pia unatangaza tarehe ya uchaguzi, utapitisha sehemu...
Mkuu wa Majeshi wa Myanmar, Jenerali Min Aung Hlaing
Marekani imeweka vikwazo dhidi ya viongozi wa kijeshi wa Myanmar kwa sababu ya ukiukaji wa haki za binadamu unaofanywa na Myanmar dhidi ya...
Sheria kila siku Saudi Arabia zinazidi kubadilika ninazozikumbuka ni ile ya wanawake kuendesha magari, wanawake kwenda kutazama mpira uwanjani, juzi pambano la Joshua na Ruiz limefanyikia kule leo...
Aliyaona yanatendeka kama kiongozi wa nchi hakuyakemea meaning aliyabariki!
Myanmar's leader Aung San Suu Kyi is appearing at the UN International Court of Justice (ICJ) to defend her country...
Wizara ya ulinzi ya Marekani imesitisha kwa kiasi fulani mafunzo ya marubani wa kijeshi kutoka Saudi Arabia kufuatia lile shambulizi katika kambi ya kijeshi ya Marekani mjini Florida.
Kulingana...
A verdict in the corruption trial of Sudan's deposed president Omar al-Bashir is expected to be delivered on Saturday, months after his ouster in April in the face of unprecedented mass protests...
Afisa mmoja wa polisi na takriban watu watano wamefariki katika msururu wa makabiliano makali ya risasi katka mji wa Jersy katika jimbo la New Jersy.
Maafisa wawili wa polisi pia walijeruhiwa...
Rais wa Rwanda Paul Kagame mnamo Jumanne alimsihi Waziri wa Fedha wa Afrika Kusini Tito Mboweni asiache kutumia Twitter baada ya Waziri huyo kutishia kuacha kutumia mtandao huo wa kijamii kwa kile...
Wanamgambo wa Alshaabab nchini Somalia wamekiri kuhusika na shambulio linaloendela katika hoteli ya kifahari mjini Mogadishu SYL nchini Somalia. Taarifa zinasema kuwa makundi ya wanajeshi...
New Zealand has ordered 1.2 million sq cm of skin from America to treat patients suffering burns of up to 95% after Monday's volcano eruption.
Surgeons have been working around the clock on 29...
Officially two articles revealed against POTUS Donald Trump.
1. Abuse of power
Using the office for private/personal interests, ie. Russia's interference in US election and pressurising...
Mohammed al-Otaibi, aliyekuwa balozi katika ubalozi mdogo wa Saudi Arabia mjini Instanbul nchini Uturuki, ambapo Jamal Khashoggi aliuawa
Marekani imemzuia kuingia katika nchi hiyo Mohammed...
Sanna Marin kutoka nchini Finland atakuwa ndiye waziri mkuu mwenye umri mdogo zaidi akiwa na miaka 34.
Waziri huyo wa uchukuzi alichaguliwa na chama chake cha Social Democratic baada ya kiongozi...
President Donald Trump will sign an executive order on Wednesday to interpret Judaism as a nationality and not just a religion, a move that the Trump administration believes will fight what they...
Habari zenu wana JF
Moja kwa moja ningependa niende kwenye mada au swali husika.
Kulingana na kichwa au swali langu hapo juu kwa wenye ufahamu nalo please ningependa kufahamu maana nimekuwa...
Benki Kuu ya Uganda imewataka wananchi kukubali noti ambazo zina muonekano halisi kama zilivyotolewa na benki hiyo, na si vinginevyo.
Tangazo hili linamaanisha kuzuia noti ambazo zimeandikwa au...
LOS ANGELES — Five men were charged Tuesday in connection with what federal prosecutors called a lucrative cryptocurrency scheme that fleeced investors out of $722 million in a business model that...
Serikali ya Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo zimezindua kampeni ya pamoja ya kutoa chanjo ya homa ya Ebola. Chanjo hiyo ilianza kutolewa jana mjini Rubavu nchini Rwanda. Hayo yanajiri...
Mtoto mkubwa wa kiume wa Rais Ali Bongo wa Gabon, Noureddin Bongo Valentin ameteuliwa kuwa mratibu wa masuala yote ya Rais.
Noureddin ameteuliwa katika nafasi hiyo ili kumsaidia Rais katika...
In a Q&A with university students, Erdogan said he struggles to name a current inspirational leader from Europe
Turkish President Recep Tayyip Erdogan on Tuesday named U.S. President Donald...