Gabon: Mtoto wa Rais ateuliwa kuwa Msaidizi wa Rais

The Sheriff

JF-Expert Member
Oct 10, 2019
617
1,799
cropped-Noureddin-Bongo-Valentin-1-1.jpeg


Mtoto mkubwa wa kiume wa Rais Ali Bongo wa Gabon, Noureddin Bongo Valentin ameteuliwa kuwa mratibu wa masuala yote ya Rais.

Noureddin ameteuliwa katika nafasi hiyo ili kumsaidia Rais katika masuala yote ya kitaifa.

Nafasi hiyo ya mratibu wa shughuli zote za Rais ilitengenezwa baada ya kumalizika kikao cha baraza la washauri na kutolewa taarifa rasmi na msemaji wa serikali, Edgar Miyakou.

Hii inamaanisha Noureddin Bongo atakuwa mshirika wa karibu sana wa baba yake, Ali Bongo, ambaye aliingia madarakani mwaka 2009 Mara baada ya kifo cha baba yake, Omar Bongo Ondimba aliyeitawala nchi hiyo kwa miaka 42

========

The eldest son of Gabonese president Ali Bongo Ondimba, Noureddin Bongo Valentin, has been handed a political appointment at the presidency according to reports.

He was appointed “coordinator of presidential affairs” on Thursday with the main mandate “to assist the President of the Republic in the conduct of all affairs of the State.”

The AFP news agency reports that the official announcement was made by the spokesman of the government, Edgard Anicet Mboumbou Miyakou, at the end of a cabinet meeting.

The position of general coordinator of presidential affairs, which Noureddin Bongo, now holds was specially created at the end of the cabinet meeting.

Its mission according to the government is to: “assist the President of the Republic in the conduct of all affairs of the State and ensures the strict application of decisions.”

Noureddin Bongo will therefore be a right hand man to his father Ali Bongo, who came to power in 2009 winning his first seven-year term after the death of his father, Omar Bongo, who led the country for 42 years. He won a second-term in contested polls of 2016.

The mineral rich Central African country is currently undergoing a vast anti-corruption operation that has led to arrest of high-profile ex government officials including former leader of cabinet of the presidency, Brice Laccruche Alihanga.

Eldest daughter discloses presidential ambition in 2016

Three years ago, Malika Bongo Ondimba Dossou, the eldest daughter of Ali Bongo wrote in a Facebook post that she had presidential ambitions.

“I am mayor for two years now and I do not want to stop because I have huge ambitions for Gabon. Why not a woman President of the Republic of Gabon in 2022?’‘ she asked rhetorically. Malika, already into local politics was at the time mayor of the town of Akanda.

Political opponents have routinely accused the Bongo family of wanting to turn the presidency into an ‘inheritance.’

Malika was educated in the United States, and also in France, where she studied international relations at the University of Sorbonne in Paris. She has worked with UNESCO and the UN in Geneva before returning to Gabon in 2009. She is married to Steve.


Source: Africa News
 
Hivi kuna raia huko? Hapo ni kutembeza kichapo mpaka ikulu kisha waweke mtu ingine.

Ali Bongo juzi tu kaondoka mwenyewe hali mbaya na itakua sumu ile.leo anataka kumuweka huyu mayai si afanye mambo ingine.

Washaiba sana hawa kina Bongo, No way
 
Ivanka Trump ni mshauri wa raisi wa Marekani Donald Trump.

Ivanka Trump is Advisor to the President. In her role, she focuses on the education and economic empowerment of women and their families as well as job creation and economic growth through workforce development, skills training and entrepreneurship.
.Ivanka Trump
 
Hapo ujue tayari anaandaliwa kuwa rais. Lakini unafikiri ndio hawana wasiwasi kabisa?. Wanajua ipo siku isiyojulikana wananchi watagarambuka. Inaumiza sana kuona familia fulani imejiona yenyewe ndio wana akili kuliko wengine. Lakini hamna utofauti na hapa kwetu. Ukoo wa ccm wanatawala milele
 
Back
Top Bottom