International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Korea Kaskazini yafanyia majaribio kombora jipya la balestiki Nov 29, 2019 02:36 UTC [https://media] Jeshi la Korea Kusini limetangaza kwamba Korea Kaskazini imelifanyia majaribio kombora lake...
5 Reactions
3 Replies
1K Views
US House Judiciary Committee Approves two Article of Impeachment against Donald Trump White House says Trump looks forward to receive fair treatment and due process in the Senate. Articles of...
1 Reactions
3 Replies
856 Views
Mkutano wa kilele uliotarajiwa kuwakutanisha Waziri Mkuu wa India Narendra Modi na mwenzake wa Japan Shinzo Abe umeahirishwa. Kulingana na wizara ya mambo ya kigeni ya India hatua hiyo inatokea...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Baada ya Chama cha Conservative cha Boris Johnson kupata ushindi mkubwa wa viti zaidi ya 326 vya Ubunge Uingereza, Waziri Mkuu huyo ameweka msisitizo kwamba Januari 31,2020 Uingereza itajiondoa...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Mousavi: Iran itatoa jibu la kujutisha kwa uchokozi wa aina yoyote ile Dec 09, 2019 12:24 UTC [https://media] Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Iran...
1 Reactions
46 Replies
5K Views
Hatimaye viongozi wa nchi za Umoja wa Ulaya wamekubaliana hii leo kuwa na dhamira ya kufikia kiwango kinachokubalika cha kutosababisha gesi inazochafua mazingira ifikapo mwaka 2025 baada ya...
0 Reactions
0 Replies
883 Views
House of Judiciary Vote on Article of Impeachment Delayed Until Friday Morning
0 Reactions
2 Replies
606 Views
Chama cha kihafidhina cha Waziri Mkuu Boris Johnson kinaelekea kupata ushindi mzuri katika uchaguzi mkuu uliofanyika nchini Uingereza kwa mara ya tatu mnamo kipindi kisochozidi miaka mitano...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Maelfu ya Wananchi wamejitokeza katika Mitaa ya Mji mkuu wa nchi hiyo, Algiers kupinga Uchaguzi Mkuu unaoendelea nchini humo wakiuita ni Uchaguzi wa Uongo huku ukiwa unafanyika chini ya ulinzi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mmoja wa wanaume sita waliohukumiwa kwa kumbaka na kumpiga kikatili mwanafunzi wa kike kwenye basi jijini New Delhi ameiomba mahakama kumuondolea adhabu ya kifo kwakuwa hewa chafu nchini humo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
chanzo DW mchana wa leo Pametokea mafuriko huko SA. Hali hiyo imepelekea nchi hiyo kukosa umeme kwa siku tatu mfululizo. Kwa kuona na kwa kujali wananchi wake, raisi wa huko amekatisha ziara...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
  • Closed
Naomba kufahamu Kwa mwenye uelewa wa hii serikali ya China kuwanyanyasa Waislamu na kuwaweka kwenye sehemu maalumu kama kambi nini chanzo au serikali ya China ina lengo gani kwa watu wanao amini...
2 Reactions
95 Replies
11K Views
Rais wa Rwanda Paul Kagame amefanya mabadiliko makubwa katika baraza lake la mawaziri na kumteua Dkt Richard Sezibera kuwa waziri mpya wa mashauri ya nchi za nje. Jenerali James Kabarebe...
3 Reactions
53 Replies
7K Views
Waziri wa Mambo ya Nje wa Bahrain ameitaja hatua ya Amir wa Qatar ya kutoshiriki kikao cha wakuu wa nchi wanachama wa Baraza la ushirikiano la Ghuba ya Uajemi huko Riyadh Saudi Arabia kuwa ni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio la kuilaani hatua ya Urusi kuukalia mkoa wa Crimea na mji wa Sebastapol nchini Ukraine na kuitolea wito kuondoka mara moja. Azimio hilo...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Baada ya vyama vya siasa nchini Israel kushindwa kuunda serikali hadi muda wa mwisho kumalizika Jumatano, sasa bunge limejivunja na nchi hiyo inaingia katika uchaguzi wa tatu mkuu katika kipindi...
1 Reactions
3 Replies
996 Views
Ujerumani iliwafukuza maafisa wawili wa ubalozi wa Urusi kwa kile ilisema Urusi imegoma kutoa ushirikiano kwenye uchunguzi unaoendelea wa mauaji ya raia wa Georgia aliyeuawa Berlin. Urusi naye...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wanajeshi 73 wa Niger wameuawa katika shambulio lililofanyika katika kambi ya jeshi iliyo magharibi mwa nchi hiyo. Taarifa ya Wizara ya Ulinzi inasema jeshi liliwadhibiti magaidi wengi katika...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Uingereza yaanza kupiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa tatu chini ya miaka mitano. Uchaguzi huu, ambao ni wa kwanza kufanyika mwezi Disemba karibia miaka 100, unafuata ule uliotangulia ndani ya...
0 Reactions
4 Replies
879 Views
Viongozi wa Umoja wa Ulaya leo wanakutana mjini Brussels katika mkutano wao wa mwisho wa kilele kwa mwaka huu, ambapo ajenda zitakazotawala katika mkutano huo wa siku mbili zikiwa ni kuhusu vita...
0 Reactions
1 Replies
508 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…