Missouri limekuwa jimbo la kwanza nchini Marekani kuishitaki serikali ya Uchina kwa namna ambayo imeshughulikia janga la virusi vya corona.
Mashtaka hayo yanakuja wakati ambao kuna ongezeko la...
Shirika la kutetea Haki za Binadamu, Human Rights Watch linataka uchunguzi ufanywe kubaini chanzo cha kifo cha mwanamuziki maarufu wa nyimbo za injili nchini Rwanda, Kizito Mihigo.
Mkurugenzi wa...
“THE PRICE OF OIL WILL DROP DRASTICALLY!” - PROPHET TB JOSHUA
Starting twelve years ago, Prophet TB Joshua gave a series of prophecies concerning the current economic crisis, specifically...
Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la Mpango wa Chakula Duniani WFP Bw. David Beasley jana jumanne alionya dhidi ya kutokea kwa baa kubwa la njaa kote duniani, sambamba na janga la COVID-19.
Bw...
MELINDA GATES, mke wa bilionea Bill Gates wa Marekani, ameonya kwamba iwapo dunia na hususani Afrika haitachukua hatua za haraka za kukabiliana na janga la virusi vya Corona vinavyosababisha...
Personal body guard wa rais wa Nigeria ndugu Mohamadou Buhari afariki dunia jana. Ofisi ya rais imetaarifu Lawal Mato alifariki kwa kisukari ambayo imemsumbua kwa muda wa miaka mitatu.
Ila...
Mataifa 193 wanachama wa Umoja wa Mataifa yamepitisha azimio linalohimiza kuwepo usawa kwa kila nchi duniani kupata chanjo ya virusi vya corona itakayopatikana katika juhudi zinazoendelea.
Azimio...
Shirika la Afya Duniani linasema kilele cha hali ngumu zaidi kuhusiana na Ugonjwa wa Covid-19, bado hatujakifikia; na hivyo kuyataka mataifa kuwa makini katika kuondosha lockdowns.
Watesi wa Kim wamejibiwa na South Korea (sio North Korea) kuwa komredi Kim Jong-Un sio mgonjwa kama walivyozusha na kuanza kufurahika.
Uzushi huo ulianzishwa na vyombo vya habari vya CNN na Daily...
Katika juhudi za kukabiliana na ugonjwa wa Covid-19 Rwanda imezindua mashine ya kwanza iliyotengenezwa nchini ambayo inawasaidia wagonjwa kupumua maarufu kama ventilator.
Ni mashine...
Rais Donald Trump ametangaza kusaini amri ya kusimamisha kwa muda shughuli zote za uhamiaji nchini Marekani ili kukabiliana na mlipuko wa Virusi vya Corona na vilevile kulinda ajira za Wamarekani...
Hii ni baada ya unyanyasaji wa watu weusi unaoendelea huko China. Hivyo serikali hii imeamua kuwakamata wachina wote waliopo nchini humo. Na wamedai ni mpaka RAIA wa Guinea watakaporudi salama...
Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ametangaza mpango wa uokozi wa dola bilioni 26 kuupiga jeki uchumi na kusaidia jamii masikini zilizoathirika na janga la virusi vya corona.
Akilihutubia...
Papa Francis leo ameutolea mwito Umoja wa Ulaya kubaki na mshikamano katika kukabiliana na athari za janga la virusi vya Corona. Kiongozi huyo wa kanisa Katoliki duniani ametowa mwito huo siku...
Huwa nashangaa sana mtu akibisha kwamba watu hawauzwi au wanaosafirishwa kufanya kazi hawaendi kuteswa na kunyanyaswa mkabala na kunyang'anywa passport Uarabuni.
Hii hapa ni mojawapo ya nchi...
The Israeli NGO Shurat HaDin plans to file a class action lawsuit against China in the coming days over its alleged negligence in treating and containing the coronavirus, N12 reported on Sunday...
His administration reportedly funded the lab in 2015.
For once a reporter asked a pertinent question at a White House daily virus briefing. On Friday one reporter asked President Trump if he...
The COVID-19 pandemic will likely kill at least 300,000 Africans and risks pushing 29 million into extreme poverty, the U.N. Economic Commission for Africa (UNECA) said on Friday, calling for a...
Hali bado Ni mbaya Tarafa ya Uvira, huko Congo baada ya miili kutapakaa mitaani.Maji ya mafuriko kuanza kupungua miili zaidi ya 30 imeopolewa, wakiwemo watoto wachanga.
Wakazi wa Tarafa Uvira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.