| Jamhuri ya Colombia, Republic of Colombia au República de Colombia ni taifa linalopatikana Amerika ya Kusini na kwa kiasi Kaskazini. Colombia ni taifa lenye ukubwa wa 1,138,910 Kilometer Sq sawa...
Akihojiwa na Radio France International, Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa (UM) Bw. Antonio Guterres amezishauri kuiga jinsi nchi za Afrika zilivyoshughulikia suala la ugonjwa mpya wa COVID - 19...
Waziri wa mambo ya ndani wa Uingereza Priti Patel
Serikali nchini Uingeeza leo jioni inatarajia kutangaza kuwa abiria wote wa kimataifa ambao watatua kwenye viwanja vya ndege vya nchi hiyo...
Violence has risen in recent months after the government in February designated ten new states, including Jonglei, but failed to agree on governor appointments, creating a power vacuum.
Pieri, a...
Mawaziri 10 wameambukizwa virusi vya corona nchini Sudan Kusini, msemaji wa serikali ameithibitishia BBC.
Waziri wa Habari wa Sudani Kusini Michael Makuei ameiambia BBC kuwa mawaziri wote hao...
Mmoja ya watuhumiwa wa mauaji ya kimbari ya mwaka 1994, Augustin Bizimana amefariki dunia. Kulingana na mabaki ya mwili wake, inaaminika amefariki tangu mwaka 2000
Mwendesha mashtaka ya uhalifu...
Askari watano wa Rwanda wamekamatwa baada ya wakazi wa kitongoji cha mji mkuu wa Kigali kudai waliwabaka wanawake walipokua wakitekeleza sheria ya kukaa nyumbani iliyowekwa kote nchini humo ili...
Wamarekanni ndio wamepitisha hadi sheria ya kuvaa barakoa raisi Trump ndie aliisaini hiyo Excutive Order na amekuwa wa kwanza kuivunja hataki kuvaa barakoa hadharani akimuiga Raisi Magufuli...
Inasikitisha sana jinsi wachina sasa hivi wanavyotunyanyasa eti watu weusi tunasambaza maambukizi ya Corona.
Licha ya yote Inahuzunisha zaidi hadi kumuita nyani na kumdhiahaki kwa rangi yake...
Urusi imesema leo kwamba inashughulika kupata msaada kutoka Marekani baada ya nchi hiyo kuripoti kupungua kwa kiwango cha visa vya maambukizi ya virusi vya corona kwa usiku mmoja hali ambayo...
Umoja wa mataifa umeipatia Rwanda vifaa vya kujikinga na kupambana na corona ikiwepo smartphone maalum.
Smartphone hizo tano tu zitakuwa na uwezo wa kupima, kugundua watu wasio vaa baracoa na...
“Marekani wanatumia mtindo wa sayansi na Demokrasia inayosema ‘fuata nitakacho utaishi, nipinge ufe’, lakini historia inathibitisha kwamba ukijifunza kusoma alama za nyakati na ukazifuata...
South africa has become the first country in the world to introduce ATM-like machines that dispense Medicine instead of money.
South Africa being the first country to use pharmacy dispensing...
Sarakasi za Corona zazidi kuchukua sura mpya
Mahakama ya juu kabisa Huko Pakistan imeamuru kuwa ugonjwa wa covid 19 sio pandemic na Pakistan inakabiliwa na matatizo makubwa zaidi kuliko Corona na...
Urusi ambao huwa mabingwa wa usiri wa kuficha data hali imekua tete, namba zimepandisha na kuipiku Uingereza...
======
One of Vladimir Putin's most trusted aides Dmitry Peskov was today...
Waziri Mkuu wa Italia, Giuseppe Conte amesema nchi hiyo itafungua mipaka yake kwa nchi zote ambazo ni wanachama wa Umoja wa Ulaya (EU) kuanzia Juni 03 mwaka huu
Conte amesema hatua hiyo ni...
Kimbunga Amphan chaua watu 84 nchini India na Bangladesh
Kulingana na ripoti rasmi iliyotangaza Alhamisi hii, Mei 21, nchini India, "watu 72 wamefariki dunia, ikiwa ni pamoja 15 huko Calcutta,"...
MKuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) ameonya kwamba janga virusi vya corona bado ni safari ndefu licha ya kwamba wanaoathirika wanaendelea kuongezeka kote duniani kila uchao.
WHO imesema kwamba...
AstraZeneca (AZN) confirmed that it will begin to supply a potential vaccine to battle the COVID-19 infection as of September this year.
The pharmaceutical giant said in a statementthat it has...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.