Mkurugenzi wa Idara ya Habari ya Wizara ya Mambo ya Nje ya China aongea kuhusu Marekani inavyochukulia janga la Corona

STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
May 31, 2018
8,638
16,566
“Marekani wanatumia mtindo wa sayansi na Demokrasia inayosema ‘fuata nitakacho utaishi, nipinge ufe’, lakini historia inathibitisha kwamba ukijifunza kusoma alama za nyakati na ukazifuata utafanikiwa kupiga hatua, zama zimebadilika, China haiwezi kufa kisa kupingana na USA”

“Uzushi ambao Marekani inausambaza kutushambulia China,utawapotosha Watu kwa muda tu ila mwisho wa siku ukweli utajulikana, Wanasayansi Marekani wameanza kutafuta chanjo ya corona Jan 11 mwaka huu ila kulikuwa na ripoti za maambukizi tangu November mwaka jana, walikuwa wapi?

“USA ilisema ina mgonjwa mmoja wa corona wakati Wuhan inaanza lockdown January 23, USA ikawa na maambukizi 1896 wakati China inatangaza dharura ya kitaifa March 13, sasa hivi USA ina vifo zaidi ya Elfu 93, nani kati yetu anapaswa kuwajibika”-Chunying, Msemaji W/Mambo ya Nje China

20200520_152307.jpg
 
Waache longolongo kwa nini walifunga anga la ndani lakini wakaachia wachina hata wale wa kutoka Hubei wasambae dunia nzima wakati miji yao mikubwa ya Shanghai na Beijing wakizuia wachina wenzao kutoka maeneo mbalimbali ya nchi kuingia?
Wakati wanafanya hivyo internally wakawa wanaweka pressure nchi mbalimbali dunia zisiwafungie mipaka!

Kwa nini waliharibu sample za virus mapema kabisa ugonjwa huu ulipolipuka, walikuwa wanaficha nini?
 
Kwanini waliruhusiwa kuingia katika hayo mataifa walioingia ?!

Sampo waliharibu wapi kwaushahidi upi ?!

Sent using My COVID-19
 
China iliendesha kampeni ya kuziita nchi zote zinazoifungia mipaka kuwa ni za ubaguzi wa rangi, na WHO ikapigilia nyundo hilo!, kumbe walikuwa wanachuza nchi nyingine!
Kama hamuwezi kuangalia usalama waraia namali zenu mpaka muambiwe mnamlaumu nani ?!

Mfano mimi sipo tz ila nlisikia pale Tz wanawaruhusu WACHINA kuingia Tz ila lawama anakuja kupewa MCHINA kama sio upuuzi ninini ?!

Kama sehemu flan umeasikia kuna tatizo fulani huwez lizuia mwenyewe wakati uwezo unao mpaka uambiwe ?!

Kwani mataifa yaliozuia WACHINA kuingia baada yamripuko yalichukuliwa adhabu gani , nayalowaruhusu kuingia yalichukuliwa hatua gani ?!

Kila taifa lina uhuru wake wakujiendesha sio lazma mpangiwe wachina waliingia katika mataifa husika kwakuruhusiwa mawala hawakulazimisha .

Sent using My COVID-19
 
Back
Top Bottom