International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

IRGC imesema imekamata meli ya mafuta ya UK Stena Impero Habari zinasema Stena Impero iliacha maji ya kimataifa na kwenda kwenye visiwa vilivyopo Iran Meli ilikuwa inaelekea Saudi Arabia. Hatua...
12 Reactions
162 Replies
16K Views
Mataifa ya USA na Israel walikuwa wanafurahi ISIS ilivyokuwa imeteka eneo kubwa la Syria walitamani ASSAD adondoke Ni miaka 9 sasa Mbabe Assad yupo na ameishinda ISIS vibaraka wa USA na Mossad...
23 Reactions
63 Replies
6K Views
Shirika la Kimataifa la Kutoa Misaada (IRC) limesema upimaji mdogo wa CoronaVirus unafanya iwe ngumu kujua kiwango halisi cha janga hilo IRC imesema nchi zote ambazo Shirika hilo linafanya kazi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
US President Donald Trump speaks as he departs the White House in Washington, DC, on July 29, 2020 en route to Texas (Photo: JIM WATSON via Getty Images) Donald Trump has gleefully announced that...
0 Reactions
2 Replies
857 Views
Alexander Lukashenko is under fire over his pandemic response after he advised people to also "go to saunas" to ward off COVID-19. Belarus's president, who claimed vodka and saunas could keep...
0 Reactions
1 Replies
897 Views
Na Jumaa Kilumbi, Kama umekuwa ukifuatilia Mitandao ya Habari, Televisheni au Redio katika wiki za hivi karibuni ni dhahiri utakuwa umeona mfanano wa vichwa vya habari katika vyombo vingi vya...
24 Reactions
162 Replies
15K Views
Jamhuri ya Chile | Republic of Chile au República de Chile Chile ni taifa linalopatikana bara la Amerika Kusini likiwa na mipaka baina ya Ajentina, Bolivia, Peru, milima ya Andes na bahari ya...
15 Reactions
50 Replies
5K Views
Mzuka wanajamvi! Nilidhani ni maskini wa bongo tu wenye roho mbayaaaaaa! Uchumi wa Chile ulikuwa unapaa kwa kasi ya ajabu. Na kuzalisha tabaka kubwa la middle class kwa serikali kuweka mazingira...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Spika wa Bunge la Marekani Nancy Pelosi ameamuru kuwa wabunge na wafanyakzi wote wa chombo hicho watapaswa kuvaa barakoa katika kipindi chote cha janga la virusi vya corona. Akizungumza bungeni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mkuu wa Vikosi Vyote vya Majeshi ya Iran amepuuzilia mbali vitisho vya Marekani kuhusu kuishambulia kijeshi Iran na kusema Jamhuri ya Kiislamu iko tayari kwa vita vya kuamua mshindi na mshindwa...
2 Reactions
252 Replies
46K Views
Kiongozi wa Hong Kong, Carrie Lam ameonya kuwa Jiji hilo lipo mbioni kukumbwa na mlipuko mkubwa wa CoronaVirus ambao unaweza kupelekea hospitali kuzidiwa Taarifa ya Lam imesema mlipuko huo...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwaka 2013 akiwa nchini Indonesia, rais Xi Jinping wa China alipendekeza rasmi kuanzishwa kwa Benki ya Uwekezaji wa Miundombinu ya Asia (AIIB) kwa lengo la kuboresha mazingira ya kijamii na...
2 Reactions
0 Replies
765 Views
Bolivia, Estado Plurinacional de Bolivia, Plurinacional States of Bolivia au Tetã Hetãvoregua Mborivia Jamhuri ya watu wenye asili mbalimbali katika Bolivia ikifahamika kama BOLIVIA ni taifa...
7 Reactions
47 Replies
4K Views
China imetangaza leo kuwa inasimamisha mkataba wa kubadilisha wahalifu kati ya kisiwa chake cha Hong Kong na mataifa ya Canada, Australia na Uingereza, kama ulipizaji kisasi kwa maamuzi ya nchi...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Mahakama nchini humo imewahukumu Wanawake 5 wenye ushawishi katika mitandao ya kijamii kifungo cha miaka 2 jela kila mmoja kwa kosa la kukikuka maadili ya umma Hukumu iliyotolewa kwa Haneen...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Shirika la Fedha Duniani (IMF) limeidhinisha mkopo wa Dola za Marekani Bilioni 4.3 kwa Afrika Kusini ili kuiwezesha nchi hiyo kupambana na janga la CoronaVirus Taarifa iliyotolewa na Shirika hilo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Waziri Mkuu wa zamani wa Malaysia, Najib Razak amekutwa na hatia katika mashtaka 7 ya ufisadi yaliyokuwa yakimkabili na kuhukumiwa kifungo cha miaka 12 pamoja na faini ya Dola Milioni 49 (zaidi ya...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
The young man you are seeing in the picture below is Shakirudeen by name, and his nick name is Boneyics, he is a British contortionist of Nigeria decent. This young man took part in the...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
West Africa leaders take tough decisions on Mali, ask 31 MPs to resign Hollywood A-Listers' biggest box office flops West African leaders on Monday adopted a tough...
0 Reactions
0 Replies
589 Views
Wakati Marekani ikiwa na raia wa kutoka mataifa mbalimbali Kama Hispania,Ureno,Mexico Africa Uingereza n.k Urusi ina raia kutoka nchi yenye watu wa jamii ya Kichina au kimongolia,Raia wenye asili...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…