Marekani na Urusi zinafanana kwa mambo kadhaa

lee Vladimir cleef

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
9,373
34,590
Wakati Marekani ikiwa na raia wa kutoka mataifa mbalimbali Kama Hispania,Ureno,Mexico Africa Uingereza n.k Urusi ina raia kutoka nchi yenye watu wa jamii ya Kichina au kimongolia,Raia wenye asili ya Kiiran au Kiafghanistan,Hawa Ni raia kutoka majimbo ya mashariki na kusini mashariki mwa Urusi.

Marekani Wakazi wa kisiwa Cha Hawaii hawa Ni Kama wajapani hivi,Urusi nayo ina Wakazi wa kisiwa chenye Raia wenye asili ya Japan.

Marekani in utajiri wa mafuta na gesi,Hali kadhalika Urusi nayo ina Utajiri wa mafuta na Gesi,

Marekani inakimiliki kisiwa Cha Guam kibabe Urusi inamiliki kisiwa sehemu ya Japan kibabe.

Kasoro tu Urusi Haina Raia weusi Kama Marekani, lakini Kuna wazungu kamili Marekani.

Urusi Kuna wazungu kamili ndo Kama Hawa akina Putin na wengi wanatokea Urusi ya Magharibi wengi Ni asili ya Ulaya Mashariki.

Urusi in jamii za kiarabu na Waislamu wengi, mfano Ni baadhi ya Wakazi wa Chechen Kama akina marehemu Ahmad Kadriyokov,Aslan Mashkadov etc

Majimbo mengi yaliyojitenga na USSR Kama kyugistan,Azebaijan,Tajikistan Yana asili ya watu Kama wairan,Waafghanistan na waarabu ama wahidi.

Wakati USA kuna wahindi wekundu,wa Latin America n.k

Ubunifu wa silaha kwa haya mataifa Ndio usiseme wanafanana kwa kila silaha wanatofautisha miundo na nyakati tu.Ukisikia mashindano ya kutengeneza silaha Kali Ni Hawa jamaa, huyu akiunda ndegevita Fulani mwaka huu,miaka kadhaa mbele anakuja kwenzie na ndege Bora kuishinda ile ya mwenzie vivyi hivyo kwa silaha nyingine.

Tofauti zipo na Ni za kihistoria zaidi.

Kama kustarehe,kumiliki Mali,miji,majengo,kutawala,n .k
 
Ukatili pia wanafanana marekani na Russia..
Baada ya Vita ya pili ya dunia hskuna taifa lililosababisha vifo vingi duniani zaidi ya Soviet Russia na Marekani.
 
Raia zaidi ya 98% wa USA wanaishi kwenye nchi ambayo sio ya kwao huku Russia zaidi ya 98% wanaishi kwenye nchi yao!.
 
Back
Top Bottom