Mgahawa uliopo Mjini Changsha umeomba radhi kwa kuhimiza wateja kupima uzito na kisha kuagiza chakula sahihi
Mizani mbili ziliwekwa kwenye mlango wa kuingia na wateja walitakiwa kuingiza vipimo...
Vikosi nchini Mali vimemuondoa madarakani rais Ibrahim Boubacar Keïta na kutangaza azma yao ya kuunda serikali ya mpito kabla ya uchaguzi mpya.
Hii inakuja baada ya Rais Keïta kuonekana kwenye...
Uturuki imesema kuwa, imemkamata dada wa kiongozi wa IS aliyeuawa, al-Baghdadi
Uturuki imemkamata dada mkubwa wa kiongozi wa Islamic State (IS) aliyeuawa Abu Bakr al-Baghdadi kaskazini magharibi...
Habari!
Kulingana na vyanzo mbalimbali vya taarifa hivi sasa ninapoandika haya, kuna uwezekano wa kutokea kwa Mapinduzi ya Kijeshi nchini Mali ambapo kumekuwa na mvutano mkubwa kati ya Serikali...
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa kitaifa wa Chama cha Democratic nchini Marekani wamemteua rasmi Joe Biden kuwa mgombea urais kwa tiketi ya chama hicho katika uchaguzi utakaofanyika baadae mwaka huu...
In the USA, the question of how reliably postal voting can take place is simmering. In addition to President Trump, the head of the US Post himself had aroused doubts. Now DeJoy is turning around...
Egypt’s Sisi welcomes UAE-Israel deal and halt to annexation
Israel and the United Arab Emirates reached a historic peace deal on Thursday that will lead to a full normalization of diplomatic...
US inasema kuwa picha za satellite zilizochukuliwa nchini North Korea, zaonesha nchi hiyo imejenga eneo jipya kubwa mno la kurushia makombora ya balistic ya masafa marefu (ya kuvuka mabara)...
Wafanyakazi wa Shirika la Habari la Belarus wameacha majukumu yao na kujiunga na maelfu wa Waandamanaji kutaka Rais wa nchi hiyo, Alexander Lukashenko kujiuzulu
Mmoja wa Wafanyakzi hao akihojiwa...
Kampuni ya electronics, XIAOMI, Imezindua simu mpya ( Xiaomi Mi 10 Ultra) yenye 4,500 mah battery inayoweza kwenda 0% to 100% charge ndani ya dakika 20 tu ikitumia official charger ya watts 120 🔥...
Haya mataifa ya kijamaa ambayo hufahamika kwenye kuficha data, hizi chache data wameachia imebainika Urusi imeipita China
Urusi: 87,147
China: 83,912
Hivi hawa wazungu mbona wanakawia kugundua...
Waziri Mkuu wa New Zealand, Jacinda Ardern ameahirisha Uchaguzi Mkuu uliopangwa kufanyika Septemba 19 kutokana na ongezeko la maambukizi ya CoronaVirus
Uchaguzi umesogezwa hadi Oktoba 17 na...
Ikulu ya Marekani imethibitisha kifo cha Robert Trump ambaye ni Mdogo wa Rais wa nchi hiyo, Donald Trump
Kwa mujibu wa vyombo mbalimbali nchini humo Robert alikuwa anaumwa sana. Hata hivyo...
This year’s election is gonna be one for the books!
Out of 330 million plus people, these two are the best the US can offer 🤣.
Tweedledee and Tweedledum.
A disaster and a catastrophe.
Which...
Maelfu ya waandamanaji wa upinzani wameandamana jiji Minks nchini Belarus kumshinikiza Rais Alexander Lukashenko kujiuzulu kutokana na matokeo ya Uchaguzi Mkuu wanayosema hayakuwa Huru na Haki...
Bandari muhimu ya Mocimboa da Praia , ya Msumbiji yatekwa na wapiganaji wa ' kundi la IS ' Wanamgambo wanaotajwa kuwa na uhusiano na kundi la Islamic State wamekamata bandari yenye ulinzi mkali...
Aliyekuwa Waziri wa Vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel Moshe Ya'alon amefichua kuwa magaidi wa kundi la ukufurishaji la Daesh waliwahi mara moja kuwashambulia kimakosa askari wa utawala huo...
Vikosi maalumu vya Somalia vinasema vimemaliza uvamizi Somali uliofanywa katika hoteli iliyopo katika mji mkuu Mogadishu ambayo ilivamiwa na wananamgambo wa al-Shabab Takriban watu 10 wameripotiwa...
Majority of the richest children in Africa come from a political background inheriting wealth from their parents and going forward with the legacy while minority come from a business back round...