International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Wakulima nchini Ufaransa wameandamana kwa njia ya kushangaza kwa kumwaga takribani tani 30 za viazi nje ya jengo la Bunge la Taifa, wakipinga mkataba wa biashara huria unaopendekezwa kati ya Umoja...
3 Reactions
15 Replies
362 Views
Rais wa Algeria, Abdelmadjid Tebboune, amewataka vijana wa Algeria wanaoishi nje ya nchi katika mazingira magumu na bila vibali halali kurejea nyumbani, akiahidi kurasimisha hali zao kisheria...
0 Reactions
0 Replies
115 Views
Spika wa bunge la Venezuela Jorge Rodriguez amesema zaidi ya watu 400 wameachiliwa kutoka gerezani kama sehemu ya mchakato unaoendelea wa kuachiliwa huru wafungwa wa kisiasa. Akizungumza siku ya...
1 Reactions
1 Replies
142 Views
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imekamilisha usafirishaji wake wa kwanza kabisa wa shaba kwenda Marekani kupitia mradi unaoungwa mkono na kampuni ya Mercuria, hatua inayochukuliwa kama...
2 Reactions
3 Replies
258 Views
At least 12,000 people were killed over two nights on January 8 and 9 during protests, Iran International’s editorial board concluded, based on a review of sources and medical data. Exiled Prince...
1 Reactions
16 Replies
685 Views
Ameandika hivyo Rais wa Marekani Donald Trump kwenye mtandao wake wa Truth
7 Reactions
16 Replies
463 Views
Mwaka wa 2026 wa Mawasiliano kati ya Watu wa China na Afrika umezinduliwa hivi karibuni katika makao makuu ya Umoja wa Afrika yaliyoko Addis Ababa, mji mkuu wa Ethiopia. Mwaka huu, takriban...
0 Reactions
2 Replies
225 Views
Hali ya kidiplomasia katika eneo la Arctic imezidi kupamba moto baada ya Greenland kupendekeza kufanya mazungumzo ya moja kwa moja na Marekani kuhusu mustakabali wake. Hatua hii inakuja huku...
1 Reactions
1 Replies
344 Views
  • Redirect
Iran kwa sasa iko kwenye kuzimwa kwa mawasiliano kulikoratibiwa, lengo lake si udhibiti wa usalama pekee bali pia kuficha ukweli. Kukatwa kwa intaneti, kuvurugwa kwa mawasiliano, kufungwa kwa...
0 Reactions
Replies
Views
Ubalozi wa Marekani nchini Iran siku ya Jumatatu umetoa taarifa mtandaoni ya onyo la usafiri ikiwataka raia wa Marekani kuondoka Iran mara moja huku machafuko yakiendelea kusambaa kote nchini...
0 Reactions
0 Replies
251 Views
Somalia imetangaza kukatiza uhusiano na Umoja wa Falme za Kiarabu, na kufuta makubaliano yote ya ushirikiano kati ya nchi hizo mbili. Katika taarifa iliyotolewa baada ya kikao cha baraza la...
0 Reactions
5 Replies
283 Views
Hawa watakuja kujuta kama Walibya tu. Kwa tuliowahi kuishi Iran tunajua kule viongozi wao na wananchi wao wana msemo wao kwamba "Iran is made for Iranians".... huo msemo hutumika kulenga kwenye...
8 Reactions
84 Replies
2K Views
Iran (Uajemi) ni Taifa la kale, sawa ilivyo kwa Syria, Iraq (Babylon), Galatia & Efeso (Uturuki), Rumi (Italy), Korinto (Greece), Misri na Kush (Ethiopia) Iran, baada ya kuingiliwa na misimamo...
1 Reactions
1 Replies
231 Views
Iran iliombwa, baada ya siku kadhaa za majadiliano nyeti ya kidiplomasia, kujiondoa katika mazoezi ya kijeshi ya nchi za BRICS yaliyokuwa yakifanyika kwenye pwani ya Afrika Kusini na kukubali...
0 Reactions
1 Replies
258 Views
https://www.instagram.com/p/DTa9jEmklYS/?igsh=MzR4ZzViZDFqOXly
1 Reactions
2 Replies
182 Views
Wakati waandamanaji wanaendelea kukiwasha huko Iran Marekani nao wanatrajia kuishambulia Iran kwa kuwaua watu wake yenyewe!!!
0 Reactions
7 Replies
372 Views
United States President Donald Trump has said the US has carried out a “large-scale strike” against Venezuela and its leader, President Nicolas Maduro. In a post on Truth Social, Trump claimed...
1 Reactions
30 Replies
1K Views
“Once again, our joint interagency forces sent a clear message this morning: ‘there is no ‍safe haven for ⁠criminals,'” it said. It did not say why the tanker was targeted or offer further...
1 Reactions
8 Replies
663 Views
Greenland, kisiwa kikubwa cha Aktiki kilicho sehemu ya Ufalme wa Denmark ambacho pia Trump anakimezea mate , kiko takribani kilomita 3,200 kaskazini-mashariki mwa Marekani. Kina utajiri mkubwa wa...
2 Reactions
3 Replies
346 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…