Nimeangalia mdahalo mzima wa kwanza wa Urais wa Marekani uliofanyika hapo jana, na moja kati ya vitu nilivyogundua kwa haraka ni uwezo wa Trump kutawala jukwaa kwa kuingilia kila mara anapopata...
Kwa wale watu wanaofuatilia siasa za kimataifa ili kutanua uelewa wa siasa fuatilia US Presidential Debate 2020 Cleveland, Ohio saa 10.00 usiku. DSTV ALJAZEERA channel Namba 406 na News Room...
Rais wa Marekani na mgombea wa chama cha Republic, Donald Trump anatarajiwa kukutana uso kwa uso na mpinzani wake, Joe Biden katika mdahalo wa kwanza wa urais unaotarajiwa kufanyika baadaye hii...
UKOSEKANA KWA AMANI DUNIANI: UBEPARI NDIYO CHANZO
Tarehe 20, Septemba ya kila mwaka huadhimishwa kuwa Siku ya Amani Duniani. Mabepari baada ya kushindwa kuleta amani, usalama, utulivu na ustawi...
Mfanyabiashara huyo wa Marekani mwenye umri wa miaka 89 , hatimaye amefikia lengo lake siku chache ziliopita alipotoa dola ,milioni 8,000 kusimamia miradi ya hisani duniani.
Hivi sasa hana nyumba...
Vifo vinavyotokana na maabukizi ya virusi vya corona vimezidi watu milioni moja, kwa mujibu wa takwimu za Chuo Kikuu cha John Hopkins, huku Shirika la Afya Duniani likionya kuwa idadi hiyo inaweza...
Matangazo ya moja kwa moja kupitia Television za CNN, Fox News, BBC, Aljazeera, Sky News etc
Baadae Wagombea hao watafanya Midahalo mingine miwili kabla ya Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Novemba...
Itakumbukwa kuwa mwaka 2015 Bunge la Congress la Marekani lilipitisha sheria ya kuipa serikali ya nchi hiyo mamlaka ya kutafiti na kutumia madini na nishati nyinginezo zilizopo kwenye mwezi, na...
Waziri wa usalama wa kitaifa wa Zimbabwe, Owen Ncube, anadai kuwa upinzani unafanya kazi na nchi za magharibi kuingiza silaha kimagendo nchini humo kwa lengo la kumuondoa madarakani Emmerson...
Word of warning: you will probably begin to question all of your life's accomplishments after reading this list.
10.) Rescue Of Capt. Phillips
Captain Richard Phillips was...
Mahakama Maalum ya Umoja wa Mataifa inayosikiliza mashtaka dhidi ya rais wa zamani wa Liberia, Charles Taylor imesema kiongozi huyo wa zamani ataendelea kutumikia kifungo chake nchini Uingereza...
(CNN)It was the moment when Donald Trump's "Art of the Deal" fabulism, billionaire tycoon bluster and populist standard-bearing for forgotten Americans was revealed to be what it always looked...
Tangu rais wa sasa wa Marekani Donald Trump aingie madarakani, amekuwa akiendesha sera ya “America First”, sera anayodai kuwa inatoa kipaumbele kwa maslahi ya Marekani, na maslahi hayo ya Marekani...
The New York Times says Donald Trump paid just $750 (£587) in federal income tax both in 2016, the year he ran for the US presidency, and in his first year in the White House.
The newspaper -...
Maafisa wamethibitisha vifo vya takriban watu 22, wengi wao wakiwa wanafunzi baada ya ndege kuanguka karibu na kusini mwa Mji wa Kharkiv wakati inatua
Imeelezwa kuwa, watu 27 walikuwemo katika...
Takriban watu 10 wamepoteza maisha baada ya jengo la makazi ya watu lenye ghorofa tatu kuporomoka mapema leo asubuhi katika eneo la Bhiwandi lililopo katika viunga vya jiji la Mumbai, India...
Kaskazini mwa Msumbiji, mapigano yanaendelea na kuongezeka hali ambayo imelazimisha maelfu ya watu kutoroka makazi yao.
Sasa hivi idadi kubwa ya raia hao wanakimbilia nchi jirani ya Tanzania...