Mchumba wa mwandishi wa Saudia Jamal Khashoggi aliyeuawa nchini Uturuki amewasilisha kesi mahakamani dhidi ya mwanamfalme wa Saudia, akimtuhumu kwa kuagiza mauaji hayo.
Inaelezwa kuwa Kashogi...
France is somewhere I will never even think of going even if I was rich and famous because of the historical facts like this, It's colonial history is worse brutal than all colonists and still...
Pollard, a former intelligence analyst for the US, was detained in 1985 for spying for and providing top-secret intelligence to Israel, serving 30 years of a life sentence before he was paroled in...
Rais Mteule wa Marekani, Joe Biden amesema japokuwa wanajiandaa kuchukua madaraka, Timu yake haipatiwi taarifa inazohitaji ikiwemo zile kutoka Wizara ya Ulinzi
Biden amesema wanakosa taarifa...
Chanjo dhidi ya Virusi vya Corona iliyotengenezwa na Kampuni ya AstraZeneca kwa kushirikiana na Wanasayansi wa Chuo cha Oxford imeidhinishwa kwa ajili ya matumizi.
Waziri wa Afya, Matt Hancock...
New Year's Eve 2018: celebrations around the world - [Live Updates]
The Guardian: Follow all the celebrations as the clock strikes midnight and countries see out 2018 to welcome in 2019!
Happy...
Maafisa wa wanyama pori wamesambaza picha za nyoka mwenye macho matatu aliyepatikana katikati ya barabara kaskazini mwa Auustralia.
Shirika la huduma kwa wanyama pori na bustani za wanyama...
Maelfu ya wapinzani wa Waziri Mkuu wa Nepal K.P. Sharma Oli leo hii wamekusanyika katika mitaa ya jiji la Kathmandu wakimshinikiza waziri mkuu huyo kubatilisha uamuzi wake wa kulivunja bunge na...
Mwandishi wa Habari Zhang Zhan amehukumiwa kifungo cha miaka minne baada ya kukutwa na hatia ya kuchochea majibishano na ugomvi, shtaka ambalo mara nyingi hutolewa kwa Wanaharakati
Raia huyo wa...
Baraza la seneti la Argentina, limepitisha mswada wa sheria wa kihistoria unaohalalisha uavyaji mimba katika taifa ambalo Kanisa Katoliki limekuwa na ushawishi mkubwa kwa muda mrefu.
Argentina...
Chanjo dhidi ya virusi vya corona inayotengenezwa na kampuni ya dawa nchini Uingereza ya AstraZeneca na chuo kikuu cha Oxford imepata mafanikio makubwa katika hatua ya majaribio na sasa iko tayari...
Mamlaka zimetoa onyo kwa Migahawa kutumia mbinu mbalimbali kuuza pombe na kukiuka marufuku ambayo imeweka hivi karibuni kufuatia ongezeko la maambukizi ya COVID19.
Waziri wa Polisi, Bheki Cele...
Mkuu wa Vituo vya Afrika vya Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa Afrika anasema "tunaendelea kubaki na matumaini" kwamba Tanzania itashirikiana kwa kutoa takwimu zake za COVID-19 hata kama Rais wa nchi...
Mkuu wa shirika la polisi la Ulaya, Catherine De Bolle, amesema visa vya uhalifu wa kuwadhalilisha watoto kingono mitandaoni vinaongezeka kwa kipindi hiki cha vizuizi kutokana na janga la Corona...
Tume ya uchaguzi katika Jamhuri ya Afrika ya kati imesema zaidi ya asilimia 14 ya vituo vya kupigia kura nchini humo, vilishindwa kuendesha zoezi la kura ya urais na bunge kutokana na waasi...
Seneta Norma Durango aliwasilisha muswada bungeni ili kumfanya kiungo huyo, ambaye alifariki wiki mbili zilizopita akiwa na umri wa miaka 60, kuwa kwenye noti ya 1,000 sawa na dola ($ 12, £ 9)...
Wakiwa na lengo la kupindua matokeo ya uchaguzi wa Marekani, mbunge wa baraza la wawakilishi Louie Gohmert na wenzake wa Republican Jumatatu walifungua kesi ya madai dhidi ya makamu wa rais Mike...
Rais wa Rwanda Paul Kagame ametangaza kwamba nchi yake iliamua kutuma askari katika Jamuhuri ya Afrika ya kati ili kulinda askari wa nchi hiyo waliomo katika kikosi cha umoja wa mataifa ambao...
TUZUNGUMZIE UBAGUZI WA RANGI, UBAGUZI WA KIPATO, NA VURUGU NCHINI MAREKANI
Leo 10:50hrs 22/11/2020
Mwaka 2016 Dr Ben Carson alialikwa na Rev Shapton kwenye mkutano wa watu weusi kule New York...
Maandamano ya wakulima yanayoendelea nchini India hasa hasa jimbo la Punjab yamepelekea minara ya simu ipatayo 1500 kuharibiwa. Uharibifu huo ni kwa kuiba majenereta yanayoendesha mitambo hiyo na...