Kagame atuma kikosi maalum cha Jeshi nchini Jamuhuri ya Afrika ya Kati

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,191
4,657
Rais wa Rwanda Paul Kagame ametangaza kwamba nchi yake iliamua kutuma askari katika Jamuhuri ya Afrika ya kati ili kulinda askari wa nchi hiyo waliomo katika kikosi cha umoja wa mataifa ambao wamekuwa wakilengwa na Wanamgambo wenye silaha.

''Tulituma askari zaidi katika Jamuhuri ya Afrika ya kati kufuatia mapatano ya ushirikiano yaliyopo baina yetu na taifa hilo.... Majukumu ya askari hao na wengine waliopo katika kikosi cha umoja wa mataifa yatakuwa tofauti na yatatusaidia kulinda ama kuongeza nguvu za askari wetu ambao wamekuwa wakiviziwa na makundi yenye silaha na pia kulinda raia walioko katika sehemu mbali mbali zenye usalama mdogo'', amesema Kagame katika mkutano na waandishi wa habari mjini Kigali.

Rwanda pamoja na serikali ya Jamuhuri ya Afrika ya Kati wamemshutumu rais wa zamani wa nchi hiyo François Bozizé kwa kuwaunga mkono waasi na kupanga njama ya mapinduzi, shutuma ambazo alizikana.

Bw Kazagui pia amesema kuwa Rwanda imetuma mamia kadhaa ya wanajeshi ambao wamefika nchini humo na wameanza mapigano.

Rais Paul Kagame anasema walituma askari zaidi ili kuwalinda askari wa Rwanda waliokua wakilengwa kwa mashambulio ya waaasi.

Rwanda imepeleka kile inachokiiya "kikosi cha ulinzi " katika Jamuhuri ya Afrika ya Kati baada ya walinzi wake wa amani kushambuliwa na waasi katika mji mkuu, Bangui.
 
Rais wa Rwanda Paul Kagame ametangaza kwamba nchi yake iliamua kutuma askari katika Jamuhuri ya Afrika ya kati ili kulinda askari wa nchi hiyo waliomo katika kikosi cha umoja wa mataifa ambao wamekuwa wakilengwa na wanamgambo wenye silaha.

''Tulituma askari zaidi katika Jamuhuri ya Afrika ya kati kufuatia mapatano ya ushirikiano yaliyopo baina yetu na taifa hilo.... Majukumu ya askari hao na wengine waliopo katika kikosi cha umoja wa mataifa yatakuwa tofauti na yatatusaidia kulinda ama kuongeza nguvu za askari wetu ambao wamekuwa wakiviziwa na makundi yenye silaha na pia kulinda raia walioko katika sehemu mbali mbali zenye usalama mdogo'', amesema Kagame katika mkutano na waandishi wa habari mjini Kigali.

Rwanda pamoja na serikali ya Jamuhuri ya Afrika ya Kati wamemshutumu rais wa zamani wa nchi hiyo François Bozizé kwa kuwaunga mkono waasi na kupanga njama ya mapinduzi, shutuma ambazo alizikana.

Bw Kazagui pia amesema kuwa Rwanda imetuma mamia kadhaa ya wanajeshi ambao wamefika nchini humo na wameanza mapigano.

Rais Paul Kagame anasema walituma askari zaidi ili kuwalinda askari wa Rwanda waliokua wakilengwa kwa mashambulio ya waaasi

Rwanda imepeleka kile inachokiiya "kikosi cha ulinzi " katika Jamuhuri ya Afrika ya Kati baada ya walinzi wake wa amani kushambuliwa na waasi katika mji mkuu, Bangui.

Swali ni, je, askari hao wa Rwanda wanatumwa huko ili wawe chini ya command ya umoja wa Mataifa au wanatumwa kama askari wa kukodi (dogs of war).

Askari wetu waliokuwa chini ya umoja wa mataifa waliviziwa na kuuwawa kikatili katika kambi yao huko Congo DRC wakiwa wamelala, sikuona Tanzania inasema itatuma independent askali wa kuwalinda askari wenzao wa Tanzania kinyume na makubaliano/taratibu za umoja wa mataifa - kuingilia masuala ya ndani ya Taifa lengine ni kuchochea vurugu - wacheni raia wa Africa ya kati wamalize tofauti zao kwa kushirikisha umoja wa mataifa na si vinginevyo.

Narudia kukumbusha kwamba Tanzania tuliwahi kupoteza askari wetu kwa kuvamiwa huko Afrika ya kati, vile vile na Congo DRC tulipoteza askari wetu kwa kuvamiwa usiku wa manane kwenye kambi na si kwenye uwanja wa mapigano, walio kula njama za kuwakomoa askari watu kwenye incidents zote mbili wanajulikana - kunyamaza kwetu wasituchukulie tu wajinga au hatujui kinacho endelea nyuma ya pazia.
 
Swali ni, je, askali hao wa Rwanda wanatumwa huko ili wawe chini ya command ya umoja wa Mataifa au wanatumwa kama askali wa kukodi (dogs of war).

Askali wetu waliokuwa chini ya umoja wa mataifa waliviziwa na kuuwawa kikatili katika kambi yao huko Congo DRC wakiwa wamelala, sikuona Tanzania inasema itatuma independent askali wa kuwalinda askali wenzao wa Tanzania kinyume na makubaliano/taratibu za umoja wa mataifa - kuingilia masuala ya ndani ya Taifa lengine ni kuchochea vurugu - wacheni raia wa Africa ya kati wamalize tofauti zao kwa kushirikisha umoja wa mataifa na si vinginevyo.

Narudia kukumbusha kwamba Tanzania tuliwahi kupoteza askali wetu kwa kuvamiwa huko Afrika ya kati, vile vile na Congo DRC tulipoteza askali wetu kwa kuvamiwa usiku wa manane kwenye kambi na si kwenye uwanja wa mapigano, walio kula njama za kuwakomoa askali watu kwenye incidents zote mbili wanajulikana - kunyamaza kwetu wasituchukulie tu wajinga au hatujui kinacho endelea nyuma ya pazia.
Unatuma askari kwendankulinda askari...ni sawa na kutuma askari kwaengo jingine tofauti na la askari waliopo
 
Unatuma askari kwendankulinda askari...ni sawa na kutuma askari kwaengo jingine tofauti na la askari waliopo

Ndiyo maana yake haswa, sijui internatinal community na UN suala hili wanalionaje/chukuliaje?

Kihistoria mataifa mengi yanayo ombwa na UN kupeleka maskari wao kwa masuala ya kulinda amani kwenye nchi fulani, kuna wakati wanapoteza askari wao, mfano: Askari kutoka Sweden,Norway, India na Pakistan waliwahi kupoteza askari wao kwenye nyakati tofauti kuanzia miaka ya 1950s mpaka leo, incidents kama hizo utokea once in a while lakini taifa linalopoteza askari wake wakiwa kwenye ulinzi wa amani wakiwa chini ya mwamvuli wa UN hata siku moja nchi husika haipeleki an independent askali wa kulinda askari wenzao wakati askali wa UN wapo - kufanya hivyo ni kutaka kuchochea vurugu au kuonekana unataka kuunga mkono kundi fulani, which is unhealthy in a long run - my opinion.
 
Africa ni yetu lazima tuinuane . Kagame boys wako kikazi zaidi aiseee! Hadi rais kaitangazia dunia kua yuko comfortable na ulinzi wa wanyarwanda.
Rais wa Rwanda Paul Kagame ametangaza kwamba nchi yake iliamua kutuma askari katika Jamuhuri ya Afrika ya kati ili kulinda askari wa nchi hiyo waliomo katika kikosi cha umoja wa mataifa ambao wamekuwa wakilengwa na Wanamgambo wenye silaha.

''Tulituma askari zaidi katika Jamuhuri ya Afrika ya kati kufuatia mapatano ya ushirikiano yaliyopo baina yetu na taifa hilo.... Majukumu ya askari hao na wengine waliopo katika kikosi cha umoja wa mataifa yatakuwa tofauti na yatatusaidia kulinda ama kuongeza nguvu za askari wetu ambao wamekuwa wakiviziwa na makundi yenye silaha na pia kulinda raia walioko katika sehemu mbali mbali zenye usalama mdogo'', amesema Kagame katika mkutano na waandishi wa habari mjini Kigali.

Rwanda pamoja na serikali ya Jamuhuri ya Afrika ya Kati wamemshutumu rais wa zamani wa nchi hiyo François Bozizé kwa kuwaunga mkono waasi na kupanga njama ya mapinduzi, shutuma ambazo alizikana.

Bw Kazagui pia amesema kuwa Rwanda imetuma mamia kadhaa ya wanajeshi ambao wamefika nchini humo na wameanza mapigano.

Rais Paul Kagame anasema walituma askari zaidi ili kuwalinda askari wa Rwanda waliokua wakilengwa kwa mashambulio ya waaasi.

Rwanda imepeleka kile inachokiiya "kikosi cha ulinzi " katika Jamuhuri ya Afrika ya Kati baada ya walinzi wake wa amani kushambuliwa na waasi katika mji mkuu,
 
Attachments

  • 16-499-cf800.jpg
    16-499-cf800.jpg
    93.4 KB · Views: 1
  • 01-211-55557.jpg
    01-211-55557.jpg
    117 KB · Views: 1
  • 13-691-4a6b4.jpg
    13-691-4a6b4.jpg
    85.7 KB · Views: 1
  • 11-959-2330f.jpg
    11-959-2330f.jpg
    68 KB · Views: 1
  • 02-207-a1a4f.jpg
    02-207-a1a4f.jpg
    100.3 KB · Views: 1
  • 06-102-5416c.jpg
    06-102-5416c.jpg
    66.1 KB · Views: 1
  • 10-988-72454.jpg
    10-988-72454.jpg
    118 KB · Views: 1
  • 04-149-7ae3c.jpg
    04-149-7ae3c.jpg
    113.9 KB · Views: 1
Back
Top Bottom