Kelele za Trump oh dunia itaona majabu katika hi week kweli tumeona kweli, bada ya Iran kumwambia tunafanya exercise carries zote zipelekwe 500 Miles ama kama zitabaki zita tandikwa hatutanii...
Takribani watu 200 wamepoteza maisha baada ya mvua kubwa kusababisha mfululizo wa maporomoko ya ardhi katika mgodi wa coltan wa Rubaya uliopo mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC)...
Nimekuwa nafuatilia video za nchi ya Rwanda, hata za huko vijijini. Kwa kweli hii ni nchi nzuri sana. Baada ya miaka kumi ikiendelea hivi itakuwa muonekano wa nchi za Ulaya hata kuzidi.
Kila kitu...
Trump anazidi kuprove kuwa ni mbabe sio tu kwa mataifa dhaifu bali hadi kwa mataifa strong ya wazungu wenzake
Angalia jinsi anavyomwongelea Emmanuel Macron kwa dharau
Sidhani kama kuna mtu anamsumbua Trump akili kama huyu mwanamke wa Kisomali Ilhan Omar ambaye ni raia wa Marekani na congresswoman wa jimbo la Minnesota, Marekanii
Ilhan anapenda sana kupinga...
Baghdad inaendelea kunawiri, sio ile Iraq ya mwaka 2003 tena. Miundombinu inarejea, miradi inaongezeka, na mwelekeo wa nchi umebadilika kuelekea maendeleo ya ndani.
Kwa upande wa Wakurdi, Erbil...
Marekani imetoa onyo adimu na la moja kwa moja kwa Canada, ikisema kuwa ndege zake za kivita zinaweza kupelekwa katika anga ya Canada iwapo Ottawa itapunguza au kufuta mpango wake wa kununua ndege...
Chanzo cha picha,Reuters
Maelezo ya picha,Rais Samia Suluhu Hassan aliingia madarakani mwaka 2021 baada ya kifo cha mtangulizi wake na huu ni uchaguzi wake wa kwanza wa kugombea urais.
31 Oktoba...
Dunia inayumbishwa na Marekani ,yaani Marekani akicheka au akikohoa dunia inaitika namuu,kwa hiyo anachofanya Marekani ni kudhoofisha Yuan ya china isipate nguvu na mvuto ,yaani Dolla ndio iwe na...
🇮🇱 “Hilo halitatokea.”
Waziri Mkuu Netanyahu alieleza waziwazi:
🔹 Hakuna ujenzi mpya kabla ya kuondolewa kijeshi Magaidi wa Hamas huko Gaza
🔹 Hakuna wanajeshi wa kigeni huko Gaza-Israel...
Sisi Iran hatutishiwi na tweets, sanctions, wala press conference. Mnatumia mabilioni kuleta carrier baharini; sisi tunatumia akili na subira na bado mnasema ‘we’re concerned’.
Kama kweli mna...
Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Andy Lentz, ameelezea kutoridhishwa kwake na jinsi Serikali ya Tanzania na vyombo vya habari vilivyolishughulikia suala la kukamatwa kwa raia wa Marekani...
Waziri wa Mambo ya Nje Gideon Sa'ar Atoa Hotuba katika Sherehe ya Kimataifa ya Kumbukumbu ya Mauaji ya Kimbari huko Astana, Kazakhstan
Waziri wa Mambo ya Nje wa Kazakhstan Yermek Kosherbayev pia...
Israel imeingia katika hali ya juu ya utayari ( heightened state of readiness ) huku Maandamano yakienea kote Iran na uvumi ukiongezeka kwamba Washington inaweza kuhusika moja kwa moja, ripoti ya...
Takwimu zilizotolewa hivi karibuni na Idara Kuu ya Kodi ya China zinaonesha kwamba, mwaka 2025, idadi ya watalii wa kigeni walioomba marejesho ya kodi ya nyongeza ya thamani (VAT) iliongezeka kwa...
Aliyekuwa Waziri wa Rasilimali za Mafuta wa Nigeria, Diezani Alison-Madueke, amefikishwa mahakamani jijini London akikabiliwa na tuhuma za kupokea rushwa zenye thamani ya mamilioni ya pauni kwa...
Kila wakipiga jicho wanaona Muiran amekodoa macho akisubiri apate sababu ya kuingamiza Israel
ukweli ni kwamba hata wao Marekani wanafikiria je ikitokea moja ya meli zao kuzamishwa je aibu hii...
Iran imesema shambulio lolote kutoka USA litajibiwa vikali bila kupepesa macho.
https://x.com/cnnipr/status/2016201365224108519?s=20
Tehran limewekwa bango linaonyesha Machumachuma ya USA...
Tayari Manowari za Kivita zenye ndege za kutosha, zimeaanza kuelekea Middle East
Nimesoma source moja, hadi ndege zinazojaza mafuta ndege nyingine angani zimeshasogezwa hapo Middleeast
Kifupi...