International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Mataifa ya Magharibi yamo kwenye mfumo wa ushindani na China. Changamoto za ulimwengu zinawalazimisha kuwa washirika zaidi kama Kongamano la Usalama la Munich inavyojaribu kutafuta uwiano wenye...
7 Reactions
26 Replies
4K Views
Waziri mkuu wa Israel anasema kwamba jamii ya kimataifa inafaa kuamka kufuatia uchaguzi wa rais mpya wa Iran. Naftali Bennet amesema kwamba utawala wa Iran umekuwa ukitaka silaha za kinyuklia -...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Umoja wa Ulaya (EU) upo kwenye Mchakato wa kuiondolea Burundi vizuizi vya kifedha, ambapo Mwakilishi wake Nchini humo amesema hatua hiyo ni mwanzo wa kufuta marufuku hiyo. Mwaka 2016, EU...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mamlaka za Afya Nchini Zambia zimeeleza wasiwasi wake juu ya ongezeko la vifo vitokanavyo na Virusi vya Corona wakati huu ambapo Taifa hilo linapambana na wimbi la Tatu la Maambukizi Waziri wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jeshi la Yemen latungua ndege ya Marekani Jeshi la Yemen limetangaza kuwa limefanikiwa kutungua ndege ya kijasusi ya Jeshi la Marekani katika anga ya mkoa wa Ma'rib. Msemaji wa Jeshi la Yemen...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ethiopia inafanya Uchaguzi Mkuu hii leo baada ya kuahirishwa mara mbili kutokana na mlipuko wa virusi vya corona na kutoa nafasi ya kukamilisha maandalizi. Huu ni uchaguzi wa kwanza unaompa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Jeshi la Polisi nchini Ureno wamemkamata mwanamume mmoja kwenye uwanja wa ndege huko Lisbon, ambaye alikuwa amebeba kilo moja ya Cocaine kwenye makalio bandia. Vyombo vya habari nchini humo...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Naam, siyo wengine bali ni walewale watoto wa Ayatollah ndiyo wanaoongoza kutupiga tafu kwenye mikopo Siyo China, wala Marekani wanaoongoza kutukopesha ili tufanye mambo ya maendeleo, bali ni...
14 Reactions
204 Replies
16K Views
Idadi ya waliopoteza maisha kutokana na mlipuko wa Corona Nchini Brazil imefikia 500,000 huku Wataalamu wakionya janga hilo linaweza kuwa baya zaidi kutokana na kasi ndogo ya utoaji Chanjo Maelfu...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Idadi ya vifo vinavyotokana na Ugonjwa huo imezidi 400,000. Nchi hiyo ni ya pili duniani kurekodi vifo vingi zaidi huku ikiendelea kupambana na mpango wake wa utoaji Chanjo. Ndani ya saa 24...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Uturuki imepokea Dozi Milioni 5 za Chanjo ya Sinovac inayotengezwa China huku Rais wa Taifa hilo, Tayyip Erdogan, akielezea matumaini ya kuinuka tena kwa Sekta ya Utalii Sekta hiyo imekumbwa na...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Matokeo ya awali ya uchaguzi wa Rais na Mabaraza ya Miji na Vijiji nchni Iran yanaonyesha kuwa Seyyed Ebrahim Raeisi amepata ushindi wa kishindo katika kinyang'anyiro cha kuwania kiti cha Rais wa...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Hong Kong(CNN)A rocket carrying three veteran astronauts bound for China's orbiting space station module will launch from the Gobi Desert in the country's north in just over 24 hours, China's...
9 Reactions
60 Replies
5K Views
MFAHAMU HAYATI KENNETH KAUNDA(KK). Na Elius Ndabila 0768239284 Taarifa iliyoripitiwa hivi leo na vyombo vya ndani vya Zambia ni kuwa Rais wa Rais wa Kwanza wa Zambia Mzee Kenneth KAUNDA ambaye...
6 Reactions
27 Replies
5K Views
Jiwe kubwa la almasi ambalo ni la tatu kwa ukubwa duniani limepatikana nchini Botswana, katika machimbo ya dhahabu ya Jwaneng yanayotajwa kuwa yenye utajiri mkubwa zaidi wa almasi duniani. Jiwe...
5 Reactions
12 Replies
3K Views
1. Nchi zote Malawi na Zambia zilipata uhuru mwaka 1964 na zote hutumia pesa aina ya Kwacha. Marais waasisi wa Mataifa haya yaani Dk. Hastings Kamuzu Banda (Malawi) na Dk. Kenneth Kaunda (Zambia)...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Mzee Kennedy Kaunda amefariki mchana wa leo wakati akipatiwa matibabu kwenye hospital ya Maina ===== MAISHA YA AWALI Kaunda ni mtoto wa mwisho katika familia ya watoto wanane. Alizaliwa katika...
16 Reactions
136 Replies
13K Views
Why Wall Street is in such a rush to get workers back to the office By Matt Egan, CNN Business Updated 9:18 AM ET, Fri June 18, 2021 Wall Street wants employees back in the office...
1 Reactions
3 Replies
856 Views
Waziri Mkuu wa Israel Naftali Bennett leo Juni 15, 2021 amefanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Idara Kuu ya Ujasusi nchini Israel Security Agency (ISA) Nadav Argaman. Waziri Mkuu ameamua kuwa...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…