International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Takriban Wanajeshi 25 na Raia 17 wameuawa katika moto wa msituni uliotokea Mkoa wa Kabylie. Waziri Mkuu wa Nchi hiyo amesema pamoja na vifo, Wanajeshi kadhaa wamejeruhiwa wakikabiliana na moto huo...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, utawala wa RPF chini ya Paul kagame umefanya mpinduzi makubwa sana ya kimaendeleo kwenye nchi ya Rwanda. Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Watu 24 wa familia moja wamefariki dunia baada ya kula chakula kinachohisiwa kuwa na sumu Kaskazini Magharibi mwa Nigeria katika jimbo la Sokoto. Kamishna wa Afya wa jimbo hilo, Ali Inname...
0 Reactions
0 Replies
799 Views
Watumishi wote wa Umma Nchini humo watatakiwa kuonesha ushahidi kuwa wamepata chanjo dhidi ya COVID19 kabla ya kuruhusiwa katika maeneo yao ya kazi Rais Alpha Condé ametoa maelekezo kwa Waziri...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Israel imeanzisha mashambulizi ya anga dhidi ya maeneo lengwa ya Hamas katika ukanda wa Gaza. Taifa hilo limefanya hivyo baada ya maputo ya moto kurushwa kuelekea upande wake. Kwa mujibu wa...
4 Reactions
33 Replies
4K Views
Kampuni ya Google imepigwa faini ya Euro milioni 220, sawa na zaidi ya Tsh. bilioni 621 na kutakiwa kufanya mabadiliko makubwa katika mfumo wake wa matangazo ya mtandaoni nchini Ufaransa. Mamlaka...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Mfumo mpya wa Apple utakagua picha zenye Maudhui ya Ukatili wa Kijinsia kwa Watoto kwenye Simu za watumiaji. Zaidi ya Watu na Mashirika 5,000 wamesaini barua ya wazi wakipinga Teknolojia hiyo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Gavana wa Jiji la New York, Andrew Cuomo, ametangaza kujiuzulu ndani ya siku 14 baada ya Uchunguzi kubaini aliwanyanyasa kijinsia Wanawake kadhaa Wanademocrat wenzake akiwemo Rais Joe Biden...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kama kawaida,baada ya kundi la wanamgambo wa HAMAS kuichokoza Israel kwa kufanya mashambulizi ya Rockets na Israel kujibu vikali, tayari kama tulivyotarajia mataifa mbalimbali Duniani ikiwemo na...
3 Reactions
60 Replies
5K Views
Ukitazama Ramani, hizi ni wazi kabisa Marekani amemzunguka sana Iran kijeshi, kiasi kwamba ni Rais Mwendawazimu tu wa Iran anayeweza kudhubutu kuanzisha vita na Marekani, the rest itakuwa ni blah...
0 Reactions
67 Replies
8K Views
Israeli-managed tanker attacked off Oman, motive unclear, 2 dead DUBAI, July 30 (Reuters) - A petroleum products tanker managed by Israeli-owned Zodiac Maritime came under attack on Thursday in...
4 Reactions
53 Replies
7K Views
8 Aug 2021 Business Insider The United States has sent B-52 bombers and Spectre gunships to Afghanistan in a bid to stop Taliban insurgents who are marching towards three key cities. The B-52s...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Umoja wa Falme za Kiarabu umerekodi maambukizi mapya 1,334 ndani ya saa 24 zilizopita huku wagonjwa 1,396 wakipona na wanne wakipoteza maisha. Tangu kuanza kwa janga la COVID-19 watu 1,982...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wapiganaji nchini Mali wamewaua takribani watu 51 na wengine kujeruhiwa baada ya kuvamia na kudhibiti mji wa Ouatagouna, Karou na Deoutegeuf. Mashuhuda wamesema watu hao walivamia na kurusha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kesi ya Ufisadi inayomkabili Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma imeahirishwa kwa mara nyingine hadi Septemba 9 kutokana na hali yake ya kiafya. Zuma alilazwa Hospitalini wiki iliyopita. Jaji Piet...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Visa vipya 28,204 vya COVID19 vimerekodiwa ndani ya saa 24 zilizopita, idadi ambayo kwa mujibu wa takwimu za Serikali ni ndogo zaidi kurekodiwa katika Taifa hilo tangu Machi 16. Kwa ujumla...
0 Reactions
1 Replies
985 Views
Mamia ya watu wameuawa baada ya makazi yao katika jimbo la Ethiopia la Afar kushambuliwa na kundi lenye silaha. Maafisa wa jimbo hilo Jumatatu wameripoti kwamba zaidi ya watu 200, wakiwemo watoto...
0 Reactions
1 Replies
980 Views
Two men were mourning the loss of their brother who had died in a train collision the week earlier. They were struck by a train in the same spot their brother was killed, the City of Charlotte...
1 Reactions
1 Replies
911 Views
Moto wa msituni unaendelea kuwaka katika Kisiwa cha Evia Nchini humo ikielezwa upepo mkali unapeleka moto huo kwenye Vijiji. Hadi sasa, watu zaidi ya 2,000 wamehamishwa kutoka Kisiwa hicho...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Hizbullah: Shambulio la Muqawama dhidi ya utawala wa Kizayuni ni jibu kwa uchokozi wake Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema: shambulio la maroketi lililofanywa jana asubuhi kulenga...
3 Reactions
27 Replies
4K Views
Back
Top Bottom