International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Ujumbe ndio huo German and British intelligence, Iran Haiwezekani Kushindwa Vitu sababu hata ushambulie vipi wanauwezo wa kuendelea kutengeneza Hypersonic Missiles...
6 Reactions
17 Replies
518 Views
Ni swali tu wakuu, Miaka 15 nyuma hili swali lilikuwa ni rahisi sana kulijibu maana Serikali ya Kikwete ingeenda upande wa Marekani maana mahusiano yetu na watu wa magharibi yalikuwa ni kama...
1 Reactions
0 Replies
120 Views
Wakuu, Nilikuwa nafuatilia huu mjadala wa Zambia na Zimbawe kukataa msaada wa Bilioni 1.7 kutoka Marekani Kama kuna kosa ambalo hizi nchi mbili wamezifanya katika kipindi hiki ni kukataa huo...
1 Reactions
6 Replies
270 Views
Mnamo tarehe 24 Februari kundi la mujaheddin El Khalq lenye asili ya watu wa KURDI lilivamia makazi ya Ayatollah Khamenei na kuyashambulia kwa risasi. Idadi ya wanamgambo hao walikua wasiopungua...
2 Reactions
11 Replies
318 Views
The "America First Global Health Strategy" has sent shockwaves across the African continent. While Washington frames these new bilateral agreements as a modern way to foster "self-reliance," many...
0 Reactions
0 Replies
207 Views
Msemaji wa kundi la waasi la M23 nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Willy Ngoma, ameuawa katika shambulizi la ndege zisizo na rubani mashariki mwa DRC siku ya Jumanne. Reuters...
5 Reactions
80 Replies
2K Views
Dima anasema alishuhudia askari mwenzake akiuawa kwa amri ya moja kwa moja ya kamanda wake. Dima anasema alishuhudia askari mwenzake akiuawa kwa amri ya moja kwa moja ya kamanda wake. Maelezo...
0 Reactions
3 Replies
231 Views
Zambia imekataa ufadhili wa zaidi ya dola bilioni 1 kutoka kwa utawala wa Marekani chini ya Donald Trump, na hivyo kuwa nchi ya hivi karibuni barani Afrika kufanya hivyo baada ya Zimbabwe...
0 Reactions
0 Replies
258 Views
Katibu wa Chama cha National Democratic Congress (NDC), Mambwe Zimba, anaripotiwa kukamatwa mjini Lusaka kufuatia chapisho la Facebook lililobadilishwa likimuonesha Rais Hakainde Hichilema akiwa...
2 Reactions
6 Replies
251 Views
Rais wa Marekani Donald Trump amekosolewa kwa sauti na kelele alipokuwa akitoa hotuba ya Hali ya Taifa. Wakati Warepublican wakimpa Trump shangwe za kusimama alipokuwa akizungumzia sera yake ya...
2 Reactions
7 Replies
319 Views
  • Redirect
Papa Leo XIV ataanza ziara ya siku 10 kwenye nchi nne za Afrika kuanzia tarehe 13 Aprili, ikiwa ni ziara yake ya kwanza kwenye bara hilo tangu awe Papa ambapo tatembelea Algeria, Cameroon, Angola...
0 Reactions
Replies
Views
Kuombaomba kumeridhiwa rasmi kuwa ni kosa la jinai katika United Arab Emirates, huku mamlaka zikionya kuwa atakayepatikana na hatia anaweza kukabiliwa na kifungo cha hadi miezi mitatu jela na...
1 Reactions
4 Replies
236 Views
Kufuatia mazungumzo yanayoendelea, Iran yaelekea kulegea na kutoa ushawishi wa kila aina, siyo tu Marekani isiishambulie, bali kujenga mahusiano mazuri ya kidiplomasia na kiuchumi. Kwenye tamko la...
3 Reactions
21 Replies
924 Views
The Government of Zimbabwe has with immediate effect suspended the export of all lithium concentrates and raw lithium minerals, extending the 2022 ban on unprocessed lithium ore. Major producers...
2 Reactions
4 Replies
298 Views
Poland imezungumzia tukio lililotokea usiku wa Septemba9-10, 2025 ambapo imedai Urusi ilirusha takriban Droni 20 kuingia katika anga ya Poland, baadhi zikitokea pia Belarus na kwamba tukio hilo...
1 Reactions
8 Replies
500 Views
Ubalozi wa Poland Nchini Tanzania umekutana na Wadau kadhaa kutazama filamu inayoonesha mfano wa matukio ambayo yamekuwa na athari kubwa kwa Jamii kutokana na vita inayoendelea kati ya Urusi na...
0 Reactions
1 Replies
271 Views
Huu mkataba hakuheshimu na kutishia kuuvunja ili awafurahishe Nato kilichomkuta na kinachoendelea kumkuta inapendeza Mkataba wa Kugawana Jeshi la Wanamaji la Bahari Nyeusi (Partition Treaty on the...
1 Reactions
10 Replies
319 Views
  • Redirect
The Government of Zimbabwe has with immediate effect suspended the export of all lithium concentrates and raw lithium minerals, extending the 2022 ban on unprocessed lithium ore. Major producers...
0 Reactions
Replies
Views
Maafisa wawili wa Marekani wamekiambia chombo cha habari cha Reuters, kuwa Jeshi la Marekani linajiandaa kwa uwezekano wa operesheni endelevu za wiki moja dhidi ya Iran ikiwa Rais Donald Trump...
6 Reactions
136 Replies
2K Views
Taarifa zinazotoka Kivu kaskazini,zinasema msemaji mkuu wa jeshi la M23 ameuawa katika shambulio la ndege zisizo na rubani. Inasemekana pia shambulio hilo,limemjeruhi kiongozi wa kundi hilo Gen...
2 Reactions
9 Replies
402 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…