International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Mpigania uhuru wa Angola Jonas M.Savimbi ,kesho siku ya jumamosi tarehe 1.6.2019 atafanyiwa mazishi rasmi ya kitaifa,baada ya kuzikwa bila kufuatwa kwa itifaki mara baada ya kuuliwa hapo tarehe...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Vikosi vya usalama vya Sudan vimewafyatulia risasi waandamanaji watatu, na kufyatua gesi ya kutoa machozi Alhamisi wakati umati wa waandamanaji lipuofurika katika mji mkuu wa Khartoum. Hali hiyo...
1 Reactions
0 Replies
855 Views
Serikali itayatambua Magenge ya Kihalifu ambayo yamekuwa yakihusishwa na utekaji nyara wa Wanafunzi kama Makundi ya Kigaidi, hatua inayotazamiwa kuimarisha Hali ya Usalama Ghasia zimekuwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Na Pili Mwinyi Mwanzoni mwa mwezi Disemba 2021 serikali ya Marekani ilitangaza kususia Michezo ya Olimpki ya Majira ya Baridi ya Beijing ya mwaka 2022, kwa kile walichodai kwamba wanapinga...
0 Reactions
3 Replies
782 Views
Ripoti mpya ya shirika la Umoja wa Mataifa la kukabiliana na dharura inasema zaidi ya watu milioni sita katika maeneo kame ya mashariki na kusini mwa Ethiopia watahitaji msaada wa kuyaokoa maisha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwanzoni mwa mwaka mpya, Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi ambaye pia ni mjumbe wa taifa wa China ametembelea nchi tatu za Afrika, ambazo ni Eritrea, Kenya na Comoro. Huu ni mwaka wa 32...
0 Reactions
2 Replies
690 Views
Marekani na Umoja wa Ulaya wameuonya utawala wa kijeshi nchini Sudan, kutofanya uamuzi wa upande mmoja juu ya uteuzi wa waziri mkuu mpya baada ya kiongozi wa kiraia Abdallah Hamdok kujiuzulu...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Serikali ya Marekani imeanza rasmi kutekeleza agizo la Rais Joe Biden la kuziondowa Ethiopia, Mali na Guinea kutoka makubaliano ya kibiashara kati ya taifa hilo na Afrika kutokana na uvunjwaji wa...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Mwaka 1958, mwaka mmoja baada ya kujipata uhuru, Ghana, nchi ya kwanza ya Afrika kusini mwa Sahara iliyoondokana na utawala wa kikoloni iliitisha mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika. Kwa watu...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Hong Kong imetangaza marufuku ya wiki mbili ya Ndege kutoka Nchi 8 zikiwemo Canada, Marekani, India na Ufaransa kutokana na hofu ya Wimbi la Tano la COVID19 katika Jiji hilo Mbali na marufuku...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Rais Ramaphosa amethibitisha kifo cha mshindi wa Nobel na miongoni mwa watu muhimu kumaliza ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini, Desmond Tutu katika umri wa miaka 90. Tutu aligundulika kuwa na...
10 Reactions
120 Replies
10K Views
Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi na mke wake Isaura Nyusi wamekutwa na virusi vya corona na wamejitenga kwa sasa. Kwa mujibu wa taarifa kutoka ofisi ya rais Bw. Nyusi na mke wake wameamua kujitenga...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Fikiria hii inatokea mjengoni Dodoma!
6 Reactions
11 Replies
1K Views
Wanaharakati Nchini humo wametangaza maandamano mapya, wakati hali ya Siasa Nchini humo ikiendelea kudorora baada ya Waziri Mkuu, Abdalla Hamdok kujiuzulu. Waongozaji wa Kampeni dhidi ya Utawala...
0 Reactions
1 Replies
881 Views
Mwanamke mjamzito nchini Israel ambaye hakupata chanjo ya corona amegundulika kuwa na mchanganyo wa mafua(flu) na corona ambayo yanaitwa 'Flurona' Mchanganyo wa magonjwa hayo umetajwa kuwa hatari...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Watu wenye umri wa kuanzia miaka 60 wameanza kupewa 'booster' ya pili ambayo inafanya iwe chanjo ya nne ya #COVID19 Misululu ya watu imeonekana katika Vituo vya Afya mjini Tel Aviv ili kupata...
1 Reactions
1 Replies
886 Views
Taliban imesema Wanawake wanaotaka kusafiri umbali mrefu (zaidi ya Kilomita 72) wasipewe usafiri barabarani isipokuwa wakiwa wamesindikizwa na ndugu wa kiume wa karibu Mwongozo huo wa Serikali...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
The daughter of Archbishop Desmond Tutu, the South Africa Nobel peace prize winner, left the priesthood in the South African Anglican Church after wedding her female partner back in 2016. Mpho...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Tovuti ya Citizen News imetangaza kufunga shughuli zake kuanzia Januari 04, ikitaja kuzorota kwa mazingira ya Vyombo vya Habari kama sababu. Hatua hiyo imekuja baada ya Polisi kuvamia Kituo cha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Brits protested the decision to knight Tony Blair, accusing the former prime minister of being a war criminal Tony Blair, Former Prime Minister, speaks at the Milken Institute 21st Global...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…