Mpigania uhuru wa Angola Jonas M.Savimbi ,kesho siku ya jumamosi tarehe 1.6.2019 atafanyiwa mazishi rasmi ya kitaifa,baada ya kuzikwa bila kufuatwa kwa itifaki mara baada ya kuuliwa hapo tarehe 22.feb.2002,mazishi hayo yatafanyika kwenye kijiji cha Lopitanga(central Angola),wengi tutamkumbuka kwa ujasiri wake na wengine watamkumbuka kama mwasi ila jina hili la Black cockerel halikuwa la kupewa tu ,alistahili kuwa na jina kama hili.kwa manufaa zaidi jisomee kitabu kinachoelezea maisha yake kinachoitwa Jonas Savimbi A key to Africa by Fred Brigland.