International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Serikali ya Marekani, kupitia Idara ya Hazina (OFAC), imetangaza vikwazo vikali dhidi ya Jeshi la Ulinzi la Rwanda (RDF) pamoja na maafisa wake wakuu wanne. Hatua hii imekuja baada ya Rwanda...
1 Reactions
5 Replies
455 Views
  • Featured
Kiongozi Mkuu wa Iran ameuwawa katika mashambulizi ya Israel na Marekani, vyombo vya habari vya serikali ya Iran vimesema. Serikali ya Iran imetangaza siku 40 za msiba wa taifa baada ya kifo cha...
20 Reactions
234 Replies
6K Views
Now that Iran Supreme leader and arch enemy of Israel is gone. Attention is said to be turning toward what is considered the remaining major adversary — Tayyip Erdoğan — and plans are allegedly...
4 Reactions
17 Replies
347 Views
Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei amejitokeza hadharani kwa mara ya kwanza tangu kuanza kwa mzozo wa Iran na Israel, kwa mujibu wa vyombo vya habari vya serikali. Picha za runinga ya...
3 Reactions
20 Replies
798 Views
Ripoti za kituo cha televisheni cha Israeli Channel 12 zimeripoti kuwa kuna takwimu zinazoongezeka kwamba Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, anaweza kuwa ameshapoteza uhai baada ya...
6 Reactions
367 Replies
8K Views
Ubalozi wa Marekani katika mji mkuu wa Saudi Arabia, Riyadh, umeshambuliwa na ndege mbili zisizo na rubani na kusababisha moto mdogo katika eneo la makazi ya kidiplomasia, kwa mujibu wa Wizara ya...
0 Reactions
0 Replies
239 Views
Ubalozi wa Marekani mjini Riyadh, mji mkuu wa Saudi Arabia, umeshambuliwa kwa ndege mbili zisizo na rubani (drones) na kusababisha moto mdogo kuzuka katika eneo hilo la kidiplomasia, Wizara ya...
0 Reactions
0 Replies
225 Views
MAANDALIZI YA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA EAC YAANZA JIJINI ARUSHA Mkutano Maalumu wa 59 wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) umeanza katika Makao Makuu ya Jumuiya jijini...
0 Reactions
1 Replies
163 Views
Ni ngumu kuamini kiongozi anaejisifu ana jeshi bora kauawa ndani ya sekunde 60 katika mashambuliz ya ufunguzi.
0 Reactions
6 Replies
259 Views
Nilivyokua nawaambia muajemi sio muarabu muwe mnaelewa, Toka jumamosi nilichagua kukaa kimya maana nilijua kabisa kuwa time will Tell. Mmejionea wenyewe ubabe Wa Iran Jamaa wanapiga kila mahali...
9 Reactions
22 Replies
575 Views
Vita ya mwaka jana, siku ta 12 Trump alipopata taarifa Israel inaenda kumtandika Ayatollah, alinyanyua simu na kumbembeleza Netanyahu wageuze ndege vitaa iishe. Muda huo taari Israel walikuwa na...
1 Reactions
4 Replies
264 Views
Miaka mingi tumekuwa tukiaminishwa 1. Russia wapo vizuri sana ni Taifa la kutisha sana. Tumeona washirika wake wote wakitendewa uhanithi. 1. Assad 2. Maduro...
18 Reactions
43 Replies
1K Views
IRAN YAKATAA MEZA YA MAZUNGUMZO MARA TATU JE, TEHRAN INATAKA VITA KWANZA? Kuna taarifa nzito zinazozunguka diplomatic corridors. Kwa mujibu wa msomi na mchambuzi wa siasa za Mashariki ya Kati...
2 Reactions
3 Replies
233 Views
https://www.instagram.com/p/DT1qUyRjYLd/?igsh=a3B6dmEwaXRoaDJ5
1 Reactions
76 Replies
2K Views
Katika pita pita zangu kwenye viunga vya mitandao ya kijamii Twitter, JF, Instagram n.k. kuna namna kifo cha Mzee wetu Khamenei kimewachanganya akili vibaya mno, hasa wale wenzangu wa imani...
1 Reactions
9 Replies
178 Views
Ahmedinajad ni nzima wa afya Kuna propaganda humu kuwa eti aliuliwa Uzushi umekua mwingi sana humu Netanyahu yuko wapi?Kuna tetesi kuwa ameangamizwa na makombora ya Iran yeye na Cabinet yake
0 Reactions
3 Replies
305 Views
https://www.youtube.com/watch?v=cbU3WIXJBw8 Ndege za kivita za B-2 Stealth ziko tayari kwa operesheni ya Midnight Hammer Kamanda yupo Live Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) inafanya...
3 Reactions
42 Replies
1K Views
UAE na Qatar zinashawishi washirika kusaidia kumshawishi Trump 'kufikia njia ya mkato ambayo itawezesha operesheni za kijeshi za Marekani dhidi ya Iran ziwe fupi', kulingana na ripoti ya...
2 Reactions
0 Replies
229 Views
Imethibitishwa kuwa raisi wa Iran alikuwa ndani ya helicopter hiyo iliyopata ajali. Vikosi vya uokoaji vimeshindwa kutambua na kufika neo husika ilipotokea ajali hiyo kwa sababu ya hali mbaya ya...
30 Reactions
1K Replies
106K Views
Kuuawa kwa kiongozi wa dini ya kiislamu pale Tehran-Iran, Grand Ayatollah Seyyed Imam AIi Hosseini Khamenei, kumeamsha hasira, chuki na uhasama usiomithilika na wenye sura mpya ya kidini ambayo...
6 Reactions
39 Replies
513 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…