International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Afisa wa nishati wa Qatar kaonya kuwa si Qatar wala nchi nyingine yoyote ina uwezo wa kufidia uhitaji wa gesi ya Russia huko Ukaya. Taarifa zasema bei ya gesi ktk nchi za Ulaya imeongezeka kwa...
7 Reactions
35 Replies
4K Views
Kwanza kabisa tukubali kuwa Urusi ni mwamba. Pia tukubali kuwa ni kweli hii ni operation maalumu kama Wanavyoiita wao Urusi. Ni kweli lengo la Urusi ni kuiodhiofisha kijeshi Ukraine na ni kweli...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Shirika la haki za binadamu la Human Rights Watch limeitolea wito serikali ya Ukraine kuanzisha uchunguzi juu ya kile kinachoweza kuwa uhalifu wa kivita, baada ya kuibuka mkanda wa vidio...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ujerumani yawa nchi ya mwanzo Ulaya kuanza kuhaha kukosa gesi ya Urusi baada ya nchi hiyo kukataa kulipia gesi kwa sarafu ya Rouble ya Urusi badala ya dola ya Marekani. Hayo yamesemwa na waziri...
13 Reactions
92 Replies
6K Views
Ijumaa iliyopita Biden alitangaza kuziuzia nchi za Ulaya (EU) gesi iliyo katika hali ya kimiminika (Liquefied natural gas, LNG) kiasi cha mita za ujazo bilioni 15 ili kupunguza utegemezi wa nchi...
11 Reactions
26 Replies
2K Views
Rais Vladmir Putin alihutubia taifa lake na kutishia kusitisha mikataba ya kusambaza barani Ulaya theluthi moja ya gesi ya Urusi kama hawatalipwa katika sarafu ya kirusi. Amesema amri hiyo inaanza...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Umoja huu wa nchi za kiarabu hawasulihishi mgogoro Syria na Syria?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
North korea ndio nchi iliyotengwa na dunia kwa kipindi kirefu huku kutengwa kwao kukiongezeka zaidi ktk miaka hii ya karibuni je wanapata wapi fedha za kuendesha serikali na project zao za...
33 Reactions
111 Replies
19K Views
Hapa yapo maelezo ya kina kuhusu utaratibu wa Nchi zilizoiwekea vikwazo Urusi kununua gesi kwa Rouble!! Kama Kuna atakayejitolea kutafsiri kwa kiswahili itapendeza Sana Ili watu wote wajue...
6 Reactions
7 Replies
2K Views
Siandiki kishabiki napima na sikurupuki, PM zimeanza Kujaa kwa kifupi Urusi Nina Mke , Yaan mama yenu ni Mrusi Irina KOMOVA na mpaka jana ndo nimelazimika kumtoa huko ili hali inayoendelea ya...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Urusi imefikia hatua za kuomba usaidizi wa wastaafu maana hali imekua balaa, Ukraine japo kataifa kadogo lakini kamehimili na kupangua mapigo yote, na kama kawaida kwa vita vya muda mrefu huhitaji...
2 Reactions
9 Replies
999 Views
by IMF Warns Russia Sanctions Threaten to Undermine US Dollar Dominance New Currency Blocs May Emerge Amid Mounting Restrictions on Russia, IMF Says Russia’s decision to invade Ukraine has been...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Africans should think about the real reasons why western countries are waging war on Libya, writes Jean-Paul Pougala, in an analysis that traces the country's role in shaping the African Union and...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Vikwazo vya Magharibi kwa Urusi na Belarus vinaweza kusukuma Nigeria kuagiza silaha za China zinazoweza kufikiwa zaidi na za bei nafuu Uvamizi wa Februari 24 wa Ukraini uliofanywa na Urusi...
2 Reactions
1 Replies
955 Views
U.S. Air Force successfully shoots multiple air-launched missiles in laser weapon test Published 09:06 (GMT+0000) May 4, 2019 The Air Force Research Laboratory has announced successfully...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Ni wakati sasa Afrika ichangamkie mafuta na gesi ,mgogoro ukiisha ukrain watakuwa na stock yakutosha Akiba ya mafuta Marekani iliyofichwa kwenye mapango ya chini CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES...
0 Reactions
3 Replies
595 Views
IRGC Officials: Iran Missiles Can Destroy Israel’s ‘Fake Regime’ In 24 Hours Maryam Sinaiee A British-Iranian journalist, political analyst and former correspondent of The National and...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Kazi IPO. Mzee Putin kakabwa Koo ndani ya Ukraine, Sasa anaomba msaada wa watu wanaotaka kujitolea kwenda kupigana nchini Ukraine. Russian President Vladimir Putin has called for foreign...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Hali imekua ngumu, Ukraine waligeuza kibao na kuanza kuwasukuma Warusi, hao Warusi walijaribu kubembeleza Belarus waingie kwenye vita ikashindikana, sasa wameanza janja za kupiga mabomu ndani ya...
2 Reactions
5 Replies
937 Views
Vikosi vya Ukraine vinasema kuwa kuondolewa kwa sehemu ya vikosi vya Urusi kutoka kaskazini mwa Kyiv kuelekea mpaka na Belarus kunaendelea. Haya ndiyo mengine ilisema katika matoleo yake ya kila...
0 Reactions
7 Replies
960 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…