International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Vikwazo walivyoweka EU kwa kulazimishwa na Marekani,huenda vikawaletea madhara makubwa EU kiuchumi. Iwapo russia itasitisha upelekaji wa gas ulaya,makampuni mengi makubwa yatafungwa na watu wengi...
7 Reactions
20 Replies
1K Views
Historia ya vita haioneshi kwamba ni lazima mwenye nguvu ashinde. Vipo vita vingi viliwahi kutokea ambapo mataifa yaliyoonekana dhaifu yaliibuka washindi. Franco Prusian War ya 1870-1871 kati ya...
0 Reactions
0 Replies
664 Views
Kulingana na ripoti mpya ya kushtua kutoka kwa viongozi watatu wa #BlackLivesMatter, Patrisse Cullors, Alicia Garza na Melina Abdullah walirekodi video msimu uliopita wa joto, Katika video hiyo...
0 Reactions
3 Replies
708 Views
Mwanamume anayeshutumiwa kwa kuongoza wanamgambo wanaoogopwa na serikali ya Sudan wanaojulikana kama "Janjaweed" akanusha mashtaka kadhaa ya uhalifu wa kivita mwanzoni mwa kesi ya kwanza ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna pande mbili kuu katika mzozo huu moja ikipata upendeleo zaidi na vyombo vya habari duniani(social media warfare) huku nyingine ikiichwa mbali. Vladimir Putin ameivamia Taifa huru jambo...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
Tumeshuhudia Urusi ikiivamia Ukraine kijeshi , uvamizi huu ulikuwa na lengo la kuiweka Ukraine chini ya himaya ya Urusi ikiwa ni pamoja na kusimika utawala mpya ( Full scale millitary invasion)...
25 Reactions
62 Replies
5K Views
ExxonMobil kampuni ya kuzalisha oil and gas imesema leo kwamba faida yao ya robo mwaka itaongezeka kwa zaidi ya dola bilioni 2 kutoka na kupanda kwa bei za oil and gas. ExxonMobil ni kampuni ya...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Hamjamboni nyote? Rais Kagame amefanya ziara nchini Zambia na kukaribishwa na mwenyeji wake Rais Hichilema Amezuru maeneo maarufu ya utalii nchini humo yaliyopo kwenye maporomoko ya Victoria
1 Reactions
4 Replies
671 Views
Habari ndugu wana JF Kama inavyoonekana katika vyombo vya habari kwa muda mrefu sasa kumekuwa na mgogoro kati ya Urusi na Ukraine. Mgogoro huu chanzo chake kikubwa ni dhamira ya UKRAINE Kujiunga...
5 Reactions
22 Replies
3K Views
Huu ni mtazamo huru nasita kuuita unabii maana neno hilo lina maana kubwa zaidi. Kwa wakati huu, vita kubwa kama hii inavyoendelea kutanuka na kubadili mitazamo ya kimataifa ya kimahusiano...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Viongozi hao wawili walifikia makubaliano ya kuunganisha muundo wa kamandi ya jeshi baada ya wiki kadhaa za mzozo kati ya pande hizo mbili. Vikosi vya Kiir na Machar vilitia saini makubaliano ya...
0 Reactions
1 Replies
656 Views
Taratibu maji na mafuta vimeanza kujitenga.. Hii ni baada ya Slovakia kukubali rasmi kufanya malipo ya gesi kwa mfumo wa rubble kama Russia inavyotaka iwe.. wamesema hawawezi kumpoteza Russia...
6 Reactions
94 Replies
8K Views
Gavana, Viacheslav Chaus, alitumia programu ya kutuma ujumbe ya Telegram kukashifu ahadi ya Urusi. "Urusi yaanzisha mashambulizi mapya baada ya ahadi ya amani, Tunaamini ndani yake? Bila shaka...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Rais Hakainde Hichilema wa Zambia mwezi wa 8 sasa hajawahi kupokea mshahara. Kwake wazambia kwanza: Kwetu si mishahara yao na posho tu zilizo nona haswa, bali sisi kukamuliwa kweli kweli. "Kwetu...
3 Reactions
44 Replies
3K Views
Urusi imesema kuwa inaweza kusitisha operesheni "wakati wowote" ikiwa Ukraine itatimiza masharti ya Urusi. Msemaji wa Kremlin Dmitry Peskov amesema Ukraine lazima itambue Crimea kama Urusi, na...
9 Reactions
68 Replies
7K Views
Nchi mpya inaweza kuundwa ndani ya shirikisho la nchi za Afrika mashariki. Shirikisho la Afrika Mashariki, ni muungano unaopendekezwa wa nchi sita wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kuwa...
4 Reactions
18 Replies
44K Views
Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi amekanusha tena “dai la mtego wa madeni” kuhusu ushirikiano kati ya China na Afrika alipokuwa ziarani nchini Kenya hivi majuzi. Alisisitiza kuwa China...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Hizi ni zama za mitambo tu, hatuchekani kabisa hapo, Duh!
0 Reactions
2 Replies
762 Views
Rais wa Urusi Vladimir Putin mnamo Jumatatu, Aprili 4, alitia saini amri juu ya hatua za kulipiza visasi kwa nchi zisizo rafiki. Hati hiyo ilichapishwa kwenye tovuti rasmi ya mtandao ya habari za...
2 Reactions
11 Replies
991 Views
Wakuu. Hebu leo tuongelee kuhusu mambo ya vita. Tunaona kwamba maendeleo ya mwanadamu katika muktadha wa teknolojia yana faida na hasara. Lakini kuna hasara kubwa sana kwenye upande wa vita na...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Back
Top Bottom