Rais wa Ukraine Zelenskyy “Marekani Imeniomba Msaada Dhidi ya Drones za Iran”
Rais wa Ukraine Zelenskyy “Marekani Imeniomba Msaada Dhidi ya Drones za Iran”
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy...
Afisa mmoja mwandamizi wa serikali ya Israel amesema kampeni ya kijeshi ya pamoja ya United States na Israel dhidi ya Iran inaendelea vizuri zaidi kuliko ilivyotarajiwa.
“Hakuna aliyedhani...
Botswana is planning to increase mining exploration as the country seeks to diversify its economy beyond diamonds.
Diamonds currently account for about 80% of Botswana’s foreign exchange earnings...
Iran has launched an aerial strike involving drones and missiles that hit Saudi Arabia’s major Saudi Aramco oil refinery and export hub at Ras Tanura on the Gulf coast, forcing the facility to...
"We are now in fully control to the Sky of Telaviv"Hii ni kauli ya viongozi wa Iran leo, ni baada ya Israel nao kutamba eti wanadhibiti anga la mjini Tehran
Iran shells #Israel with Fattah 2...
Kumekuwa na mjadala mkubwa nchini United States kufuatia wito wa kupitishwa kwa sheria mpya inayojulikana kama “Save America Act.” Sheria hii inapendekezwa na Rais wa zamani wa Marekani Donald...
Marekani na Israeli zimeanzisha vita dhidi ya Iran zikipuuza sheria za kimataifa. Ingawa bara la Afrika liko mbali na uwanja wa vita katika Ghuba ya Uajemi, lakini kutokana na utandawazi wa uchumi...
Waziri wa Usalama wa Ndani, Kristi Noem, alikabiliwa na msururu wa madai ya utovu wa nidhamu mbele ya Kamati ya Sheria ya Bunge siku ya Jumatano. Madai hayo yalijumuisha masuala kuhusu mipango...
Kinachofanywa na Iran ni totaly utoto, wana kila sababu ya kurusha makombola Israel lakini wrong strategy kushambulia mataifa ya Kiarabu ambao ndio majirani zake.
Marekani sasa inapata uhalali wa...
Hakuna free lunch hapa duniani.
Lakini afadhali kusaidiwa na mtu wa mbali unajua kabisa atachukua sehemu flani ya rasilimali kisha awaache muendelee na maisha mengine kwa uhuru kuliko kuongozwa...
Fuel prices are climbing across Africa as escalating conflict involving the United States, Israel, and Iran adds pressure to global oil markets, analysts say. Crude prices have jumped in recent...
https://youtu.be/OGPcWKBWiz0?si=LN83QgAZlt2Zufl6
Kama nilivyokuwa nahisi, kazi ya ujasusi dhidi ya Ayatollah ilifanywa na CIA ya USA.
CIA kumbe walikuwa wanamfuatilia kwa kipindi kirefu tu ili...
Kama Iran na washirika wake wanaamini Trump ni zao la Putin, kwa nini pia wasiamini kwamba Trump analinda masilahi ya Putin kwa kuwapiga Iran?
Siku zote kobazi wamekuwa wakiamini, uchaguzi mkuu...
Waziri wa Ulinzi wa Israel, Israel Katz, ametoa onyo kali akitangaza kuwa jeshi la nchi hiyo litachukua hatua za kumuua kiongozi yeyote wa Iran atakayeteuliwa kuwa mrithi wa Ayatollah Ali...
Ukitazama vita vya Urusi na Ukraine namna vilivyoanza na sasa hali ni tofauti kabisa unaweza hisi labda Ukraine hakuna vita.
Ukija vita vya Gaza navyo vilianza kwa msisimko mkali baadae vikapoa...
Naam
Ni mengi yamejiri juu yako na heshima yako imeshushwa! Umetafutwa ugomvi kwa muda mrefu ili kobe atoe shingo, umefedheheshwa Iran na hata ile mipango yako ya Nyuklia imekuwa ikidhibitiwa ili...
Salaam
Nyakati hizi ni mengi yanazungumzwa na kuandikwa kuhusu yanayo endelea Iran na Marekani ila tufikiri nje ya box kidogo kuhusu Iran.
Inatambulika Taifa lenye nguvu duniani ni Marekani...