Waoneeni size yenu Chadema
Huko mnakokwenda sio
Hivi mnajua nguvu ya FBI na CIA, hao sio TISS inayotumwa na Mafweli na kuendeshwa na Abduli
Yaani Mwanajeshi kutoka USAF umkamate Tanzania Rorya...
Hivi kweli walidhani watazika watu na makaburi yasije kufukuliwa?
Hao watu wote mliowazika watafukuliwa na kuzikwa kwa heshima kwenye makaburi ya mashujaa, na hiyo ndio itakua alama yenu chafu...
Si kila baada ya dili kutiki watu hukutana na kujipongeza kama bingwa wa ligi anavyosherehekea na ashabiki wake baada ya msimu kuisha,
Sasa inashangaza kuona hali ikiwa kimya hadi sasa...
Kama ikulu yetu hutoa salam za pole kwa wananchi wake wanapokufa au kupoteza mali, je hupima uzito huo kwa kigezo gani?
Je, Misiba iliyotokana na uchaguzi huu inaweza kustahili pole au misaada...
Mjumbe wa CCM Halmashauru kuu ya taifa NEC ambaye pia ni Mbunge wa Bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania kupitia Jimbo la Malindi Hassan Ussi
Akizungumza na waandishi wa habari kwenye ofisi...
Kanisa Katoliki Nchini, kupitia kwa Rais wa TEC Askofu Wolfgang Pisa limetoa tafakuri ya pamoja ya Maaskofu wa Kanisa hilo, kufuatia tafakari na sala walizofanya kwa takribani siku nne (4) kuanzia...
Jamaa kaona ya nini tena baada ya kukaa mahabusu kwa siku kadhaa kaona siasa ngumu kaamua akiche siasa
=============
Katibu wa Itikadi Siasa na Uenezi wa Chama Cha ACT - Wazalendo Mkoa wa Njombe...
Sasa kama nimechoma Vituo vya mafuta na kuharibu Mali za watu je nahitaji kupigwa risasi au kufunguliwa mashtaka
Je sheria inaruhusu mtu asiyekua na silaha kupigwa risasi?
Je sheria inaruhusu...
Jamani njooni msikilize Bashiru!
Kwa mimi nilivyomuelewa kwamba CHADEMA ndio mbabe wao ndio maana CCM imeshinda kwa kishindo!. Ila kajisahau kwamba uchaguzi uliharibika sana! hizo kura za...
Nimetoka Ukonga kumuona Mwenyekiti, Yuko imara na anawasalimia wote.
Anatoa pole kwa Watanzania wote waliopoteza maisha, familia ndugu na marafiki.
Anatambua watu waliopoteza viungo na kubaki na...
Huyu kijana yupo kwenye ile video ya Mwananyamala ambayo wanasema sio video ya hapa Tanzania. Mwanamitandao Muna Love aliwahi kumpost kwenye ukurasa wake wa Instagram kuwa kijana huyo anatafutwa...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Nimeanza kuwa na huruma sasa na huyu mama
Kwanza huko YouTube upande wa viewers anatia huruma
Pili hakuna ambaye anamsikikiza tena kila mtu...
Bila Salamu.,
Nilitaka kuandika hili kama comment katika Uzi Fulani days ago but sikufanya hivyo Sababu niliogopa kwamba kwa kufanya hivyo nitaogopesha watu wanaotuma picha na videos,pili...
Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025 uliibua hisia tofauti kwa Watanzania. Wapo waliouona kama hatua ya kidemokrasia, lakini pia wapo waliobaki na maswali kuhusu mwenendo wake. Pamoja na hayo...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA AFYA
Wizara ya Afya imeona picha ya video inayoonesha miili ya watu ikiwa imewekwa pamoja na kuelezwa kwamba hapo ni Hospitali ya Mwananyamala, Dar es...
Hakuna amani bila haki, au huria kidogo! Haki na amani ni kama viungo viwili muhimu vinavyofanya jamii kuwa na usawa na utulivu.
Katika kipindi cha Mtume Muhammad (s.a.w.), Uislamu ulipigania...
CHAMA cha Madereva wa Bodaboda na Bajaji Mkoa wa Tanga (UWAPIBATA)kimewapiga marufuku wanachama wake kutoshiriki au kujihusisha na maandamano yanayotajwa kufanyika Desemba 9.
Akitoa tamko la...
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika lisilo la Kiserikali linalo shughulikia watu wenye ulemavu la Disability Hope Maiko Salali (FDH)amepongeza hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt...
Akauliwa kikatili mbele ya mwanae, mbele ya kamera dunia nzima ikaona
Halafu kuna mpuuzi mmoja anasemaje vile? Eti nimewasamehe? Anazungumzia kunyoosha mkono wa manini vile? Hivo tu kirahisi...
Katika historia ya Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi ameonesha uongozi wa mfano unaozingatia maadili, maendeleo na mshikamano wa wananchi. Kwa msingi huo, sina shaka kusema kuwa yeye ni mmoja wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.