Naona sauti tunazopaza zinafikia wahusika, licha ya wengine kuweka 'pamba' masikioni na kuacha kusikia ushauri ambao pengine unaweza kuongeza tija kwenye mambo mbalimbali ambayo yemekuwa...
Wakuu
kumekuwepo na mijadala mingi humu ya mivutano baina ya wanaokubali uwepo wa Mungu na wasioamini uwepo huo
Mungu mala zote ni mtenda miujiza,na amekuwa akifanya hivyo mala zote kwa waja...
Jamani nawasalimia wote kwa kila mtu Na imani yake.
Kule jijini Mwanza kumeibuka mwanamama mmoja anajiita Mfalme Zumaridi na ana kanisa au sijui niseme nini, maeneo ya Nyegezi.
Yeye haamini ktk...
Moja kati ya maeneo muhimu sana kuishi na kufanya biashara ya mazao (Mahindi, Ulezi, Maharagwe,.....) hapa Tanzania ni Tunduma border. Kwa siku kadhaa nilizoishi hapa Tunduma nmegundua vitu...
Angekuwepo mwendazake ile bandari ya kwala ingekua inatumika na foleni Dar es salaam ingekua story, najiuliza Kama huyo mbunge kuna nini? Mbona haianzi kazi? Kwa akili zenu za mafuta lita pound...
Mama unachokihubiri na unachokiishi ni vitu viwili tofauti wewe kama Waziri mwenye dhamana ya maendeleo ya jamii umechukua hatua gani :
Kabla ya kutuhubiria
Neno hilo lingeanza kukusaidia wewe...
TAMISEMI tunaomba msaada maana mfumo mnaubana mpaka mmepitiliza. Imefikia hatua nataka kutengeneza leseni mpya na sina leseni kwenye huo mkoa, lakini mfumo unanikatalia unataka niombe kama branch...
Kama huna habari, wanasayansi wamekuwa wakichunguza mwenendo wa ulimwengu (universe), na matokeo ya tafiti zao yamefichua jambo la kushangaza: ulimwengu hauko tuli, bali unapanuka kwa kasi kubwa...
Kama mada inavyojieleza
Kamanda mmoja wa polisi amesema ni marufuku kukohoa pale unapopishana au unapomwona mdada/mwanamke mwenye makalio makubwa
Kamanda huyo amesisitiza kwamba kukohoa huko...
Kila Kitengo pale TRA kinatakiwa kuwa na customer care yake kama haiwezekani hivyo basi wagawe majukumu hata kidogo, wasiwe general tu or else wapewe authority ya kila kitu kwenye this new system...
Wakati mkutano wa tatu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiendelea, leo Aprili 10, 2026 pamoja na mambo mengine, Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Omar atawasilisha ripoti kuu sita za...
Leo naomba tushuke kwenye majukwaa yetu ya usomi na falsafa za akina Socrates, tuingie kwenye hesabu halisi za maisha. Kuna utapeli wa kisaikolojia ambao tumekuwa tukiimba kila siku: "Pesa haileti...
Habarini wakuu
Leo nimeona nikumbuke matukio niliyoyashuhudia ambayo yananiweka mdomo wazi na sijui nilikuwa nawaza nini(nitabase zaid upande wa kiroho)
Kwanza kabisa mimi ni aina ile ya watu...
Mimi ni mkazi wa Viziwa Ziwa Shule, Serikali ya Mtaa Viziwa Ziwa, Kibaha mkoa wa Pwani. Nina malalamiko kwa Serikali kuhusiana na mradi wa urasimishaji ardhi wa Halmashauri ya Kibaha mkoa wa...
Wakuu nina maswali kuhusu Bima ya Afya na ningeomba haya maswali yajibiwe na wahusika.
Swali la kwanza:
Kwanini mgonjwa akitibiwa anatakiwa kukaa Wiki 2 au Mwezi ndio aende kutibiwa tena?
Yaan...