Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Na tusisahau kuwa Maisha yetu Waandamanaji Masikini (nami nikiwemo) yanategemea sana kutoka Kwetu kila Siku ili kwenda kujitafutia. Najua kwa Hasira zetu za Kimihemko hamtanielewa na mtakuja...
1 Reactions
16 Replies
455 Views
Salam Aleykum, Tuwe Pole sote kwa matatizo na misiba Iliyotukuta baina ya 29 october na 3 Nov. Moja kwa Moja kwenye Mada.. Nchi Yetu kabla na baada ya maandamano kuna uzanzibari na utanganyika...
4 Reactions
18 Replies
413 Views
Baada ya matokeo kutangazwa, tofauti na ilivyozoeleka walioshinda huwa, wanasherehekea ushindi wao, tena wa 97.6% katika historia ya nchi yetu ni ushindi mkubwa kuwahi kutokea tangu tuanze kupiga...
0 Reactions
5 Replies
319 Views
Wew si ndie ulikuwa waziri wa mambo ya ndani, uliekua na dhamana juu ya ulinzi wa wananchi na utendaji kazi wa vyombo vya usalama nchini?? Sasa najua unajua mengi kuliko MTanganyika yeyote yule...
0 Reactions
7 Replies
315 Views
Kupitia mitandao ya kijamii Joseph Mbilinyi (Sugu) amewatoa wananchi wasiwasi kuwa sio yeye aliyeonekana kwenye video katika kilichotafsiriwa kama jaribio la utekaji: "Taarifa: Poleni sana kwa...
3 Reactions
12 Replies
661 Views
Baada ya kutokea kwa vurugu zilizopelekea vifo na uharibifu wa mali katika mikoa mbalimbali nchini siku ya Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wabunge na Rais, Oktoba 29 mwaka huu, umoja wa Madereva wa...
0 Reactions
10 Replies
418 Views
Ukiangalia mkeka vizuri utagundua Mawaziri wengi wamewekwa wizarani bila kuwa na CV zinazotosha kwenye wizara hizo. Wizara ya Afya anapewa Mchengerwa wakati hana background nzuri ya mambo ya...
0 Reactions
5 Replies
229 Views
Sio kukubali hawa wahuni kuwa matendo yao yanaweza kuwa makubaliano kuwa sisi ni wapole na wapenda amani. Watu wamekufa vifo vibaya sana tena kama vina amri toka juu. Kuna mtu alipigwa risasi...
0 Reactions
2 Replies
276 Views
Kwa hiyo tume inachunguza nini wakati vitu viko hadharani? Yaani unachunguza nini wakati vitu vinaonekana? Tanzania tumekuwa tukipumbazwaara nyingi na hizi tume ambazo huwa zinaibuliwa mara baada...
2 Reactions
3 Replies
160 Views
BBC News official channel yao wamepost leo kwamba clips zilizopo mtandaoni ni za kweli na ukatili (uhaini) dhidi ya watanzania ulifanyika. Video iliyorekodiwa nchini Tanzania imeibuka ikionyesha...
8 Reactions
24 Replies
874 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert John Chalamila, amefanya ukaguzi maalum katika eneo la Mbagala ili kujionea uharibifu uliotokea kufuatia tukio la maandamano lililotokea tarehe 29...
2 Reactions
16 Replies
639 Views
Warning: kwa yule yeyote ataekwazika kwa uzi huu naomba tusamehane sijaandika kwa ajili ya kukashifu au kusema baya kwa yeyote na wote mliofiwa na ndugu zenu mungu awape faraja kwenye hichi...
6 Reactions
103 Replies
3K Views
Watu mbalimbali wamekuwa wakijiuliza, ni kwa nini baadhi ya mawaziri maarufu na waliotarajiwa wamewekwa pembeni katika uteuzi wa Baraza jipya la Mawaziri? Je, ni kushindwa kutimiza majukumu yao...
0 Reactions
9 Replies
539 Views
Wakuu Naona projects za kusafishana zinaendelea. Huyu anayejiita Ostadh Juma na Musoma amajitokeza hadharani na kumsifia Kamanda Mafwele kuwa ni mtu poa sana na wanaomcukia watakuwa ni majambazi...
0 Reactions
15 Replies
574 Views
Mkuu wa wilaya ya Temeke Sixtus Mapunda leo Novemba 18, 2025 Mara baada ya ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert John Chalamila ametoa dukuduku la wakazi wa Temeke juu ya kukosekana kwa...
0 Reactions
1 Replies
209 Views
" Nina imani kubwa sana na bunge la sasa hivi jinsi lilivyo. Ni bunge la Chama cha Mapinduzi"- amesema mwananchi Huyu ni mwananchi tena mtu mzima aliyeshuhudia vipindi vingi vya uongozi hapa...
1 Reactions
9 Replies
291 Views
Chama cha Wamiliki na Waendesha Bajaji na Bodaboda mkoani Kilimanjaro kinawataka waendesha vyombo hivyo vya usafiri kutokujihusisha kwa namna yoyote na matukio ya vurugu au uvunjifu wa amani...
1 Reactions
5 Replies
321 Views
"Wanasema baadhi yao kwamba itakuaje mpiganie amani wakati nhi hakuna haki, wanasema hivyo lakini sisi tunasema nchi hii ipo haki kwa sababu taasisi zinazosimamia haki za watu zipo zote mahakama...
1 Reactions
11 Replies
321 Views
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) kupitia kwa Rais wa TEC Askofu Wolfgang Pisa limetoa tafakuri ya pamoja ya Maaskofu wa Kanisa hilo, kufuatia tafakari na sala walizofanya kwa takribani...
4 Reactions
5 Replies
311 Views
Sheikh Mkuu wa mkoa wa Tabora, Ibrahimu Mavumbi amewataka Waumini wa dini ya kiislamu mkoani Tabora kufuata maelekezo ya serikali na viongozi wa dini kuhusu kuilinda amani ya Taifa. Sheikh...
1 Reactions
10 Replies
334 Views
Back
Top Bottom