Habarini wana jamvi
Leo nilikua eneo la kibaigwa kwenye mihangaiko ya maisha, nikapata nafasi kujua bei za mazao pale kama mchuuzi. Baadhi ya wachuuzi wamesema bei ya mbaazi imeshuka toka 2500...
Nafanya tafiti binafsi naomba kufahamu kwa majina waliothibitika na kufungwa kwa makosa ya rushwa. Iwe ni rushwa hasa. Asanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau naomba kuuliza,kuna agency yoyote inayoshughulikia copyrights za miziki ya wasanii wa kibongo?
Napenda kazi zao ziheshimiwe lakini pia sitaki yanikute ya Tigo,baada ya Ay na MwaFA kuleta...
KESI ya kudaiwa kughushi mukhtasari wa serikali ya mtaa wa Levolosi iliyofunguliwa na mkuu wa wilaya mstaafu nchini,Dahn Makanga dhidi ya Mathew Mollel imekwama kuendelea jana katika mahakama ya...
Wanaofanya kazi maeneo wanayotoka mfano Wilaya, Mkoa watakuwa wanajua adha, shida au changamoto za kufanya kazi maeneo ya nyumbani, maeneo ambayo una ndugu, marafiki, jamaa na wengineo...
Binafsi sioni kama mnachokifanya kimantiki na kiteknohama ni sawa.
Ukiona watu wamekuja kwa hiyari kulipia Leseni za biashara ni watu wa kuthaminiwa na wa kujaliwa maana wanawaongezea mapato...
Mi ninataka niwe nalipia hata kwa miezi sita kifurushi cha ving'amuzi kama cha startimes ili kuepuka usumbufu wa kila mwezi kinakata unaanza kukimbizana kulipia na wakati mwingine kinakukuta huna...
Leo nimetembelea Vetrix kwa bwana mmoja mfuga nyoka, jamaa ana varieties of snakes na wapo wa utalii na waliokomaa huwavuna kwa ajili ya chakula, dawa na uuzaji wa sumu. Basi tuliingia mgahawa...
RAIS Paul Kagame wa Rwanda amemteua Mtanzania, Profesa Silas Rwakabamba kuwa Waziri wa Miundombinu wa nchi hiyo katika mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yaliyofanyika Jumatatu iliyopita...
SERIKALI imetenga Sh. bilioni 2.3 kwa ajili ya ujenzi wa maabara ya kisasa ya nyuklia katika Tume ya Nguvu za Atomiki (TAEC).
Aidha, vifaa vyenye thamani ya Sh. bilioni 11.5 kwa ajili ya maabara...
Nimekumbuka kisa cha mfalme mmoja wa nchi iliyo chini ya jua ambaye alipenda sana kuvaa na kusifiwa kwa mavazi aliyokuwa akivaa. mfalme alitengenezewa mavazi yenye rangi mbalimbali kama vile...
nianze kwa kumshukuru mh rais kwa kunipatia nafasi hii ya kuwa hapa nilipo.maana bila yeye ningekuwa wapi mimi? namshukuru sana na kwa kweli anisaidie nidumu muda mrefu. rais huyu kama wale...
Kutokana na taarifa aliyotolewa na tundu Lisu jana, kama Watanzania na wenye nchi hii tunamtaka Rais JPm awajibike kama anavyowawajibisha wengine wakikosea kwenye utendaji kazi zao.
Kuna watu...
Tanga. Bomoabomoa iliyoendeshwa jijini Dar es Salaam na Kampuni Hodhi ya Rasilimali za Reli (Rahco), sasa inahamia Tanga ambako zaidi ya nyumba 100 zikiwamo hoteli, maghala na makazi zitabomolewa...
Serikali iache siasa
Ili kutatua mgogoro wa masoko katika eneo hilo la Mwanjelwa, vongozi wanatakiwa kuacha siasa na kusimamia sheria.
Soko la Sido sio rasmi, lilianzishwa baada ya kuungua kwa...
Madini: tukiwachekea nyani, tutavuna mabua
By ezekiel kamwaga
Madini: tukiwachekea nyani, tutavuna mabua
MIAKA minne iliyopita, mimi na waandishi wengine wawili, Paul Maregesi (Mtanzania) na...
Mkemia kutoka Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Domician Dominic ameieleza Mahakama ya Kisutu leo August 23, 2017 kuwa dawa za kulevya (Benzodiazepines) alizobainika anatumia mfanyabiashara Yusuf...