Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wanafunzi nane wa darasa la nne katika shule ya msingi Mpakani, Kata ya Mabibo, wilaya Ubungo jijini Dar es Salaam wamefanyiwa unyama wa kulazimishwa nyeti za Mbwa jike na genge la wahuni...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Hivi inakuwaje bindamu hatuna utu kabisa tunahimiza kuchangia 'mfu' mamilioni ya fedha wakati alipokuwa hai mahitaji yake ya kutibiwa hadi kupona yanahitaji fedha mnayoweza kumudu? tazama...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Niko Iringa nimetafuta king'amuzi cha Azam kinapatikana kwa tsh 200,000 na kuna taarifa wameongeza bei ya vifurushi kutoka 15,000 hadi 18,000. Sasa najiuliza kuna kitu gani special hadi ifike...
1 Reactions
74 Replies
17K Views
Aise nimekuwa nikisikia Biko na Tatu mzuka, nyie halotel na hyo bahati nasibu yenu ya halo win huwa inafanyika wapi na lini? Nimechoka na meseji zenu sijui umepokea namba ya bahati blabla. Sent...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO), José Graziano da Silva anatarajiwa kuanza ziara ya siku tano nchini Tanzania kuanzia kesho, akitegemewa kufanya mikutano...
0 Reactions
2 Replies
793 Views
Zaidi ya kaya 91 katika vijiji vya Chabuhora na Kanoga wilayani Karagwe, Mkoani Kagera wameachwa bila makazi baada ya nyumba zao kuteketezwa kwa moto na Mkuu wa wilaya ya Karagwe, baada ya...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Mh Paul Makonda amewaomba wakazi wote wa mkoa huo na viunga vyake wajitokeze kwa wingi kuanzia tarehe 6 Septemba hadi 10 Septemba kupima afya zao bila malipo yoyote...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
1.We do not write signature rather we signs- so sign here could have been the logical instruction; 2. It is not clever to begin a sentence with a preposition as they did in question 2; and when...
1 Reactions
28 Replies
6K Views
Mnamo Jumatatu tarehe 21 Agosti, tukio lisilo la kawaida litashuhudiwa Amerika Kaskazini, ambalo limewavutia watu zaidi ya milioni saba wanaotarajia kulishuhudia katika miji mbalimbali Marekani...
3 Reactions
52 Replies
7K Views
Ukiwa mwanadamu umeumbiwa nafsi yenye kutamani mambo yote yanayo ufurahisha moyo haijalishi imani yako inakuongoza kuwa ni halali au haramu kitu cha msingi ni ujifunze kuitawala nafsi yako ikae...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Ni jambo ambalo linanishangaza sana au huenda nikawa mie ndo sijui, ni pale ambapo nimeshuhudia maafisa wa TRA kuona wanaminyana na mtu ambae amefungua kijisalon chake cha kunyoa. Ambacho kipato...
2 Reactions
66 Replies
7K Views
Maafisa waligundua kuwa ndege huyo alikuwa amefungiwa mfuko mdogo kwenye mgongo wake uliokuwa na tembe za madawa ya kulevya. Polisi nchini Argentina walimpiga risasi njiwa ambaye alitumiwa...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
HALI ya Shirika la ndege la Fast Jet inazidi kuwa mbaya baada ya shirika hilo kushindwa kusafirisha wateja wake kwa siku ya pili sasa. Shirika hilo kwa miezi kadhaa ya nyuma liliripotiwa...
2 Reactions
51 Replies
6K Views
UTAMBUZI kuhusiana na miili ya watu kadhaa iliyoopolewa baharini huku baadhi ikiwa kwenye viroba umekumbana na changamoto baada ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Robert Boaz...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Siku hizi kumezuka kasumba kwa wakazi wengi waishio Dar es salaam kutumia neno MKOANI kwa kila kitu ambacho si cha Dar es salaam utasikia wanaume wa mikoani, wanawake wa mikoani, tabia za mikoani...
6 Reactions
51 Replies
4K Views
Umewahi kusikia mtu amekula sana chumvi? Yaani ameishi maisha mengi au miaka mingi? basi wanasema haya mambo yako hivi. 1. Miaka ya 0- 1000 kushuka chini ilikuwa mtu akiishi miaka mingi wanasema...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
August 30 2017 saa 12:57pm ni siku ambayo DR.Hamisi Andrea Kigwangalla, alituma picture kwenye page yake ya Facebook ilionyesha idadi ya vijana wengi waliokuwa wanafanya usaili na kuweka maneno...
3 Reactions
11 Replies
3K Views
Umoja wa 'waigizaji' wa bongo maarufu kama bongo movie wameanzisha kampeni ya uzalendo kwanza ikiwa na lengo la kuunga mkono jitihada za Rais Magufuli katika uzalendo. Kwa mujibu wa mwenyekiti wa...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Wakuu nimekutana na hii video whatsapp ambapo mkuu wa mkoa wa mtwara kaamuru kukamatwa kwa mwenyekiti kwa kosa la kulewa, wataalam wa sheria mnijuze kuna sheria inayozuia mtu asilewe kwenye...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…