Baadhi ya Traffic Mungu anawaona kwakweli.
Fanyeni kwa utaratibu na sheria sio kukomoana sio vizuri.
Hii ni Nchi yetu sote ni wakati wa kupaswa kusema au kuongea kila kilicho kwenye utaratibu na...
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Kamishna Mstaafu Zelote Stephen amewatahadharisha wananchi wa Mkoa huo kujihadhari na mvua zilizoanza na upepo ulioezua baadhi ya paa za nyumba na vituo vya kutolea huduma...
Tony Douglas, Group Chief Executive Officer, Etihad Aviation Group
Abu Dhabi, UAE – The Chairman of Etihad Aviation Group, His Excellency Mohamed Mubarak Fadhel Al Mazrouei, today confirmed the...
Siku saba tangu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu kuwataka wakuu wa mikoa na wilaya kuacha tabia ya kuwaweka mahabusu watumishi wa umma kwa makosa ya...
WADAU nadhani mnakumbuka kuwa Serikali ya Kenya imefanikiwa kupiga marufuku MIFUKO ya PLASTIKI kutumika.Mifuko hiyo imekuwa inachafua sana mazingira.Najiuliza Kwa nini Tanzania bado hatujapiga...
JIJI la Dar es Salaam ni miongoni mwa miji mikubwa nchini inayoathiriwa na uharibifu wa mazingira na mabadiliko ya tabia nchi.
Ili kukabiliana na tatizo hilo Tanzania inahitaji dola za Marekani...
Matumizi ya dawa za kuongeza nguvu za kiume (mkuyati) yanazidi kutikisa nchini, huku baadhi ya mikoa dawa hizo zikiuzwa holela kwa wateja bila maelekezo ya daktari.
Tatizo la upungufu wa nguvu za...
Nijuavyo mimi Sheria zetu zinakataza kumsema Raisi wa nchi vibaya, sasa kwa nini Raisi wa nchi analaumiwa pale ambapo Sheria za nchi zinapotekekezwa?
Tena cha ajabu kuna Wabunge ambao kazi yao...
Utata umeibuka baada ya miili ya watu wawili waliouawa na watu wasiojulikana kukutwa katika nyumba ya kulala wageni mjini Tanga ikiwa haina nguo na imefungwa kamba za miguuni na mikononi.
Katika...
Hao jamaa wanapiga hela ndefu sana naomba kujua Ada , mahali chuo ilipo kwa huko Bongo na vigezo vingine ! Maana jamaa wananguvu za ajabu Kuna clip mgonjwa amebebwa kwenye machela walipomfikisha...
Hawa jamaa waendesha bodaboda wanaboa kweli tena sana, majira ya usiku/Giza taa zao zinakuwa zipo full (Full light). Leo katika harakati zangu huko madukani nime kutana na bodaboda imepigwa full...
Wakulima watatu wakazi wa Kata ya Kolero wilayani Morogoro wameuawa kwa kupigwa walipokamata mifugo iliyokuwa inalishwa kwenye mazao yao.
Diwani wa Kata ya Kolero, Eligius Mbena amesema Alhamisi...
Ikiwa tunaelekea miaka 57 Tangu Tanzania ipate uhuru, wananchi wa kata ya Miserani Wilayani Monduli ambako ndiyo chimbuko la madini Tanzania, bado wanatumia maji machafu kwa matumizi ya kila siku...
Jamani hali ya uchumi ni tete sana.
Naona serikali inakopa kila kukicha kulipa mishahara. Deni la taifa linazidi kupanda kila kukicha.
Wastaafu na viongozi wa serikali wengine hawajapata haki zao...
Mjumbe hauwawi.
Kwamba, kutokuonekana kwa Abdulrahman Kinana ambaye ni Katibu Mkuu wa CCM taifa kwenye vikao vya kamati kuu na halmashauri kuu, inatokana na Kinana kumuuguza ndugu yake wa karibu...
Wakuu.
Hili suala ni zito sana , tusimame pamoja kwa ajili ya wanaume wa kenya kwa nini wapigwe kila siku tena hadi kuuawa? Tanzania, Rwanda, Uganda, Burundi na Sudani Kusini tuungane tuwatetee...
Wakati hapa kwetu kina dada/kaka wanashindana kupiga vitaulo wakiamini weupe ndiyo urembo ,mwanadada wa Kijerumani mwenye aitwaye Martina Big(28)yeye kajigeuza kuwa mweusi
Alianza kuongeza...