Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mimi nimeenda AIRTEL MONEY WAKALA kwa ajili ya kutoa pesa. Wakati wa kitoa nikaona jina la yule wakala ambaye nilikuwa natolea kwake kuthibitisha kuwa ninatolea mahali sahihi. Cha ajabu ile msg ya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wahitimu wa vyuo vikuu karibu wote hawajiamini na hivyo kutokuwa na msimamo dhabiti wa walichosomea kwamba kitawaletea mafanikio. Liwepo somo lililojishika na saikolojia kuwaamsha kifkra, wawe...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Nina omba Waziri mwenye dhamana na Utumishi atoe AGIZO Kwa Wakurugenzi wote Wa Hamashauri kutii maelekezo yake juu ya Upandishaji MADARAJA Kwa Watumishi na kuwarekebishia mishahara yao.Kuna baadhi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wataalamu wa afya ya akili wameshauri waajiri kuwasaidia wafanyakazi kutopata magonjwa ya akili kwani kwa mujibu wa tafiti zilizofanywa tatizo hilo ni kubwa maeneo ya kazi. Hayo yamesemwa jana...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nataka kujua hii tamthilia ni kwa nini haishagi!!!!
2 Reactions
77 Replies
18K Views
Sasa ni dhahiri hali ya shirika la elimu Kibaha ni mbaya sana hasa kiuchumi...licha ya kwamba taasisi hii imeshindwa kujiendesha yenyewe kama shirika la umma kwa muda mrefu lakini sasa hali...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari wakuu, Uongozi wa Idara ya Uhamiaji Unaongea na vyombo vya habari. Wanazungumzia wageni wanaoishi kwa Vibali maalumu. Idara ya Uhamiaji inawaalifu Wakurugenzi waajiri na wageni wote...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Dar es Salaam. Serikali imeitaka Bodi ya Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kutayarisha mfumo utakaokuwa na majina ya watumishi wa umma walioghushi vyeti ili iwe rahisi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
The article was written to create awareness, dialogue and action to avoid religious contention. It is free for publication and sharing with credit to the author. October 1, 2017 So, what is the...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Hili ni swali kwa wazazi wote na hata wanaotarajia kuwa wazazi hapo baadaye. Je upo tayari kuwa na mtoto mwenye tabia kama zako?
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Jamaa hapa mtaani anaishi karibu na kuku wa jirani lakin hapendi kelele za asubuhi za kuwika kwa vile yeye alikuwa anansikia kelele za jogoo mmoja akamtafuta hadi akajua ni jogoo yupi anaye piga...
7 Reactions
19 Replies
3K Views
Mahakama ya Wilaya ya Chunya imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela, Steven Petro (70) mkazi wa Kijiji cha Godima baada ya kumtia hatiani kwa kumbaka mjukuu wake mwenye miaka 12. Katika utetezi...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
  • Closed
Angalia hii picha ukiwa wewe na RC Makonda, Herry ni huyo hapo nyuma yenu. huyu ndiye anadaiwa alimtolea Nape Nnauye bastola kule Oysterbay. Anaitwa Herry Kisanduku aka Kassimu Sniper. Nape...
46 Reactions
228 Replies
55K Views
Dar es Salaam. Serikali imeitaka Bodi ya Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kutayarisha mfumo utakaokuwa na majina ya watumishi wa umma walioghushi vyeti ili iwe rahisi...
0 Reactions
3 Replies
819 Views
Kero hii imezidi TBL Arusha wanaegesha malori ya kubeba bia mpaka malori yanafunga barabara na ukiwaeleza wanajibu hayapo katika eneo lao. Tunaomba Jeshi la polisi kitengo cha usalama barabarani...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wanabodi! Tujikumbushe Mila zetu! Majanga ya jirani yako ni majanga yako! Ndio Waafrika na hasa Watanzania, tulivozoea kuishi. Ndio mila zetu. Ndio kawaida yetu. Tumelelewa na kukua tukijua...
0 Reactions
1 Replies
924 Views
Sijui aliyeturoga ni nani. Nchi yetu jamani tutafikia hatua tuanze kuona aibu kujiita watanzania. Haiwezekani nchi nyingine zote mshahara wa Raisi unajulikana ila kwa Rais wa Tanzania ni Siri...
3 Reactions
28 Replies
4K Views
Majaribu haya yaliowakuta baadhi ya watu lengo lake ilikua kuuwawa kwa hawa watu. Tofauti ni mbinu zinazotumika tuanze na mwakyembe yeye aliwekewa sum na nani aliyemuwekea ni hao wasiojulikana...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mtoto mwenye umri wa miezi kumi Arman Hassan Mohamedi, ameuawa na watu wasiojulikana katika eneo la Fuoni lililopo mkoa wa Mjini Magharibi Unguja visiwani Zanzibar, na kisha kumtumia ujumbe mama...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Sijawahi kusikia hata siku moja kama ikitokea ajali mbaya ya gari ukiacha ajali ambazo zina publicity kubwa kama vile ile ya watoto wa Shule Arusha, Upinzani wakitoa tamko rasmi kutoa pole, ajali...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…